Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Lindi, hakuna umeme siku ya pili sasa

Mkoba wa Mama

Senior Member
May 5, 2021
113
45
Katika baadhi ya makazi ya wanafunzi (hosteli) wa chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Lindi hakuna umeme siku ya pili sasa, wanashinda bila umeme na wanalala giza, sababu ikiwa LUKU, na wakati wanafunzi wanalipia accomodation fees.

Hii sio mara ya kwanza kwa tatizo hili kutokea, na wakati mwingine huwa inabidi wanafunzi wajichange pesa zao mfukoni ili kulipia umeme.

Mamlaka husika zilitazame tatizo hili. Maana sasa ni kero kubwa kwa wanafunzi.
 
Back
Top Bottom