Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Lazima wapatikane wanasaikolojia kabisa.Kimsingi hao watoto wanahitaji counciling ya kutosha..... tukiruhusu hali hii iendelee matokeo yatakuwa mabaya zaidi.
Je wapo?
Lazima wapatikane wanasaikolojia kabisa.Kimsingi hao watoto wanahitaji counciling ya kutosha..... tukiruhusu hali hii iendelee matokeo yatakuwa mabaya zaidi.
Inaonesha walikuwa mabikra hadi form four wakaonja kamchezo walipomaliza form four. Mabinti utawatambua wameanza kujihusisha na mapenzi lini kwa kuangalia performance yao inapodrop! Mtoto akipata div one form four na kupata div four form six jua wajanja walimpitia na hata akiwa Chuoni akapata GPA let say 4 mwaka wa kwanza, wapili makarai unajuaBado sijujua
Acha tuumie ili tujifunze kulea si kudekezaJamani bado hamjaelewa?
Pale Jangwani watu wana "watoto zao".
"Wameumia"
Sasa kama ukiwa wa mwisho ni balaa utafanyaje si kumfanya afaulu tu Kwa mbinu yeyoteHahah!, Seriously?!
TrueDar shule zinafaulisha.
Ila zinazofaulisha ni za Binafsi.
Rate ya watoto kufeli imekuwa kubwa sana kwa sasa.
Na ni public schools ndiko wanakofeli.
Hata kuwe na mbinu watoto watafeli kwa sababu moja tu HAWASOMI.
Na life styles zao zinawaangamiza.
Shule hizo za Manzese ujuaji.mwingi,wanafunzi wanajiona wanajua Kila kitu.Kosa la wale wanaowapangia shule kwenda form I.
Lakini kuna shule kama Manzese,Mugabe na Mburahati watoto wanaosoma hizo shule hawatoki mbali sana na wanapoishi.
Ila ni shule ambazo zina watoto "Vichaa sana" sasa nakushauri fatilia matokeo yao mwakani.
Kingine ni kwamba hizo shule wanafunzi wapo wengi sana.Kuna mwalimu anafundisha wanafunzi 500.
Hivi nwl mwenye load hiyo ataweza toa assignment?
Naona hapa Sasa walimu watabebeshwa lawama bure.Na shida moja watoto wameshajua kuwa hata uharibu namna gani kufukuzwa marufuku.![]()
Wao hawaelewi na hawafaulu
Sasa Mzazi mpaka mtoto anafeli alikuwa hajui? Ujue mtoto wa kufeli Huwa anaonekana kabisa mwenendo wake.We maksi anakuletea hazieleweki halafu upo kimya.Wanategemea mwisho ndo atafaulu.Jamani bado hamjaelewa?
Pale Jangwani watu wana "watoto zao".
"Wameumia"
Wazazi huwa hawafatilii hayo usemayo.Sasa Mzazi mpaka mtoto anafeli alikuwa hajui? [color]Ujue mtoto wa kufeli Huwa anaonekana kabisa mwenendo wake.We maksi anakuletea hazieleweki halafu upo kimya[/color].Wanategemea mwisho ndo atafaulu.
Kuna hizi shule za Kata tukienda kwenye vikao vya wazazi shule ina wanafunzi elfu moja kwenye kikao wazazi hata Mia hawafiki
Nenda shule zile za kulipia tena siyo kwenye kikao cha wazazi siku ya kutembelea watoto ona wazazi wanavojaa,huku Kayumba walimu wamekabidhiwa majukumu yote.Mtoto kasukumiwa tu huko.Wazazi huwa hawafatilii hayo usemayo.
Kama wazaz wa DSM hujifanya wapo BUSY sana
Comment za watuWacheka nini Shoga angu Mama Sab??
Mzazi X anaweza kuwa na watoto wawili.Nenda shule zile za kulipia tena siyo kwenye kikao cha wazazi siku ya kutembelea watoto ona wazazi wanavojaa,huku Kayumba walimu wamekabidhiwa majukumu yote.Mtoto kasukumiwa tu huko.





Pori gani?Nimemsikia mratibu wa elimu kata analalamika amepita maporini amekuta watoto wana sufuria huko maporini wanapika.
Mabegi yanekutwa na BISIBISI,kondomz na lundo la nguo za nyumbani.
Hao ni watoto wa DAR
Pori tengefu la Mabwe Pande...... duh hatari sanaPori gani?
gracekwilasa usiumize kichwa. Hayo atapita. Subiri within 2 or 3 weeks wataacha kuzomea na maisha yataendelea kama kawaida. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapuuza wanaozomea na kuongeza bidii kwenye masomo.Na Mimi hili ndo linaniumiza sana sana.Sijui niwasaidie kwa njia gani.Najua athari zake.
Dar shule zinafaulisha.
Ila zinazofaulisha ni za Binafsi.
Rate ya watoto kufeli imekuwa kubwa sana kwa sasa.
Na ni public schools ndiko wanakofeli.
Hata kuwe na mbinu watoto watafeli kwa sababu moja tu HAWASOMI.
Na life styles zao zinawaangamiza.
Shule za Dar watoto wana changamoto nyingi ikiwepo Usafiri.Kuna shule watoto Kila siku wanafika shule saa tatu na wanafika makwao saa kumi na mbili.