Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Na hatujafikia level ya Serikali ku take over everything. Maana ingekuwa hivyo at least watu wangeweza kuwa na hope kuwa pengine Serikali ingeweza kuongeza nguvu ili kutatua tatizo.

Kuhamisha Walimu sidhani ni concrete solution.
Kuhamishia msala kwa walimu ni LAZIMA.
Unadhan mwanasiasa atahamishia lawama kwa nani wakat mwanafunz ameshamaliza?
 
True, kwa kweli. Hizo Kantalamba na Togwi..something you can tell hazipewi umuhimu wowote?!, as if they're not part of Tanzania.

It's Not Fair.
Zote zinapewa kipaumbele.Husikii sana kwa kuwa sio Maarufu
Jangwani IPO hivyo kwa kuwa ni Maarufu .Katikati ya Dar( mji mashuhuri Tanzania)
Pia Jangwani ilikuwa Zamani miongoni mwa shule Bora enzi hizo.

So you can tell how it is.
 

Naomba uniambie Best wa Jangwani anaenda na alama ngapi form I na best wa Mzumbe,Ilboru,Kibaha and Co anaenda kwa alama ngapi form I?
Unajua kwenye Mitihani Kuna A cream n A majimaji.
Sasa Wa A zenye Cream Ndo Best schools
Upo??
 
Ndo shida ya wanafunzi wa kileo,hawataj kusoma,wanapenda kuvaa uniforms,wanapenda kuitwa wanafunzi.Wanapenda posho wanazopewa nyumbani.
Nna mifano ya watoto wanaoishia mitaani kubeti na kufanya uhuni mwingine.Lakini mwalimu wa leo hawez kuhangaika na mtoto.
Mtoto wa kumuhangaikia ni wa Primary.
Aiseee.Kuna kitu umekiandika hapa kimenigusa Ku Moyo
Watoto wa kuwasaidia ni Wa Primary Wengine wajiongeze( Mweee mwee mwee)
 
Nalendwa suala la watoto wa shule kutomiliki simu si kwamba shule haliruhusiwi bali hata wizara hairuhusu.
Hao watoto wakat wana join waliambiwa "Lazima ilikuwa hivyo" kwamba simu haziruhusiwi.
Siamini kama hawajui.
Umemwambia,umemwambia na kumwambia lakini hajali.
Unajua mwalimu anachokifanya?
"Anawapotezea" sasa wao watajiona WAJANJA kumbr ndo wanaangamia.
Ni sawa na mgonjwa wa kisukari,dokta atampa miongozo na masharti lakini mgonjwa mbishi,kila siku anamwambia bado hafati masharti,
Kitakachofata ni athari kwa mgonjwa sio DOKTA.
Mkorosho upeo wako ni mpana sana .
Yaani umedadavua vyema .
Hivi mwalimu ataruhusu VP simu darasani??
Ni ujue kaamua kushit wajijue wenyewe baada ya kuchoka Huku naye akiwaza malimbikizo yasiyolipwa!
 
Dar shule zinafaulisha.
Ila zinazofaulisha ni za Binafsi.
Rate ya watoto kufeli imekuwa kubwa sana kwa sasa.
Na ni public schools ndiko wanakofeli.
Hata kuwe na mbinu watoto watafeli kwa sababu moja tu HAWASOMI.
Na life styles zao zinawaangamiza.
We jamaa kiboko .
Upo mulemule kama Cr7
 
Nilichogundua ni kuwa Wananchi wanaunga mkono juhudi za Serikali za kubadilisha matokeo ya shule hiyo, Serikali imehamisha walimu na wananchi wanazomea wanafunzi.. zote hizo ni mbinu za kuweka mambo sawa.
 
Nimemsikia mratibu wa elimu kata analalamika amepita maporini amekuta watoto wana sufuria huko maporini wanapika.
Mabegi yanekutwa na BISIBISI,kondomz na lundo la nguo za nyumbani.
Hao ni watoto wa DAR
Tobaaaaaa.
Sasa Hapa Elimu wanaipata SAA ngapi
 
Kosa la wale wanaowapangia shule kwenda form I.
Lakini kuna shule kama Manzese,Mugabe na Mburahati watoto wanaosoma hizo shule hawatoki mbali sana na wanapoishi.
Ila ni shule ambazo zina watoto "Vichaa sana" sasa nakushauri fatilia matokeo yao mwakani.

Kingine ni kwamba hizo shule wanafunzi wapo wengi sana.Kuna mwalimu anafundisha wanafunzi 500.
Hivi nwl mwenye load hiyo ataweza toa assignment?
Utakuwa mwalimu sio kwa Nondo hizi
 
Jamani bado hamjaelewa?
Pale Jangwani watu wana "watoto zao".
"Wameumia"
Haaa haaaaa
Hapana mi nadhani Historia yake Na umaarufu wake .
Jangwani ilizaliwa 1928
Jangwani was The Best among the best schools in Tanzania .
I'm telling you .
Ilikuwa Ilikuwa MTU akifaulu Jangwani amejihakikishia kwenda UDSM
Sasa lately so many things has changed.
No motivation for the Teachers.
What Do you Expect???
 
Inaonesha walikuwa mabikra hadi form four wakaonja kamchezo walipomaliza form four. Mabinti utawatambua wameanza kujihusisha na mapenzi lini kwa kuangalia performance yao inapodrop! Mtoto akipata div one form four na kupata div four form six jua wajanja walimpitia na hata akiwa Chuoni akapata GPA let say 4 mwaka wa kwanza, wapili makarai unajua
Uwiiiiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom