Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Mkoroshokigoli naomba uone hii point kwanza.

I think one of the starting point to the best solution ni kuchimba the root of the problem.
Kuangalia kwanza kiundani tatizo lilikuwa wapi badala ya ku jump into conclusion na kuanza kuwa Judge kuwa ni watoto wa mjini.
What if tatizo ni walimu na sio wao.

Umeona hapo juu kuwa wanaruhusiwa kuingia darasani na simu. That's not okay.
Teachers are supposed to be held responsible for that, na sio wanafunzi.
Aiseee.We Nalendwa.But according to my experience no Teacher can allow such thing.
This is false accusation
 
Mkoroshokigoli naomba uone hii point kwanza.

I think one of the starting point to the best solution ni kuchimba the root of the problem.
Kuangalia kwanza kiundani tatizo lilikuwa wapi badala ya ku jump into conclusion na kuanza kuwa Judge kuwa ni watoto wa mjini.
What if tatizo ni walimu na sio wao.

Umeona hapo juu kuwa wanaruhusiwa kuingia darasani na simu. That's not okay.
Teachers are supposed to be held responsible for that, na sio wanafunzi.
Shule za Dar kiuhalisia zitaendelea kufelisha,zikifaulisha Basi itakuwa ni mbinu tu
 
Nashangaa wanaolalamika kuhusu Jangwani.
Mtoto anafundishwa na hasomi.
Kazi ya mwalimu ni kufundisha.
Suala la kufaulu ni la mtoto.
Hapo jamii inapaswa kuelewa
Labda wanataka mwalimu ndio aende kusoma Kwa niaba yao.Namkumbuka mwalimu Mmoja alitufundisha siye Alikuwa anatwambia You are supposed to study,If I study for you I will be doing injustice.
 
Zamani nilikuwa na tabia kama za Magufuli za kuita/ kuona watu wanaofeli mitihani vilaza.

Lakini Tanzania - not necessarily Jangwani- kuna sababu nyingi sana watu wanafeli.

Kuna watu hawana miwani tu, na hata hawajui kwamba wana matatizo ya macho wanahitaji miwani, wanaona kawaida, kwa sababu vijijini kwao huko watu hawavai miwani sana.

Na hawa (victims wa jamii ambayo kuvaa miwani ni anasa) wakifeli watasemwa vilaza.

Halafu mimi nahoji dhana nzima ya kwamba wanafunzi wa maswekeni huko wakiwa wa mwisho ni poa tu, hakuna anayelalamika, lakini siku wananfunzi wa maswekeni wakilipiza kisasi na kuchukua "nafasi ya Jangwani" ya juu, licha ya kukosa miwani na taa, halafu wanafunzi wa Jangwani wakachukua nafasi ambayo tulitegemea na kutarajia kwamba iwe ni nafasi ya wanafunzi wa maswekeni, hilo liwe ni tatizo la kitaifa linalotakiwa kutungiwa muswaada pekee wa kupelekwa Bungeni kwa jina la "Saidia Jangwani Isishuke Daraja la Msimbazi"
The very best point since I was Born
 
Shule za Dar kiuhalisia zitaendelea kufelisha,zikifaulisha Basi itakuwa ni mbinu tu
Haaa haaa.Hii Naikataaa
Hapana huu ni upotoshaji.
Believe me.Walimu Dar kwa jinsi wanavyotishwa Sasa Na wasioajiriwa mtaani ni wengi.Niamini wanafundisha kama hawana akili nzuri.
Watoto wanafaulu Kiukweliii
 
Labda wanataka mwalimu ndio aende kusoma Kwa niaba yao.Namkumbuka mwalimu Mmoja alitufundisha siye Alikuwa anatwambia You are supposed to study,If I study for you I will be doing injustice.
Bravo mwalimu.Alikuwa anasema ukweli tupu.
Kanuni IPO hivi.
Usiporuhusu kichwa chako kupokea unachofundishwa Na mwalimu ni sawa Na bure.
Lazima mfundishwaji.Awe tayari!!!
 
Haaa haaa.Hii Naikataaa
Hapana huu ni upotoshaji.
Believe me.Walimu Dar kwa jinsi wanavyotishwa Sasa Na wasioajiriwa mtaani ni wengi.Niamini wanafundisha kama hawana akili nzuri.
Watoto wanafaulu Kiukweliii
Dar kwani zamani walikuwa hawafundishi,walimu walikuwa wanafundisha tena nadhani Kwa kiwango kinachotakiwa.Shida ni kuwa wanatishwa walimu tu na wanafunzi plus wazazi wanachekelea tu.Ndio maana nimesema Dar wakifaulu itakuwa ni mbinu tu za ufundi zinatumika lakini hii Zima moto haiwezi faulisha .
 
Back
Top Bottom