Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Kinachotakiwa mtoto afaulu mtihani na siyo aelewe.
Thank you too.For your visionAsante Grace.
Kinachotakiwa mtoto afaulu mtihani na siyo aelewe.
Zamani nilikuwa na tabia kama za Magufuli za kuita/ kuona watu wanaofeli mitihani vilaza.
Lakini Tanzania - not necessarily Jangwani- kuna sababu nyingi sana watu wanafeli.
Kuna watu hawana miwani tu, na hata hawajui kwamba wana matatizo ya macho wanahitaji miwani, wanaona kawaida, kwa sababu vijijini kwao huko watu hawavai miwani sana.
Na hawa (victims wa jamii ambayo kuvaa miwani ni anasa) wakifeli watasemwa vilaza.
Halafu mimi nahoji dhana nzima ya kwamba wanafunzi wa maswekeni huko wakiwa wa mwisho ni poa tu, hakuna anayelalamika, lakini siku wananfunzi wa maswekeni wakilipiza kisasi na kuchukua "nafasi ya Jangwani" ya juu, licha ya kukosa miwani na taa, halafu wanafunzi wa Jangwani wakachukua nafasi ambayo tulitegemea na kutarajia kwamba iwe ni nafasi ya wanafunzi wa maswekeni, hilo liwe ni tatizo la kitaifa linalotakiwa kutungiwa muswada pekee wa kupelekwa Bungeni kwa jina la "Saidia Jangwani Isishuke Daraja la Msimbazi"
Mbona Kantalamba na huko Ntogwimandegegamasangu shule zikishika mkia na watu wakiharibu watu wanaona kawaida tu?Eti isishuke daraja la Msimbazi! 😀
Ingekuwa bora kama hili lingechukuliwa kitaifa na kufikia kwa hao watunga miswaada na kuwekewa kipaumbele badala ya watu kujadili wale watu walioshika nembo ya Taifa.
Aiseee.We Nalendwa.But according to my experience no Teacher can allow such thing.This is false accusation
Shule za Dar kiuhalisia zitaendelea kufelisha,zikifaulisha Basi itakuwa ni mbinu tu
Mbona Kantalamba na huko Ntogwimandegegamasangu shule zikishika mkia na watu wakiharibu watu wanaona kawaida tu?
I have nothing against Jangwani. My mom went there back in the days. But still...
Ndio.Waache umalaya.
Hivi kidoti nae kasoma jangwani?
Best wa Jangwani na Dar es Salaam siyo sawa na Best wa Kibaha,Mzumbe, Ilboru na Tabora Boys
Ndo shida ya wanafunzi wa kileo,hawataj kusoma,wanapenda kuvaa uniforms,wanapenda kuitwa wanafunzi.Wanapenda posho wanazopewa nyumbani.Zama hizi siyo zama kama za zamani siku hizi Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.Kama hutaki kusoma unasubiri mwalimu akufosi wakati naye anahangaika na wanawe utafeli tu
Dar shule zinafaulisha.Shule za Dar kiuhalisia zitaendelea kufelisha,zikifaulisha Basi itakuwa ni mbinu tu
Ni za mkoa ila alama za kuingia Jangwani ni sawa na hizo BEST.Hivi mnajua mana ya Best schools au mmejisahau Bandugu??
Best schools .
Elboru
Mzumbe
Kibaha
Wengine waendeleee
Hizo zingine Ni Za mkoa.Basi
Watoto hawasomi.Labda wanataka mwalimu ndio aende kusoma Kwa niaba yao.Namkumbuka mwalimu Mmoja alitufundisha siye Alikuwa anatwambia You are supposed to study,If I study for you I will be doing injustice.
Nimemsikia mratibu wa elimu kata analalamika amepita maporini amekuta watoto wana sufuria huko maporini wanapika.Unaona eeeh??
Janafunzi linamtishia mwalimu Bisibisi.Atafaulia wapi Yarabiii
Huwez fanya mbinu za ufundi kwa mwanafunzi asiyesoma.Dar kwani zamani walikuwa hawafundishi,walimu walikuwa wanafundisha tena nadhani Kwa kiwango kinachotakiwa.Shida ni kuwa wanatishwa walimu tu na wanafunzi plus wazazi wanachekelea tu.Ndio maana nimesema Dar wakifaulu itakuwa ni mbinu tu za ufundi zinatumika lakini hii Zima moto haiwezi faulisha .
Kosa la wale wanaowapangia shule kwenda form I.Shule za Dar watoto wana changamoto nyingi ikiwepo Usafiri.Kuna shule watoto Kila siku wanafika shule saa tatu na wanafika makwao saa kumi na mbili.
Kinachotakiwa mtoto afaulu mtihani na siyo aelewe.
Jamani bado hamjaelewa?True, kwa kweli. Hizo Kantalamba na Togwi..something you can tell hazipewi umuhimu wowote?!, as if they're not part of Tanzania.
It's Not Fair.