Ni vema kuelimika lakini Akili ni muhimu pia! Kuna wasomi wanafanya mambo ya ajabu kweli hata ukiwasikiliza ni pointless!Tatizo lako unashindwa kuelewa umuhimu wa kuelimika au kuwa na jamii iliyosoma. Hakuna kitu kigumu na cha hatari kama kuwa na jamii isiyo na elimu. Hata kuishi mitaani vizuri ni rahisi ukiwa umeelimika kuliko kuwa mbumbumbu..
Kabisa. Kwa sasa Division ni 'Connection' hapa mjini. Ukiwa na koneksheni mambo yanaweza kwenda ahueni.Mkuu umeongea point, Ujue watanzania wengi bado tunaamini Div 1 ni tikite ya mtu kufanikiwa kwenye maisha, yaani ameisha toboa maisha,
Kabisa, na ndio wamejaa mtaani.Hao ni kati ya wale waliokuwa na matazamio (ambitious) kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wao na hawakukubaliana na Ukweli kwamba maisha sio lelemama (sio mtelezo)au sio matamu kama pipi. Ndo hao wanapata msongo wa mawazo (stress) akingali ni kijana mdogo (kiumri) hajaoa na hana maono(Vision). Ukimwuliza unataka uwe nani katika Jamii, utamsikia anabwatuka "nataka niwe kama Lissu" Hahahaaa. halafu nijenge bonge la nyumba huko Bunju.....
Ila mkuu kwenye kila mafanikio ya mtu kuna siri kubwa sanaa so bora tukomee hapoTuletee tajiri asiye msomi tukufungulie Bibliography yake. Wakinga tu na waha ndo matajiri wasio wasomi kwa sababu ya kutajirika kwa ndumba na madawa kama kina Sandaland wa Kariakoo. Matajiri wasio na akili wala nidhamu
Leta hao wasio na elimu
HahahaAchana na hao watoto wananuka maziwa
Tofauti mbona ni kubwa ukipata 4 nzuri unaenda chuo unaanza cheti diploma then degree ila alopata 0 hawezi kwenda chuo na Cheti Hana mpaka aresitHata aliyepata 4 ana utofauti gani na 0? Aaaaah
Duuh bas kazi ipoo. Lol.Tofauti mbona ni kubwa ukipata 4 nzuri unaenda chuo unaanza cheti diploma then degree ila alopata 0 hawezi kwenda chuo na Cheti Hana mpaka aresit
Bas sawaahAnapata cheti at least
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko bitter sana na mie, vipii kwani nimekugusaa? Si unge comment kwa kutulia mbna km unanichambaaa?? Wee shost nijie taratibuu. LolKwahiyo mwenye "D" zote na "C" mbili atleast akapata division 4 ya point 26 ambayo anaweza kwenda chuo au kusoma kidato cha tano (5) huku ana-reseat ni sawa na wenye "F" zote?! [emoji15] we vipi?!
Division 0 maana yake ni Failure!.. ni kama la saba tu wala haesabiki kwenye kundi la waliosoma sekondari. (Huyu kapoteza muda tu..., yaan alienda kukua,kujifunza uhuni wa kijinga, kupata mademu, mabwana na kupata washkaji na kuvuta bange basi!)
Division 4 hana ufaulu wa kwenda kidato cha tano ila anaweza kusoma mambo mengine au kurudia shule na akafanya vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kihivyooooWengi tu wametusua kimaisha
Wenye 1 wengi wao waajiriwa,na waalim wa sekondari
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mboe alipataga Ziro hata February pia
Wapo mpaka wanapiga debeDiploma au Degree mkuu? Mimu kuba nibao wajua wamemaliza Chuo kikuu na ni Boda boda, ujue watu hatutaku kuamini kwba nyakati zimechange sana hilo watu hawataki kuamini
Hizi shule ufaulu wao ni kufuruuuu1.Kemebos,
2.st francis,
3.feza boys,
4.kibaha,
5.marian boys,
6.ilboru,
7.feza girls,
8.Tabora boys,
9.marian girls,
10.kilakala,
Kupata zero maana yake yeye ameshindwa kukariri vitu ya darasani na sio kuelewa, kwa sababu bata hao wa Div 1 ukimuweka leo mtaani hawezi ishi kabisa
Kwa hio wa Div 1 watakuja kuajiriwa na nani? Serikali? Huwa hatutakua kuukubali ukweli kwamba kwa sasa nyakati zimechange sana, mtaani kuna Graduate wasio kuwa na idadi, hizi mentality za kukariri kwamba ufaulu mzuri ni tiketi ya maisha mazuri ni za kizamani sana, Time will tell
Mkuu umeongea point, Ujue watanzania wengi bado tunaamini Div 1 ni tikite ya mtu kufanikiwa kwenye maisha, yaani ameisha toboa maisha,