Wanafunzi Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wamegoma

Wanafunzi Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wamegoma

1. Nimejadiri kwa kufuata mfumo wa sasa ulivyo - tofauti ni kwamba badala ya mwanafunzi kupewa pesa mkononi basi apewe service providers, na yeye (mwanafunzi) abaki anasoma tu.

2. Kwani kwa sasa hivi nani anabeba mzigo wa gharama? Ni mwanafunzi mwenyewe. Isipokuwa anachosaidiwa ni kuhakikishiwa fedha zipo (guarantee/ dhamana) na yeye anakuja kulipa baadaye (mkopo).
Kwa hiyo unataka ukifika muda chakula wanafunzi wanapanga foleni kwanini mwanafunzi kupewa pesa mkononi inamzuia nini kusoma ulishawahi kuona wanalalamika kuwa hawasomi kwa sababu ya kupewa pesa mkononi, hebu fikiria mtoa huduma anagoma kutoa huduma atawalisha nani hao wanafunzi vyuo vikuu hakuna ratiba maalum ya kusoma na kuna wanafunzi hasa vyuo vya private wanakaa off campus unataka ukifika muda wa chakula waje kupanga foleni ya kula.
 
1. Mimi naongelea suluhisho, siongelei tatizo, tatizo limetokea sasa suluhisho ni nini?

2. Ni rahisi kudeal na watu wachache kuliko group la watu wengi ambao wengine - wanawaza kupata pesa kwa ajili ya kuhonga, hapa naongelea service providers, ni rahisi kusettle na service providers kuliko na wanafunzi.

3. Mimi ni mtoto wa mkulima na mfugaji, niliyesoma bila mkopo na baadaye kwa mkopo, that nimebarikiwa kwa maana serikali yangu imenisadia kusoma.

4. Kama nilivyosema hapo awali, hizi fedha si za matumizi mengine zaidi ya elimu.

4. Sijatoka nje ya mada, ila kugoma kwa wanafunzi ni uhuni na, tena wengine wanatumika tu.
Suluhisho la migomo kama hiyo ni kutoa pesa kwa wakati na wala sio suala la sijui service providers hebu fikiria na wao wagome nini kitatokea.
 
kwa upande mwingine yupo sahihi maana matumizi ya wanafunzi wengi siyo mazuri, na ni ukweli unaoumiza, viwango vya mikopo vinatofautiana lkn wale wanaopata mikopo midogo pamoja na kuwa na maisha duni lkn wanajitahidi kukidhi mahitaji muhimu, ukifanya utafiti utaliona hili na linaumiza.
Ukiona mwanafunzi anatumia pesa yake vibaya ujue huyo hajitambui au anatoka familia yenye uwezo hivi Tsh 510000 kwa miezi miwili na nusu mpaka mitatu unaweza kufanya starehe gani hapa mjini.
 
Suluhisho la migomo kama hiyo ni kutoa pesa kwa wakati na wala sio suala la sijui service providers hebu fikiria na wao wagome nini kitatokea.
Yes wanagoma kwa kuwa pesa hazipo au zimechelewa!

Je assume kwa muda huu waliogoma hizo pesa zimeishaingia kwenye accounts zao?

Je if, hizo pesa hazipo kabisa hazina/ board na wamegoma unadhani kitachofuata ni nini? Chuo kitafungwa na watatakiwa kurudi makwao, na wakirudi nyumbani ataingia gharama za kwenda na kurudi.

Ila haya yote yanatokea kwa kuwa hakuna service providers.
 
Fikria service providers amegoma usiseme ni rahisi kudeal na watu wachache maana na wao wangecheleweshewa malipo yao hivyo kushindwa kutoa huduma.
 
hali mbaya wahisani hawatoi mpunga, bas shen atoe huo mpunga bas
 
Fikria service providers amegoma usiseme ni rahisi kudeal na watu wachache maana na wao wangecheleweshewa malipo yao hivyo kushindwa kutoa huduma.
Usidhani serikali inaendeshwa kishule shule kama unavyodhani.
 
generation ya hovyo hovyo. siku hizi vyuo migomo yenu ni kutetea matumbo yenu tu. mambo muhimu ya kitaifa hata kauli tu hamatoi.
Wewe sikushangai make unaonekana uwezo wako wakufikiri nakuchuja mambo ndio mwisho wake hapo
 
nimesoma kabla na baada ya cost sharing, hivyo nakushauri utulie.

1. Kuna ubaya gani iwapo wanafunzi watapikiwa na chuo and wawe wanakula canteen, badala ya hizo fedha kutumika kwa ajili luxurious items?

2. Kuna ubaya gani iwapo zile fedha za vitabu zikinunua vitabu na kuwekwa maktaba badala ya kutumika kwa ulevi?

3. Kuna tatizo gani hao mambo mawili hapo juu yakafanywa na mtu mwingine na wanafunzi wakabaki na kazi moja tu ya kusoma?
Hapo umekosea mkuu....kwanza kwa mahesabu ya kawaida tu hilo boom laki tano kwa miezi miwili unafkiri unawez kufanya starehe gani....,!?
 
kama tumezoea kutokuwepo sukari tutashindwa kuwazoea hawa wanaotaka maisha yao yaboreshwe kuliko watz wenzao, wapigwe mabomu hao. SHERIA IPI INAWARUHUSU KUGOMA
 
kwa upande mwingine yupo sahihi maana matumizi ya wanafunzi wengi siyo mazuri, na ni ukweli unaoumiza, viwango vya mikopo vinatofautiana lkn wale wanaopata mikopo midogo pamoja na kuwa na maisha duni lkn wanajitahidi kukidhi mahitaji muhimu, ukifanya utafiti utaliona hili na linaumiza.
mkuu kwanini na mkopo mtu apangiwe kuutumia...c ataurudisha tena na riba juu
 
generation ya hovyo hovyo. siku hizi vyuo migomo yenu ni kutetea matumbo yenu tu. mambo muhimu ya kitaifa hata kauli tu hamatoi.
Pia hutumika vibaya mfano kupokea na kuediti matokeo uchaguzi uliopita, wacha waisome namba.
 
Maoni ya Watu wengi humu yanapotosha uhalisia mie ni mmoja wa wagomaji wa leo suala sio Pesa tu bali hizi ni pesa za kujikimu ambazo tunakopeshwa na tumeingia mkataba na bodi kuwa ni ndani ya siku 60 nadhani wengine sio na hamkuwahi kuwa wanufaika wa HESLB Tulichogomea leo ni kuchelewa kwa hela maana siku 60 zimekwisha leo ni siku ya 64 na tumerejea Magu alichoahidi kwenye Kampeni zake mwaka jana kuwa Pesa hazitachelewa Tumegoma maana Katiba ya Nchi na ya DARUSO vinaturuhusu kufanya Hivo
Uoga haupo kwa Wasomi wa Chuo kikuu cha Taifa Pesa imepatikana Kesho maisha yataendelea kama kawa Endeleeni na Uoga wenu maana ndo umasikini wenu..
Rev. Square UDSM wanaopajua wanajua maana yake
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yes wanagoma kwa kuwa pesa hazipo au zimechelewa!

Je assume kwa muda huu waliogoma hizo pesa zimeishaingia kwenye accounts zao?

Je if, hizo pesa hazipo kabisa hazina/ board na wamegoma unadhani kitachofuata ni nini? Chuo kitafungwa na watatakiwa kurudi makwao, na wakirudi nyumbani ataingia gharama za kwenda na kurudi.

Ila haya yote yanatokea kwa kuwa hakuna service providers.
Ndio maana wengine wanaweza kuhoji ikiwa unayajua vema maisha ya chuo kikuu au unazungumzia maisha ya "kindergarten"! Unajua wastani wa umri wa wanafunzi wa undergraduates? Unazijua vema hali za kimaisha za familia nyingi za kitanzania? Suluhisho wapewe boom lao kwa wakati tu basi wala si suala la service providers hapo wala nini. Kwani wamekwambia katika restaurants au mama lishe hawana vyakula?

By the way, kwa kutumia huyo service provider, likely gharama itazidi hata hizo hela wanazopaswa sasa na utapunguza hata wanufaika na mzunguko huo wa hela za boom (multiplier effects ).
 
si tuliambiwa haka katatizo kwa Pombe katakua historia na akawalaani waliokua wakitesa wanafunzi kwenye mikopo..
kudadadek..
 
Back
Top Bottom