Wanafunzi Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wamegoma

Imefika wakati hawa wanafunzi wasipewe pesa mkononi, na badala yake vitabu vilipwe moja kwa moja chuoni ili vitabu vinunuliwe na viwekwe library, na hela ya chakula pia hivyo hivyo kilipwe chuo husika, waanze kula canteen za vyuo, wao wabaki na kazi moja tu ya kusoma.
Moja kati ya coment mbovu, samahan lakn!
 
generation ya hovyo hovyo. siku hizi vyuo migomo yenu ni kutetea matumbo yenu tu. mambo muhimu ya kitaifa hata kauli tu hamatoi.
Unayoyaona ya kutetea matumbo yao chuoni ndio yanayotendeka kwenye siasa.
 
Mmh.nakumbuka mgomo flani hivi ulikuwa amazing! Tulitoroka sa tisa usiku kupitia porini!khaa! Mgomo ni hatari kwa afya!
 
Ndio maana wengine wanaweza kuhoji ikiwa unayajua vema maisha ya chuo kikuu au unazungumzia maisha ya "kindergarten"! Unajua wastani wa umri wa wanafunzi wa undergraduates? Unazijua vema hali za kimaisha za familia nyingi za kitanzania? Suluhisho wapewe boom lao kwa wakati tu basi wala si suala la service providers hapo wala nini. Kwani wamekwambia katika restaurants au mama lishe hawana vyakula?

By the way, kwa kutumia huyo service provider, likely gharama itazidi hata hizo hela wanazopaswa sasa na utapunguza hata wanufaika na mzunguko huo wa hela za boom (multiplier effects ).

1. Tatizo lenu/ lako boom mnaliona kama ni charity, kwamba hizo hela ni mshahara na wanatakiwa kuwasaidia na ndg zao waliachwa huko wanakotoka.

2. Having amount paid to service providers, gharama za matumizi zinapungua - maana manunuzi yanafanyika in bulky, that serikali inazidi kusave pesa, mzunguko bado unakuwepo tu.

3. Faida nyingine, kwa kutumia service providers, wanafunzi wanabaki na role yao ya kusoma badala ya kuhangaika na maandamano na kugoma.

4. Mind you, hizi pesa ni kwa ajili - ada, chakula, malazi, na vitabu na si vinginevyo, hivyo hazitolewi kwasababu ya umri - ila kwa hali inavyoonekana wanafunzi wa sasa mlivyo - mmekaa kiboom boom hamko tofauti na kindergarten, ndio maana nasema bora fedha zilipwe direct kwa service providers na nyie mbakie na kazi ya kusoma tu.

5. Hovyo nyinyi, mbona hamdai tuition fees zinazolipwa moja kwa moja huko vyuoni instead mnakazania kupewa hela mkononi ili mkanywe pombe.
 
Maoni ya Watu wengi humu yanapotosha uhalisia mie ni mmoja wa wagomaji wa leo suala sio Pesa tu bali hizi ni pesa za kujikimu ambazo tunakopeshwa na tumeingia mkataba na bodi kuwa ni ndani ya siku 60 nadhani wengine sio na hamkuwahi kuwa wanufaika wa HESLB Tulichogomea leo ni kuchelewa kwa hela maana siku 60 zimekwisha leo ni siku ya 64 na tumerejea Magu alichoahidi kwenye Kampeni zake mwaka jana kuwa Pesa hazitachelewa Tumegoma maana Katiba ya Nchi na ya DARUSO vinaturuhusu kufanya Hivo
Uoga haupo kwa Wasomi wa Chuo kikuu cha Taifa Pesa imepatikana Kesho maisha yataendelea kama kawa Endeleeni na Uoga wenu maana ndo umasikini wenu..
Rev. Square UDSM wanaopajua wanajua maana yake
Pumbavu wewe, yaani siku 4 tu ndio mnagoma? Watu tulikuwa tunagoma fedha zimecheleweshwa up to 1 months and above. Nyie wasomi kweli?
 
Acha liingie ila dawa yenu inachemka.
Samahani unajua nimekujibu posts zako nikiwa najibu mtu mzima kumbe kichwani hamna kitu sasa dawa inachemka wakati serikali imetekeleza matakwa yao, kumbuka kama sio wewe ni mtoto au mjukuu wako na usipende kutisha watu huo ni ushamba uliopitwa na wakati.
 
Kwa hio unatakiwa kutumia mkopo tofauti na malengo yake, kwa mwelekeo huo fala ndio atakubali kukukopesha.
malengo yapi tofauti ambayo mkopo unatumika..we unajuaje kuwa hizo pesa zinazotumika kwa malengo tofauti ni pesa ya mkopo??
 
Pumbavu wewe, yaani siku 4 tu ndio mnagoma? Watu tulikuwa tunagoma fedha zimecheleweshwa up to 1 months and above. Nyie wasomi kweli?
Kama mlikuwa mnachelewa hivo mlikuwa maboya na Sidhani kama ni UDSM manake hapa huwa hazichelewi kijinga hivo sisi ni wasomi ndo maana tumepewa hela kulingana na tulivyokubaliana na Bodi Mkuu nimeshapata pesa ngoja Nisome kwa Ajili ya kuitumikia Nchi yenye Raia wasio na Urazini kama Wewe...!
 
mkuu kwanini na mkopo mtu apangiwe kuutumia...c ataurudisha tena na riba juu
kila mkopo uliotolewa kisheria una masharti na taratibu zinazopaswa kufuatwa, na unaweza kushtakiwa ikiwa umegundulika umekiuka huo utaratibu, mazoea yasitufanye tusahau vitu muhimu.
 
Maoni ya Watu wengi humu yanapotosha uhalisia mie ni mmoja wa wagomaji wa leo suala sio Pesa tu bali hizi ni pesa za kujikimu ambazo tunakopeshwa na tumeingia mkataba na bodi kuwa ni ndani ya siku 60 nadhani wengine sio na hamkuwahi kuwa wanufaika wa HESLB Tulichogomea leo ni kuchelewa kwa hela maana siku 60 zimekwisha leo ni siku ya 64 na tumerejea Magu alichoahidi kwenye Kampeni zake mwaka jana kuwa Pesa hazitachelewa Tumegoma maana Katiba ya Nchi na ya DARUSO vinaturuhusu kufanya Hivo
Uoga haupo kwa Wasomi wa Chuo kikuu cha Taifa Pesa imepatikana Kesho maisha yataendelea kama kawa Endeleeni na Uoga wenu maana ndo umasikini wenu..
Rev. Square UDSM wanaopajua wanajua maana yake
ikiwa bodi wameshatoa sababu ya kimaandishi na ya msingi, huo mgoma unakuwa ni batili, kwa hyo fuatilieni kwanza kama kuna sababu kubwa ya kimaandishi kabla ya kuamua kitu kitachowaletea shida, siku 5 ni ndogo sana kuthibitisha hili kimaandishi. Chuoni migomo mingi ilianzishwa na watu wenye uwezo kwa malengo maalum ikiwashawishi wale wasio na uwezo na njia mbadala. Ni ukweli unaoumiza.
 
Tumeshapata Hela na tunapiga Shule mods fungeni huu Uzi
 
kila mkopo uliotolewa kisheria una masharti na taratibu zinazopaswa kufuatwa, na unaweza kushtakiwa ikiwa umegundulika umekiuka huo utaratibu, mazoea yasitufanye tusahau vitu muhimu.
Nani ambaye amewahi kukiuka masharti ya matumizi ya mkopo na unauhakika gani kuwa ile ela aliyoitumia kwenye matumizi hayo mengine ni pesa ya mkopo,unajuaje kuwa hii pesa inayotumika apa ni pesa ya mkopo na si pesa kutoka vyanzo vingine
 
kila mkopo uliotolewa kisheria una masharti na taratibu zinazopaswa kufuatwa, na unaweza kushtakiwa ikiwa umegundulika umekiuka huo utaratibu, mazoea yasitufanye tusahau vitu muhimu.
Alafu ebu nitajie masharti ya matumizi ya ela ya bodi ya mikopo HESLB
 
1. Tatizo lenu/ lako boom mnaliona kama ni charity, kwamba hizo hela ni mshahara na wanatakiwa kuwasaidia na ndg zao waliachwa huko wanakotoka.

2. Having amount paid to service providers, gharama za matumizi zinapungua - maana manunuzi yanafanyika in bulky, that serikali inazidi kusave pesa, mzunguko bado unakuwepo tu.

3. Faida nyingine, kwa kutumia service providers, wanafunzi wanabaki na role yao ya kusoma badala ya kuhangaika na maandamano na kugoma.

4. Mind you, hizi pesa ni kwa ajili - ada, chakula, malazi, na vitabu na si vinginevyo, hivyo hazitolewi kwasababu ya umri - ila kwa hali inavyoonekana wanafunzi wa sasa mlivyo - mmekaa kiboom boom hamko tofauti na kindergarten, ndio maana nasema bora fedha zilipwe direct kwa service providers na nyie mbakie na kazi ya kusoma tu.

5. Hovyo nyinyi, mbona hamdai tuition fees zinazolipwa moja kwa moja huko vyuoni instead mnakazania kupewa hela mkononi ili mkanywe pombe.
Ukikua utaacha. Ni utoto tu huo unaokusumbua.
 
Back
Top Bottom