...wewe wape kichwa, maana watakapokuwa wanashughulikiwa na washa washa wewe utakuwa umetulia zako ofisini bila wasi wasi. Mimi siungi mkono maandamano, suala lao naamini linashughulikiwa, na serikali haiwezi kuendeshwa kwa mihemuko ya maandamano ndiyo itekeleze, tujifunze kuwa na utaratibu wa kufuatilia mambo na kuwa wavumilivu.Keep on moving guys ... Kama ulipitia chuo unajua kinachowakumba vijana wenzetu
Na kwenye marejesho ya mkopo msisahau kuandamana kama mnavodai kufanya leo.
Teh teh teh!Vp bado unafukuza wageni wakija kula kwako, hahah #uchoyo kwenye damu #
Revolution square wahii mkuu
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo unayemjibu mwenyewe ni buku 7 fc
MWENYE SHIBE HAMJUI MWENYE NJAA.ILA LEO KWAO KESHO KWAKO,NA ANAEBISHA ASEME NDIO.((MAISHA YANAENDA KWA NOBA,,,,,,,TAJIRI HAKUZALIWA NA MALI NA HATAKUWA TAJIRI SIKU ZOTE))...nadhani vijana mmekosa adabu na uvumilivu. Yaani mmeshindwa hata kumuita mkuu wenu wa chuo mh. JK? Nyie ngojeni, mkikomaa sana na kuleta fujo mtafukuzwa chuo, na mkikomaa sana mtaona zile washa washa.
Dua la kuku.......; Wasomi wanatakiwa kutumia busara kutatua kero na siyo kukurupuka kama wabunge wa upinzani.MWENYE SHIBE HAMJUI MWENYE NJAA.ILA LEO KWAO KESHO KWAKO,NA ANAEBISHA ASEME NDIO.((MAISHA YANAENDA KWA NOBA,,,,,,,TAJIRI HAKUZALIWA NA MALI NA HATAKUWA TAJIRI SIKU ZOTE)).
MAISHA YANAENDA KWA NOBA,,,,,UKIAMINI KUWA UTAKUWA NA UWEZO/PESA NYINGI SIKUZOTE BASI APA KWAMBA HUTAKUJA KUKOPA MAISHANI MWAKO!Dua la kuku.......; Wasomi wanatakiwa kutumia busara kutatua kero na siyo kukurupuka kama wabunge wa upinzani.
Nina uhakika hao wanafunzi hawajakurupuka kugoma inawezekana walisha peleka malalamiko yao sehemu yakashindwa kufanyiwa kazi ndio wameamua kugoma na kumbuka njaa haina subira.Dua la kuku.......; Wasomi wanatakiwa kutumia busara kutatua kero na siyo kukurupuka kama wabunge wa upinzani.
Siyo kushindwa kufanyia kazi, mi naamini kuna shinikizo la wapinzani. Kwani serikali ya Dr Magufuli ilishasema suala la mikopo kwa wanafuzi ni muhimu mno. Ndiyo maana wakigoma ni bora wachapwe tuNina uhakika hao wanafunzi hawajakurupuka kugoma inawezekana walisha peleka malalamiko yao sehemu yakashindwa kufanyiwa kazi ndio wameamua kugoma na kumbuka njaa haina subira.
Kuna mvua na.............................Dua la kuku.......; Wasomi wanatakiwa kutumia busara kutatua kero na siyo kukurupuka kama wabunge wa upinzani.
Sasa lingekuwa muhimu mno si wangekuwa washapata boom au unatetea nini hapa.Siyo kushindwa kufanyia kazi, mi naamini kuna shinikizo la wapinzani. Kwani serikali ya Dr Magufuli ilishasema suala la mikopo kwa wanafuzi ni muhimu mno. Ndiyo maana wakigoma ni bora wachapwe tu
Sasa kama ni muhimu kwanini hawajapewa pesa yao mpaka sasa ina maana mpaka wagome ndio wapewe pesa.Siyo kushindwa kufanyia kazi, mi naamini kuna shinikizo la wapinzani. Kwani serikali ya Dr Magufuli ilishasema suala la mikopo kwa wanafuzi ni muhimu mno. Ndiyo maana wakigoma ni bora wachapwe tu
generation ya hovyo hovyo. siku hizi vyuo migomo yenu ni kutetea matumbo yenu tu. mambo muhimu ya kitaifa hata kauli tu hamatoi.
Wasomi wetu tunawategemea