Wanafunzi Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) wamegoma

Mihemuko ya kisiasa haiwezi kuleta maendeleo so tufanye kwanza uchunguzi wa kina ndo tutoe post zetu watu wazijadili... Yapasa tujiulize kwanini Boom limekiwa likisababisha maneno mengi sana katika jamii zetu.. Me nachoamini mheshimiwa waziri anaijenga Elimu yetu haswa kwa kiboresha mfumo mzima kuanzia watendaji wa bodi zote ili kuondoa irasimu pia kuijenga Elimu ya juu kwani kumekuwa na ikilitimba mkubwa gases kwenye utoaji wa mikopo jambo linalopelekea ucheleweshwaji wa pesa kwa wanafunzi, kuwepo kwa majina hewa swala linaloifanya serikali kuingia hasara kubwa kwa kunufaisha matumbo ya watu wachache..... Mpeni mda waziri wa elimu ili waje kunufaika...
 
Hawa ndiyo wasomi wetu tunaotegemea siku za usoni walitumikie taifa kwa weledi
 
Wanafunzi mnajulikana tu.

hii ndio dawa yenu, hizi hela mnazopewa zinawapa kiburi.
Nimehitimu siku nyingi lakini nikisikia migomo kama hiyo nakumbuka maumivu niliyokuwa napata pindi nasoma njaa haina baunsa wala subira, ungelikuwa umefika chuo usingeliandik pumba zako hapa.
 
JPM alishajipanga kujenga TZ ya viwanda na nyie vijana lakini sasa inaonekana mnaanza migomo yenu ndio maana kaamua sasa kujenga hivyo viwanda na team ya akina Mkuchika, Makinda nk!
 
Nimehitimu siku nyingi lakini nikisikia migomo kama hiyo nakumbuka maumivu niliyokuwa napata pindi nasoma njaa haina baunsa wala subira, ungelikuwa umefika chuo usingeliandik pumba zako hapa.
nimesoma kabla na baada ya cost sharing, hivyo nakushauri utulie.

1. Kuna ubaya gani iwapo wanafunzi watapikiwa na chuo and wawe wanakula canteen, badala ya hizo fedha kutumika kwa ajili luxurious items?

2. Kuna ubaya gani iwapo zile fedha za vitabu zikinunua vitabu na kuwekwa maktaba badala ya kutumika kwa ulevi?

3. Kuna tatizo gani hao mambo mawili hapo juu yakafanywa na mtu mwingine na wanafunzi wakabaki na kazi moja tu ya kusoma?
 
Kuna ubaya gani hao wanafunzi hao wakipewa pesa hizo mkononi kama ilivyo sasa, rudi kwenye mada wanafunzi wamegoma kwa sababu gani? Wanafunzi wengi wanatoka familia masikini kupitia pesa hizo wanajinunulia nguo, wanalipa ada wanawalipia wadogo zao ada, wanapata nauli za kwenda chuo wanalipa vyumba wanalipia bill za maji na umeme wanalipia kazi za stationery na wananunua vitabu, busara ni kukaa kimya kama hujui kitu.
 
1. Unafahamu maana ya cost sharing? Anything apart from ada, vitabu, malazi na chakula kinatakiwa hulipwa na mzazi, mlezi au yeyote wa mwanafunzi.

2. Hizo pesa ni za chakula, malazi na vitabu na si za matumizi mengine, unless unataka kusema kuwa wanafunzi wanapewa with access.

3. Iwapo hizo fedha wangekuwa wanapewa service providers, wanafunzi wangebaki wana kazi moja tu ya kusoma, na hizi habari za kugoma na maandamano visingekuwepo kabisa.

4. Si kila mwanafunzi, anapata vyote, chakula, malazi, ada ama vitabu = kinachokosena hapo lazima chombo kingine zaidi ya serikali kinachangia (cost sharing).
 
Sasa utakuwa umewakopesha au umeboresha miundombinu ya chuo?
Ukitaka kulipa unalipaje ukihusianisha na kila mwanafunzi kubeba hizo gharama?
 
Hata hao service providers wangegoma kutoa huduma maana serikali ingechelewesha malipo yao kama wanavyocheleshewa malipo yao kwani wao wangelitoa huduma bila kulipwa kuna kipindi wazabuni waligoma kupeleka chakula mashuleni ikawalazimu wakuu wa shule kufunga shule, lakini turudi kwenye kiini tatizo ni kuchelewesha fedha.
Lakini vile vile kama umebarikiwa na wazazi wako wamebarikiwa mshukuru Mungu kuna vijana wanatoka familia maskini hata hicho kidogo wanachokipata wanatuma kwao kusaidia wanabaki kula mlo mmoja.
Tusitoke nje ya mada wamegoma kwa sababu ya kucheleweshewa fedha.
 
Wawe na subira serikali haina hela. Hamkumbuki KIWANGO CHA MIZIGO BANDARINI kimeshuka. Sukari imeadimika. Ajira nyingi zimetoweka. Bidhaa madukani haziuziki. Uzalishaji TBL unasemwa kushuka. Nk.
 
Sasa utakuwa umewakopesha au umeboresha miundombinu ya chuo?
Ukitaka kulipa unalipaje ukihusianisha na kila mwanafunzi kubeba hizo gharama?
1. Nimejadiri kwa kufuata mfumo wa sasa ulivyo - tofauti ni kwamba badala ya mwanafunzi kupewa pesa mkononi basi apewe service providers, na yeye (mwanafunzi) abaki anasoma tu.

2. Kwani kwa sasa hivi nani anabeba mzigo wa gharama? Ni mwanafunzi mwenyewe. Isipokuwa anachosaidiwa ni kuhakikishiwa fedha zipo (guarantee/ dhamana) na yeye anakuja kulipa baadaye (mkopo).
 
Kuna ubaya gani hao wanafunzi hao wakipewa pesa hizo mkononi kama ilivyo sasa, rudi kwenye mada wanafunzi wamegoma kwa sababu gani? Wanafunzi wengi wanatoka familia masikini kupitia pesa hizo wanajinunulia nguo, wanalipa ada wanawalipia wadogo zao ada, wanapata nauli za kwenda chuo wanalipa vyumba wanalipia bill za maji na umeme wanalipia kazi za stationery na wananunua vitabu, busara ni kukaa kimya kama hujui kitu.
Mkuu hapo umeteleza kabisa. Na ndio maana kwenye breakdown ya hizo pesa unazopata hakuna kipengele cha kununua, nguo au kusomesha wadogo zako. Serikali inakupa pesa ili uweze kukidhi mahitaji yako uwapo chuo. Hayo mengine ni bajeti yako mwenyewe utakavyoipanga kama unaona hiyo pesa unayopewa inatosha mpaka kusomesha wadogo zako.
 
Umeishia darasa la ngapi? Maana Umeandika kama kilaza.
kwa upande mwingine yupo sahihi maana matumizi ya wanafunzi wengi siyo mazuri, na ni ukweli unaoumiza, viwango vya mikopo vinatofautiana lkn wale wanaopata mikopo midogo pamoja na kuwa na maisha duni lkn wanajitahidi kukidhi mahitaji muhimu, ukifanya utafiti utaliona hili na linaumiza.
 
Hata hao service providers wangegoma kutoa huduma maana serikali ingechelewesha malipo yao kama wanavyocheleshewa malipo yao kwani wao wangelitoa huduma bila kulipwa kuna kipindi wazabuni waligoma kupeleka chakula mashuleni ikawalazimu wakuu wa shule kufunga shule, lakini turudi kwenye kiini tatizo ni kuchelewesha fedha.
Lakini vile vile kama umebarikiwa na wazazi wako wamebarikiwa mshukuru Mungu kuna vijana wanatoka familia maskini hata hicho kidogo wanachokipata wanatuma kwao kusaidia wanabaki kula mlo mmoja.
Tusitoke nje ya mada wamegoma kwa sababu ya kucheleweshewa fedha.

1. Mimi naongelea suluhisho, siongelei tatizo, tatizo limetokea sasa suluhisho ni nini?

2. Ni rahisi kudeal na watu wachache kuliko group la watu wengi ambao wengine - wanawaza kupata pesa kwa ajili ya kuhonga, hapa naongelea service providers, ni rahisi kusettle na service providers kuliko na wanafunzi.

3. Mimi ni mtoto wa mkulima na mfugaji, niliyesoma bila mkopo na baadaye kwa mkopo, that nimebarikiwa kwa maana serikali yangu imenisadia kusoma.

4. Kama nilivyosema hapo awali, hizi fedha si za matumizi mengine zaidi ya elimu.

4. Sijatoka nje ya mada, ila kugoma kwa wanafunzi ni uhuni na, tena wengine wanatumika tu.
 
Back
Top Bottom