mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
Wanafunzi wa chuo kikuu cha cha Dar es salaam mpaka sasa wamegoma wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili ya kujikimu.
Makamu wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshengema amesema mgomo huo ni matokeo ya taarifa zisizoeleweka zilizo kuwa zikitolewa na bodi juu ya lini fedha hizo zitatolewa.
Kwa kawaida pesa ya chakula huingiziwa kila baada ya siku 60 na mpaka sasa yapata wiki mbili pasipo kupatikana.
Mgomo huo unakuja zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Rais Magufuli Kuzulu chuo hicho kwa ajili ya uzinduzi wa jengo la Maktaba.
=========================
Juzi kati niliweka uzi ulienda kwa title ya #Mhe.Magufuli JPM,HESLB yaendelea kuwa jipu la muda mrefu,UDSM fedha za kujikimu ni kizungumkuti!
Kwasababu wanazozijua wao mode naona wakaufuta uzi huo lakin ujumbe umewafikia,sintofahamu yamuda mrefu imevuliwa lakini now imeshikndikana tunaingia barabani kama uzi wa mwanzo ulivyosema baada ya demokrasia kushindikana,japo tar3/6 mh rais ukija UDSM kuweka jiwe la msingi la library inayoendelea madai haya hayatasita tutakukaribisha kwa maandamano;rai yetu ni nin,leo jumanne tar31/5/2016 fedha zetu za kujikimu lazima tuzipate,
lasivyo nchi itatisika jana UDOM (7bu so boom,japo nao wanasubiri kuona chuo mama kinachukua hatua gani kwenye hili,leo UDSM,kesho Mzumbe nk.
UPDATE>>>>>>>>>>>>
Hatimaye baada ya HESLB kudindisha takribani wiki 2;now wameamua kuachia,mtonyo umeingia sasa harakati za kusoma zinarudi kama kawaida!
UDSM;solidarity forever!