Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
mmh 190 siamini
Pengine ni takwimu ya kutoka mwaka fulani hadi kufikia hapa tulipo
mmh 190 siamini
moja ya shule za kata ila ipo uswahilini mpaka basi
Umeona inabidi kuahirisha lile zoezi la kutembea utupu toka Pugu hadi mjini hata kama jamaa atabaki
....je inamilikiwa na taasisi gani hii skuli ?
Bi Mkubwa umeongea pointsInabidi uchunguzi ufanywe shule zote za Tanzania nzima, kuna uwezekano hili tatizo ni kubwa zaidi.
Haya wale wenye kutetea haki za binaadam na watoto siyo mnangoja mambo ya siasa tu, huu ndio wakati muafaka mkafanye uchunguzi shule zza Tanzania na kuainisha ukubwa au udogo wa tatizo hili na wahusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kuuliwa. Maana hawa wanafisadi Taifa lijalo mapema kabisa.
Kwanini?Hivi hicho siyo kituo cha kulelea watoto yatima?
Inabidi uchunguzi ufanywe shule zote za Tanzania nzima, kuna uwezekano hili tatizo ni kubwa zaidi.
Haya wale wenye kutetea haki za binaadam na watoto siyo mnangoja mambo ya siasa tu, huu ndio wakati muafaka mkafanye uchunguzi shule zza Tanzania na kuainisha ukubwa au udogo wa tatizo hili na wahusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kuuliwa. Maana hawa wanafisadi Taifa lijalo mapema kabisa.
Kuna mtu ame-hack account hii ya FF.
mbaya sana kama ni kweli...itakuwaje yaan miaka ijayo...hili ni tatizo kubwa kwa sasa katika jamii yetu....
Huwa sielewi kwanini tuna Wizara ya wanawake na watoto? Ina kazi gani hii wizara?