Wanafunzi 190 walawitiwa Hanassif

moja ya shule za kata ila ipo uswahilini mpaka basi

Ok, basi hapo inabidi zifanyike prayers za Ukombozi dhidi ya hizi spirits za Homosexuals and Lesbianism. hayo ni maroho yaliyovamia kwa kasi sio shule za Dar tu, bali zimesambaa mikoani kote, hata na vyuo pia vinaathirika na maroho haya ya kisenge. Iwapo zitafanyika juhudi za kimakusudi kabisa on prayers INAWEZEKANA wazazi.
 
Hiyoo ipo upande gani? Au nikule kusikokuwa na jiji wala manispaa? Wakazi wake wanaishi kwa uwezo wa mola.
 
Inabidi uchunguzi ufanywe shule zote za Tanzania nzima, kuna uwezekano hili tatizo ni kubwa zaidi.

Haya wale wenye kutetea haki za binaadam na watoto siyo mnangoja mambo ya siasa tu, huu ndio wakati muafaka mkafanye uchunguzi shule zza Tanzania na kuainisha ukubwa au udogo wa tatizo hili na wahusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kuuliwa. Maana hawa wanafisadi Taifa lijalo mapema kabisa.
 
Bi Mkubwa umeongea points
 
Kuna mtu ame-hack account hii ya FF.
 
Physical damage can be treated and healed.

What anout the burden these kids bear in their hearts?

Lord have mercy, your little angels are no longer safe.
 
Hili ni balaa,,,,,inabidi walezi wa shule zote nchini wawe makini na upuuzi huu
 
mbaya sana kama ni kweli...itakuwaje yaan miaka ijayo...hili ni tatizo kubwa kwa sasa katika jamii yetu....

Huwa sielewi kwanini tuna Wizara ya wanawake na watoto? Ina kazi gani hii wizara?
 
wapo kama hawapo......hata hivyo kama ulivyosoma sio mazingira ya shuleni....ni mtaani jamii inayomzunguka mtoto ndio inayomfanyia hivyo.......yaan daah......sijui tufanyaje yaaan
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom