OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mshinga umeoa au kuolewa????!!!!!
Hapo unachukia "HAWA" au "WENYE TABIA HIZO"????

Maswali kama haya hayakuwepo MMU ya enzi hizo.
subjective interpretivismkwani humu ndani kuna vita kati ya zilipendwa na bongo fleva?!!!
Rocky mie nashukuru kwa jitihada zako, na nakubaliana na hoja uliyotoa na zilizotolewa na wengi hapo nyuma.
Kuna tatizo kubwa pia ambalo mie nime observe, naona kama vile tatizo lingine kubwa ni unafiki pia. Kuwa sababu nimezoeana na Rocky (bila kujalisha ni jamvini ama nje ya jamvi) basi siwezi kumkosoa hata kama nimeona kakosea. Hilo kwa kweli nalo ni tatizo
Kuna wadau wengine hata si waku post sana ila ni wasomaji, na katika usomaji wao hujenga trust katika michango ya baadhi ya members. Hivyo anapo ona huyo mtu ambaye yeye kajenga trust kwake anaunga mkono kitu ambacho kinachukuliwa nje ya maadili basi hata yeye follower inakuwa rahisi kwake kuamini ama kufanya hicho kitu.
Majukwaa ya MMU/CC ndio majukwaa hapa Jf yanayo ongoza kwa members kupendana na kushikamana, inaweza kuwa si wote ila ndio hivyo ikifuatiwa na Jukwaa la Tech and Gadgets and Education. Kupendana kwetu na urafiki wetu usitufanye kufumbia macho ama kuchekea kitu ambavyo kimsingi hata wewe unae unga mkono unaona si sawa, ama waona basi ni kheri usichangie kabisa kuliko kuenda tofauti. Hilo suala halijengi.
Tatizo lingine ambalo nalo halijengi ni tabia ya wadau baadhi ambao wapo karibu (bila kujalisha ni jamvini or not) kuleta habari zao private (Za PM na maisha ya nje ya mtandao) hapa kwa malengo ya kulipuana. Hilo ni suala baya Ni wengi ambao inaweza tokea kukwazana wa wetu wa karibu but ni kheri mkaongea pembeni na mkamaliza tofauti kuliko kwa njia ya kuanikana. Si nzuri kabisa maana inatokoa tu faida kwa wengine wengi na pia kukusesha raha baadhi kuendelea kushiriki hapa Jamvini na kuwafanya wengine hata kubadili ID. Ubaya wa hili inaongeza hata makundi katika majukwaa... Unakuta huyu is for this member, yule for that member... Na kuweka mazingira hata kama member anakosea sababu tu you consider yupo upande wako basi unashindwa kumkosoa.
Naamini kabisa kama members... Hizo suggestions ulizotoa tukizizingatia na wote tukacheza nafasi zetu Jukwaa litakuwa bora na kuwa vile tutakavyo. Na wengi tutajifunza na kuelimishana pia.
Naona watu wengi wa kuwa CC Umejitahidi kukumbuka. Naomba niongeze hawa ;
BelindaJacob, Zion Daughter, Azimio Jipya, gfsonwin Elia, figganigga, Gaga, Globu, Matola, jouneGwalu, kinyoba, Keren_Happuch, klorokwini, ndyoko, kivuma, lara 1 , Madabwada, MadameX, MAMMAMIA, Mamzalendo, Manyanza, Mbu, Manumbu, Speaker, PetCash, queenkami, Ndahani,
Umenena,hasa hasa wanaolaumu ni old school,ndoa zao zimewashinda huko wanatafuta pa kupumzikia,kwanza lazima mtambue hapa si pa shekha wala baba paroko
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mr Rocky jamani mie nipo mwambie Soulmate wangu aje anirescure maana waarabu wenye mafuta yao wanataka kuniteka............... heshima pesa, shikamoo makelele tu.Mbu ujumbe umefika mkuu na nitamtafuta MwanajamiiOne nimwambie ujumbe huu
MwanajamiiOne wacha nimtafute swahiba Mbu aje akurescue maana utapotea bureMr Rocky jamani mie nipo mwambie Soulmate wangu aje anirescure maana waarabu wenye mafuta yao wanataka kuniteka............... heshima pesa, shikamoo makelele tu.
MwanajamiiOne wacha nimtafute swahiba Mbu aje akurescue maana utapotea bure
Nimependa hiyo aise heshima pesa shikamoo makelele tuu
Kweli MwanajamiiOne na wanasema uzee mwisho chalinze mjini wote ni baby............... Hahahaha Mr Rocky si ndivyo wanavyosema watoto wa mujini?
Fikra pevu kila wakati. Am so proud of you.Rocky mie nashukuru kwa jitihada zako, na nakubaliana na hoja uliyotoa na zilizotolewa na wengi hapo nyuma.
Kuna tatizo kubwa pia ambalo mie nime observe, naona kama vile tatizo lingine kubwa ni unafiki pia. Kuwa sababu nimezoeana na Rocky (bila kujalisha ni jamvini ama nje ya jamvi) basi siwezi kumkosoa hata kama nimeona kakosea. Hilo kwa kweli nalo ni tatizo
Kuna wadau wengine hata si waku post sana ila ni wasomaji, na katika usomaji wao hujenga trust katika michango ya baadhi ya members. Hivyo anapo ona huyo mtu ambaye yeye kajenga trust kwake anaunga mkono kitu ambacho kinachukuliwa nje ya maadili basi hata yeye follower inakuwa rahisi kwake kuamini ama kufanya hicho kitu.
Majukwaa ya MMU/CC ndio majukwaa hapa Jf yanayo ongoza kwa members kupendana na kushikamana, inaweza kuwa si wote ila ndio hivyo ikifuatiwa na Jukwaa la Tech and Gadgets and Education. Kupendana kwetu na urafiki wetu usitufanye kufumbia macho ama kuchekea kitu ambavyo kimsingi hata wewe unae unga mkono unaona si sawa, ama waona basi ni kheri usichangie kabisa kuliko kuenda tofauti. Hilo suala halijengi.
Tatizo lingine ambalo nalo halijengi ni tabia ya wadau baadhi ambao wapo karibu (bila kujalisha ni jamvini or not) kuleta habari zao private (Za PM na maisha ya nje ya mtandao) hapa kwa malengo ya kulipuana. Hilo ni suala baya Ni wengi ambao inaweza tokea kukwazana wa wetu wa karibu but ni kheri mkaongea pembeni na mkamaliza tofauti kuliko kwa njia ya kuanikana. Si nzuri kabisa maana inatokoa tu faida kwa wengine wengi na pia kukusesha raha baadhi kuendelea kushiriki hapa Jamvini na kuwafanya wengine hata kubadili ID. Ubaya wa hili inaongeza hata makundi katika majukwaa... Unakuta huyu is for this member, yule for that member... Na kuweka mazingira hata kama member anakosea sababu tu you consider yupo upande wako basi unashindwa kumkosoa.
Naamini kabisa kama members... Hizo suggestions ulizotoa tukizizingatia na wote tukacheza nafasi zetu Jukwaa litakuwa bora na kuwa vile tutakavyo. Na wengi tutajifunza na kuelimishana pia.
Naona watu wengi wa kuwa CC Umejitahidi kukumbuka. Naomba niongeze hawa ;
BelindaJacob, Zion Daughter, Azimio Jipya, gfsonwin Elia, figganigga, Gaga, Globu, Matola, jouneGwalu, kinyoba, Keren_Happuch, klorokwini, ndyoko, kivuma, lara 1 , Madabwada, MadameX, MAMMAMIA, Mamzalendo, Manyanza, Mbu, Manumbu, Speaker, PetCash, queenkami, Ndahani,
NIMEAMUA NAMI kutoa yangu ya moyoni kwa wanaoharibu jukwaa.
1. Wanaoropoka "SIKU HIZI HAKUNA MADA ZA MAANA NA ZA KUJENGA,MMU ilikuwa zamani" hivi unaposema hakuna mada za mana NA WEWE HAUWEKI MADA ZA MANA wakati ni memba tukuitaje? MWEHU? CHIZI? MJINGA?? Nauliza ni kweli hakuna mada za mana na za kujenga humu?
2. Wanaobeza wengine kisa ni wageni hapa,kwani nyie hamkuwa wageni?Kwa ugeni ndio ubutu wa hoja? Aliyejiunga leo anaweza kuwa smart kuliko wengine wote humu ndani.
3. Wengine wanaropoka tu, SIKU HIZI MMU ni jukwaa la kujadili wanawake tena NEGATIVELY,NAULIZA HUU NI UKWELI AMA UONGO? Kwani hakuna mada za kuwasifu NA POSITIVE? Kwani wanaume hawajadiliwi?je hakuna mada nje ya kujadili wanaume ama wanawake?
4. WALE WANAOCHANGIA NJE YA MADA,unaweka mada,mtu badala ya kujadili hoja iliyo wazi kabisa anakuuliza UMEOA?hapo anaanza kumjadili mleta mada na si alichoandika
5. Wengine KWA MAKUSUDI wanatumia misamiati migumu ya kimombo kukwepa kuulizwa,ama kutoa matusi ya rejareja(sikatazi matumizi ya kawaida ya misamiati)
Ni kweli madam maada zingine zinaboa kweli watu wanavimaswali vya kitoto ambavyo havina kichwa wala miguu mwingine anakuja na maada eti wanawake mnapenda nini kwa mwanaume wakati anajua hilo limekaa kibinafsi zaidi zaidi hapo ni kutaka kujua privacy za watu,asanteni sana kwa kuliona hili tutasaidiana kusend hizo repot
Fikra pevu kila wakati. Am so proud of you.