Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
hatuichakachui thread kaka tunainogesha na kuiweka online kwani wewe kaka hupendi
hebu ona vibweka hvi kaka :target::A S 41::A S angry::fish2::humble::smow::grouphug::mimba::fish::clock::drum::whoo:
havijakufurahisha na kukupunguzia mihasira ya kutuchapa?


Bado nawatafuta niwachape ladyfurahia ila naona kiss ingekuwa mbadala kutoka kwa binamu zangu ila msichakachue tena
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kumbe wakati mwingine uko na akili ee
nimechekewa kidogo na sijasoma comments zote ila nimeona nichangie maana hata mi huwa linaniboa unakuta post nyingine Zimekopiwa na kupest toka blog nyingine.na hizi ni nyingi unakuta post nimeshaisoma kwenye blogs kama tatu hivi alafu naikuta tena mmu unafikiri nitaisoma tena zaid
shansarie sometime chit chat inatufanya tunakuwa wehu bana ila mawazo yako humu MMU na ndo maana tunaomba liboreshwe kwa weli
 
Last edited by a moderator:
Himidini... Hakuna mada negative. Haiwezekani kujifunza ikiwa mada zinaelemea upande mmoja... It would be absurd. Ila kuna kuleta mada kimzaha mzaha. Mada nyingi ambazo huletwa na kuonekana si za viwango si kwamba ni vitu ambavyo havipo katika jamii, ila mara nyingi hata msomaji unapo isoma unaona kabisa mrusha mada hakuwa serious, or as if tu alipost kufanya majaribio. Natamani zingekuwepo mada nitolee mfano; ila bahati mbaya or nzuri naona nyingi sana zimetolewa. Ila mfano; mtu anapoleta mada kama vile "Natamani kufanya ngono na kabinti ka miaka 14" si kwa kuomba ushauri - content unakuta inashabikia hilo tendo. Such a thread inakuwa si nzuri.



Michango ya member haipimwi kwa ukongwe bali kwa mada. Kuna members ambao ni wapwa na hoja zao ni msingi saa ingine kuliko hata member ambe ni wa zamani. Nadhani hapa Ukongwe unaongelewa in the sense wale ambao walikuwa hodari kushiriki na kuleta hoja za kujenga bila kujalisha misimamo katika hoja zao.



Option ya kufunga mada ni muhimu sana. Kuna mada ambazo hujadiliwa, ni applicable kabisa ila haiwezekani tena kujadiliwa na members wenyewe tokana na sababu mbali mbali tegemeana na content yenyewe. Hivyo mada inapokuwa ni applicable bado haifutwi, inabaki na kuwezekana kusoma but huwezi kuchangia. Kwa hapa MMU sikumbuki thread ipi ilifungwa, ila kuna threads Majukwaa kama ya Siasa na Intelligence hufungwa; na ukiweza kusoma toka post one hadi ya mwisho hata msomaji unaelewa kabisa ni kwa nini imefungwa.

^^
AshaDii asante kwa ufafanuzi..nimeelewa kila jawabu lako
^^
 
Last edited by a moderator:
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::behindsofa::behindsofa: haya ladyfurahia umefurahi au bado una hasira
 
Last edited by a moderator:
Sijachakachua kaka wewe angalia hapa,
umeona nini kaka?
Je nimechakachua au la: angalia basi hapa.
"Mimi niko tayari kujiuzulu endapo hali hii itakuwapo," Profesa Baregu anatajwa kutamka maneno hayo kwa Jaji Warioba huku Profesa Palamagamba Kabudi akitajwa kupingana wazi wazi na uamuzi wa serikali kupitisha muswada ambao anaamini umejaa udhaifu mkubwa unaoruhusu mchakato wa Katiba Mpya kuingiliwa na kisha kuharibiwa.
Bado nawatafuta niwachape ladyfurahia ila naona kiss ingekuwa mbadala kutoka kwa binamu zangu ila msichakachue tena
 
ladyfurahia nimeiona hiyo bana waache wapigane wenyewe huko wakipigana mafahali wawili nyasi tuu zitapata shida na bora wao waseme maana tukisema sisi tutaonekana wajuaji na wakorofi sana
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru kaka Mr Rocky kwa kuniita, nami nimeitikia wito....

Turudi kwenye mada....

Ni kweli kabisa hadhi ya jukwaa hili imeshuka sana siku hizi, mie nilikuwa msomaji wa muda mrefu hata kabla ya kuwa - registered. Mada za awali zilikuwa zinajenga na kuelimisha tofauti na za siku hizi.....

Mbali na ku-report abuse kwa mada ambazo ni za kudhalilisha, PIA NAOMBA KUTOA WITO KUWA TU-REPORT ABUSE kwa mada ambazo si za msingi...

Mfano mtu anakuja na mada "Nahitaji demu wa kuspend naye weekend" N.K...

Na lugha chafu zisizo na maadili... Mada kama hiyo tajwa hapo, ingetumika kwa staha pengine hata mhusika / wahusika wangejitokeza!!!

Cheers.....

CL
 
Last edited by a moderator:
charminglady asante sana kwa kuitikia wito na kutoa neno lako la busara ndani ya jukwaa hili na mchango wako wa mawazo utasaidia sana kuliweka jukwaa hili mahali tulipopatarajia na suluhisho sio kulikimbia bali kuwa pamoja kushikamana na kujua kuwa tunafanya kazi kwa pamoja kuweka mambo sawa
Asante sana kwa mchango wako
 
Last edited by a moderator:
charminglady asante sana kwa kuitikia wito na kutoa neno lako la busara ndani ya jukwaa hili na mchango wako wa mawazo utasaidia sana kuliweka jukwaa hili mahali tulipopatarajia na suluhisho sio kulikimbia bali kuwa pamoja kushikamana na kujua kuwa tunafanya kazi kwa pamoja kuweka mambo sawa
Asante sana kwa mchango wako

"PAMOJA Tunaweza"
 
Last edited by a moderator:
Nimechelewa ku post but hopefully yote yaliyo zungumzwa yatazingatiwa...
 
NIMEAMUA NAMI kutoa yangu ya moyoni kwa wanaoharibu jukwaa.

1. Wanaoropoka "SIKU HIZI HAKUNA MADA ZA MAANA NA ZA KUJENGA,MMU ilikuwa zamani" hivi unaposema hakuna mada za mana NA WEWE HAUWEKI MADA ZA MANA wakati ni memba tukuitaje? MWEHU? CHIZI? MJINGA?? Nauliza ni kweli hakuna mada za mana na za kujenga humu?
2. Wanaobeza wengine kisa ni wageni hapa,kwani nyie hamkuwa wageni?Kwa ugeni ndio ubutu wa hoja? Aliyejiunga leo anaweza kuwa smart kuliko wengine wote humu ndani.

3. Wengine wanaropoka tu, SIKU HIZI MMU ni jukwaa la kujadili wanawake tena NEGATIVELY,NAULIZA HUU NI UKWELI AMA UONGO? Kwani hakuna mada za kuwasifu NA POSITIVE? Kwani wanaume hawajadiliwi?je hakuna mada nje ya kujadili wanaume ama wanawake?

4. WALE WANAOCHANGIA NJE YA MADA,unaweka mada,mtu badala ya kujadili hoja iliyo wazi kabisa anakuuliza UMEOA?hapo anaanza kumjadili mleta mada na si alichoandika

5. Wengine KWA MAKUSUDI wanatumia misamiati migumu ya kimombo kukwepa kuulizwa,ama kutoa matusi ya rejareja(sikatazi matumizi ya kawaida ya misamiati)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom