Mkirua unajua nakukosa sana aise
Mpaka vifunguliwe mbona tutakuwa tumepata majanga aise
Du! upo rafiki? bora Mr Rocky kaanzisha huu uzi na waliopotea warudi....
kuna rafiki yangu mwingine anaitwa The Finest
Mzee wa lidabokibini hupo mbona unanitenga sana tatizo nini kama nikulipa faini nipo tayari!!Yuko kwenye dozi ya kaswende.
Sijui wamestaafia wapi hawa watu, Kama mnakula penshen hongereni zenu, naongeza pia na kina @Rev.Masanilo, kareenHappauch na afrodenz.... you are all missed!mzee mwenzangu kazi ushapata tena unakuwa babu kifimbo cheza....... enzi zile unasoma page ya 1 hadi mwisho bila kukosa kwa mapoint uwakute Mbu na soulmate wake MwanajamiiOne hutoki kwenye mada salam zimfike Lizzy
Fixed Point aliyekwambia huyo ni "mkaka" ni nani?Du! upo rafiki? bora Mr Rocky kaanzisha huu uzi na waliopotea warudi....
kuna rafiki yangu mwingine anaitwa The Finest hivi yupo huyu mtu? Asprin na Kaizer mmenionea wapi huyo mkaka? mwambieni anatafutwa huku
ha haaaa, my imaginationsFixed Point aliyekwambia huyo ni "mkaka" ni nani?
Pole kaka usijali tupo pamoja si unajua tena kaisari akiamua kubana....
:focus:
Mada yako nimeipenda sana nimekosa tu mda wa kuchangia kirefu lakini ulichoelezea ni cha kweli kabisa sometimes hata wakati wa uchangiaji tumekuwa tukivuka mpaka na kujikuta tunataja mambo ambayo kwa hulka ya watanzania si muafaka kutajwa hadharani.
Issue nyingine ni kuwa unakuta mtu huyu leo anaanzisha uzi kwa kuvaa uhusika tukio fulani nasi tunajituma kumshauri kweli kweli lakini baada ya masaa au siku chache anaanzisha uzi mwingie unaopingana kabisa na kile alichokielezea awali ndipo unapogundua kuwa kuna walakini....Katika hili wafukunyuku maarufu kama kina Heaven on earth wamekuwa mstari wa mbele kuwaumbua watu wa aina hiyo.
Dah!!!!
Nilikuwa nina mastress na wale mabazazi kule Kenya,yaani hadi sasa nahisi bado nina hasira nao!!!!!!!!
Back to topic
Hili ni jambo zuri sana ulilolisema hapa nimejaribu kusoma baadhi ya michango nimegundua kitu
Naona kama tumeathiriwa na magamba hivi
Nadhani mnayajua haya majamaa yanavyojidai kutoa ahadi kibao sana halafu utekelezaji ni ZERO,hapa tutazungumza sana kuhusiana na hii tabia ya kibazazi lakini kutekeleza ni 0
Kuna ujinga mkubwa sana humu siku hizi,kuna mada za hovyo sana hapa na hili tatizo sio la mwaka huu tu ni kabla ya hapo,kuna wakati niliwahi kusema hapa na kuna thread ipo hapo juu inazungumzia mambo haya haya
Kuna tatizo la kutokufanya yale tunayosema hapa lakini zaidi sana kuna ka ugonjwa ka kupenda sana mada za kiudaku daku,Nadhani dawa kubwa pamoja na kuripoti jambo lingine ni kutoichangia hiyo mada,kama mtoa mada hatopata washabiki nadhani hatarudia tena
Nilikuwa guest hapa kwa muda mrefu sana na mpaka nilipoamua kuwa member kuna yaliyonifanya nifanye hivyo,lakini leo ni kama hayapo kabisa,huwa nawakumbuka sana member flani hivi
Lakini kuna wakati namkumbuka sana Mwana Mtoka Pabaya huyu jamaa namheshimu sana,huonekana mara chache sana na kila akionekana huzungumza mambo makubwa[kwa mtazamo wangu]
Kuna wakati Kiranga aliwahi kukemea tabia ya kupiga story za ajabu humu nadhani hakueleweka,kuna member niliwahi kumuambia sio lazima kila siku atoe mada,nikamwambia unaweza kutulia na kujaribu kutulia na kutoa mada nzuri lakini nadhani hadi leo huu jamaa ananichukia sana
Zaidi sana tujifunze kutekeleza kile tunachosema hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako uliotukuka kwa kweli, hayo uliyoyasema wewe na AshaDii ni moja wapo ya mambo yaliyonifanya niamue kuwa pembeni nibaki tu nikichungulia na kusoma yale ya muhimu na kusepa. la msingi ni kuanza utekelezaji wa yale mazuri mliyoshauri hapo juu.. PAMOJA DAIMA
neggirl asante sana kama utakuwa balozi mwema kufanya kazi hiyowell said Rock
tatizo kubwa linalotusumbua hapa ni hawa wanaoitwa wavulana na wasichana kaaa.. wanaboa kwa kweli. Wanajaza tu server.
hicho kitufe cha REPORT ABUSE nitakifanyia kazi sawasawa.. count on me.
Sometime na nyie mna umimi toka kitmbo kileeeee eti ashaAdii Akipost ata pumba basi mtajibaraguza apoo ili mrAdi tu muonekane ohhakija mtu ambaye wa juzi mna sonya sonya nawona tu. Sio vizuri hee. Hahaha
Asante sana mkuu Eiyer na punguza hasira kwa hao jamaa bana wamewaua watu wasio na hatia na ambao hawakuwa na makosa kwao maana wao sio walioilazimisha serikali kwenda kupigana vita somalia
Nashukuru sana kwa ujumbe wako na naamini kilichomo na kilichobebwa na ujumbe wako ndicho ambacho tapaswa kufanya
Asante sana mkuu
A.k.a TF!!!!
Watu hawa sijui wako wapi
Kuna siku Mbu alianzisha uzi wa maana sana hapa,lakini cha kushangaza watu wakaukaushia tu,nadhani mtu mzima alibaki kustaajabu tu
Hii ndio MMU ya siku hizi!!!!!
......LOL!
Am past my sell by date kamanda,
Ni wakati wa "New Generation!"...
Wee mzee uhuni umeanza lini au ni baada ya kuacha ukabailaFixed Point aliyekwambia huyo ni "mkaka" ni nani?