Umesomeka mkuu.Nakumbuka mara ya kwanza naingia hapa mwaka 2009 nilikita jukwaa lipo poa sana, lakini sa hiv jukwaa limevamiwa na hata jf yote pia imevamiwa.
Nakumbuka mara ya kwanza naingia nilishangaa sana na nilikosa cha kuchangia, sio kwamba sikujua kutumia keyboard but the seriousness ambayo ilikwepo so haikuwa rahisi kuleta utani hapa.
Kikubwa ambacho kinatuletea maumivu humu ndani ni mult ID.
Pia nadhani kingine kinachofanya hili jukwaa kupoteza hadhi au mwelekeo ni kujuana kwa watu nje ya jamiiforums, hii nayo inazalisha sana jokes na sometimes hata dharau zisizokuwa naulazima.
Pia wakubwa ningependa kuwaomba mods wawe na limits kwa biginer au new member ku acess na kuchangia mada nayo itasaidia maana hii itasaidia kupunguza mfurumusho wa thread na teampicha pia
Walas Ba asante sana kwa mchango wako na asante sana kwani umeona mwenyewe mabadiliko yaliyotokea toka wakati unajiunga hadi leo hii na tofauti iliyopo toka wakati huo na sasaNakumbuka mara ya kwanza naingia hapa mwaka 2009 nilikita jukwaa lipo poa sana, lakini sa hiv jukwaa limevamiwa na hata jf yote pia imevamiwa.
Nakumbuka mara ya kwanza naingia nilishangaa sana na nilikosa cha kuchangia, sio kwamba sikujua kutumia keyboard but the seriousness ambayo ilikwepo so haikuwa rahisi kuleta utani hapa.
Kikubwa ambacho kinatuletea maumivu humu ndani ni mult ID.
Pia nadhani kingine kinachofanya hili jukwaa kupoteza hadhi au mwelekeo ni kujuana kwa watu nje ya jamiiforums, hii nayo inazalisha sana jokes na sometimes hata dharau zisizokuwa naulazima.
Pia wakubwa ningependa kuwaomba mods wawe na limits kwa biginer au new member ku acess na kuchangia mada nayo itasaidia maana hii itasaidia kupunguza mfurumusho wa thread na teampicha pia
Nimekuwa nikisoma mambo mengi sana ambayo wanajukwaa wamekuwa wakiyaandika.Yapo mambo ya msingi yamekuwa yakionekana hapa ,pia yapo mambo ya kipuuzi ambayo yamekuwa yakiandikwa na baadhi ya wanajukwaa.Hivyo basi nawaomba wanaofanya hivyo kuacha haraka.

...,hapa sio nyumba ya ibada,...
Haya na mimi nakufuatilia ujue
Ya kipuuzi kama yapi???mana angalia na hili bandiko lako nalo lisije likawa nalo ni la kipuuzi