Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
sioni umuhimu wa kutafuta suluhisho hapa , binadamu tumeumbwa kutofautiana kimawazo na kipimo cha utu ni uvumilivu.........

mtu kama kiatu ni kidogo kwako au kikubwa kwako huna haja ya kukivaa.........

cha muhimu ni watu kuepuka personal attacks , na hili lipo wazi kwa sheria za jf ......unapaswa kumripoti , mahakimu (mods) watatenda na kuhukumu inavyostahili.

Hahahaaaaaaa! Dr na wewe ni team REPORT ABUSE? Mjue LAW IS LAW na huwezi kuibend na kutoa preferential treatment kisa watu flani eg WAKONGWE wameomba mada boring ila hazina matusi zitolewe ndo uviolate sheria ya report abuse kusuit hio demand??????????/

EVERY BODY IS BELOW THE LAW!!!!!!! Hata upuuzi usio matusi japo hauna tija, au msimamo hasi na hauna matusi hauwezi kuhukumiwa na REPORT ABUSE!!!!!!!! Labda tulete bill of law ya kubadilishwa ama kurekebishwa kifungu cha sheria za jf cha report abuse!!!! LOL!

On the mean time TATIZO KWELI LIPO n stop whining and complaining, calling them modes to our resque! We want the forum clean lets do the dirty work andclean it ourselves!!!! SOLUTION zipo kibao tu sema coz leo ni whining session ngoja na mimi niunge trela! If we are all fed up we will be ready to do the dirty work!
 
Umeongea vizuri sana rafiki.....
niliwahi kusema hapa kuwa siku hizi nimejifunza kuchukulia kama tulivyo, sim-judge mtu. nitatumia fursa niliyokuwa nayo kumsaidia mtu pale ninapoona anapotoka (niseme mimi ninapoona anapotoka) kama atakubali na kurekebika sawa, otherwise inabidi ukubaliane naye anachoamini....
lakini hapa sidhani kama tunazungumzia kuwa na mitazamo tofauti. of course hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, lazima tunatofautiana. hata vile ambavyo mimi naamini ni vizuri kuna mtu anaamini sipo sahihi, tuheshimu hilo. lakini hapa nadhani tunazungumzia zaidi utoto ulioingia katika jukwaa. mtu anatoka na mtu (hii haikatazwi), hajaridhika naye, anakuja hapa kutuambia kuwa "wanawake/wanaume siku hizi hivi na hivi", sisi yanatuhusu hayo? kwa nini usimwambie huyo mwanamke/mwanaume wako huko huko mlikokutania badala ya kuja kutujazia mada hapa?

Moja ya tofauti kubwa kati ya traditional media na social media ni quality ya content. Kwenye traditional media ni rahisi kuhakiki quality kabla ya ku-publish kwa sababu information ina-flow vertically. Information inapitiswa kwanza kwenye chujuo kuchuja pumba zote kwanza kabla ya kuwa released. Lakini kwenye social media information ina-flow horizontally. Matokeo yake ni kuwa na content ambayo ni high quality, low quality na wakati mwingine abusive content.

Social media ina user generated content. How users generate the content depend on their lives, personal experience, likes, dislikes, how they feel about certain things at a particular time. Pia kadri muda unavyokwenda watu wengi zaidi hasa katika nchi zinazoendelea wana-spend muda mwingi zaidi kwenye social media. Kwa hiyo, kutakuwa na mix ya watu tofauti na ilivyokuwa zamani. Tatizo ni kuwa wengi wao bado hawajui nini waandike au wasiandike kwenye internet na implications za kufanya au kutokufanya hivyo.

Social media ina faida zake nyingi tuu. Lakini pia ina limitations zake hasa kuhusiana na uaminifu wa habari zinazowekwa na maana hasa ya interactions ya watu kwenye social media. Lakini pia social media inaleta demokrasia kwenye internet. Wapo wanaopenda hiyo demokrasia lakini pia wapo ambao wangependa ku-dictate nini kiwe kinaandikwa. Kwenye kitabu kiitwacho "The Cult of the Amateur", Andrew Keen ameikandia social media huku akidai it only helps "the loudest and most opinionated" people to survive. Whether it is true or not I don't know.

Lakini siyo kila kinachoandikwa kwenye social media kinaweza kuleta positive outcomes kama kufundisha, kuelimisha, n.k. Inasemekana kuwa social media inaweza kutumika kama bullying method, ku-maximise sexual satisfaction, sexual propaganda, n.k. Pia tusisahau kuwa JF ni type ya honeycomb framework ya social media ambapo members wanaweza kuamua, pamoja na mambo mengine, kama wanataka kuwa anonymous au ku-reveal their actual identity.

Nadhani, in future itabidi tuwa-treat watu online kama tunavyowa-treat watu mitaani. Kama mtu ni mlevi na hupendi ulevi wake, sidhani kama unaweza kumwambia barmaid au mwenye bar asimwuzie tena bia au ahakikishe anamwuzia soda tuu. Sana sana utamshauri jamaa aache ulevi akikataa it is up to him/her. The same to social media. Kama mtu anaandika utumbo na anaambiwa anachoandika ni utumbo lakini anaendelea kuandika utumbo there is nothing you can do kumzuia kufanya hivyo. Sana sana either utakubali kutokubaliana nae or utamwi-ignore.

In fact, tatizo hili halipo MMU tuu. Lipo pia kwenye majukwaa mengine kama Jukwaa la Siasa. Probably, inabidi tufike mahali tukubali kuwa the way people behave on the internet na hasa hapa JF has changed considerably. Kwa hiyo, it is up to the users wenyewe kuamua kuwa serious kwenye hizo threads, kujihusisha katika threads za majitaka, au ku-igonore kabisa hizo threads. Kuhusiana na utoto ulioingia MMU na kwingineko, inawezekana kweli kuna watoto hapa na hivyo watakachoandika hakitakuwa relevant kwa wakubwa and vice versa.
 
Ndo ninachokupendeaga EMT, nakukubali saaaanaaaa.
asante kwa majibu ya kina, na nakubaliana nawe kabisaaaa.
Ila sasa kuna haya ambayo mtu ha-portray character yake halisi, sababu yupo hapa kama anony basi anataka kuandika mambo ya ajabu ambayo si ajabu hata yeye mwenyewe kwenye real life hayafanyi. Sina shida na wanao-pretend saints wakati ni devils, tunaambiwa kila siku tufundishe mema, hata kama wewe hufanyi hayo mema, watu wafwate maneno yako. lakini pale mtu, kwa sababu anazozijua mwenyewe anaanza kutangaza evil wakati yeye mwenyewe siyo evil sijui anakuwa na maana gani.
Tupo hapa kujifunza. Mpaka leo mamangu anajifunza mambo mengi tu mazuri kutoka kwangu. Wakubwa kwa wadogo tunafundishana, tunaelimishana. Kama kuna kitu kimekukwaza, tunasemezana.... hayo ndo maisha ambayo ni mazuri kuyaishi.
Kuna members wengi sana wageni humu nawakubali sana, wanatoa michango mizuri na mtu unajifunza sana kutoka kwao. kwa hiyo yale ya kusema jukwaa limeharibika sababu kuna wageni wengi mimi sipendi sana kukubaliana nalo. Na mbaya zaidi sijui hili linawezekanaje ku-control, kuna watu wengi sana ambao tunaona ni saints upande mmoja ndo wanaongoza kuwa na ID ambazo ni chafu balaa. kuna siku uzi uliibuka hapa kwa id ya ajabu sana nikawaza huyu mtu sijui anaishi sayari gani...... baadaye nikaja kuambiwa kuwa ni fulani, nilichoka. mpaka sasa siamini kama yale mambo ni kweli aliyeyasema ni yule mtu ambaye namuheshimu sana. kwa nini mtu uamue kuwa hivi na vile? mtu huyo huyo mmoja? unataka kufundisha nini watu? kama hayo unayoyaandika kwa ile ID ya kishetani yanatoka kwenye mawazo yako na unayaamini kwa nini usiyaandike kwa kutumia ID yako ya kimalaika? :doh:
 
digitali wenyewe wanaita.....

mi nawaiteni 'wa leo leo'....
 
Mkuu huko CC kulikuwa na nini mkuu?funguka!

Acha tu ndugu yangu. Walijaa watu wengi wakaanza mambo za kitoto ikabidi tuwape somo mimi na Invisible, wengine ikabidi wasepe.
seki.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asprin katika watu waliopotea ni wewe mkuu
Dah karibu sana mkuu bora turudishe MMU yetu bana enzi AshaDii na Lizzy wanatoa topic unajiuliza nijibu au nichangie nini au uanjikuta umebaki msomaji tuu maana mada ni moto

Mkuu nashukuru kwa ushauri wako uliotukuka kwa kweli, hayo uliyoyasema wewe na AshaDii ni moja wapo ya mambo yaliyonifanya niamue kuwa pembeni nibaki tu nikichungulia na kusoma yale ya muhimu na kusepa. la msingi ni kuanza utekelezaji wa yale mazuri mliyoshauri hapo juu.. PAMOJA DAIMA
 
bora dada Ashadii amerudi..akina 3D LIZZY wamepotea sana..akina madame B na Lara wameshika kasi..king'ast rudi bana..kuna tatizo hapa jamani
 
Naunga mkono hoja. Na threads zinazolenga kushambulia makabila hasa wachagga zilegezwe makalio yake.

Mijitu kila kukicha ni wachaga tu. Shenzy taipu zao na nusu.

Mi nakasirikaga chapchap sana.

Wanafunzi warudi madarasani, siku hizi wamepewa BRN.

hahaha aa
kiruuuu
eti walegee makalio
 
well said Rock
tatizo kubwa linalotusumbua hapa ni hawa wanaoitwa wavulana na wasichana kaaa.. wanaboa kwa kweli. Wanajaza tu server.

hicho kitufe cha REPORT ABUSE nitakifanyia kazi sawasawa.. count on me.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama umekuwa msomaji na mpitiaji mada humu hizo topic hata za kusema au kuelimishana mambo kama hayo hazipo siku hizi ni majanga tuu humu kwa sasa na sana sana tunaishia kulishwa magarasa tuu ya thread ambazo unajiluza hapa niseme nini sasa

^^
Sijaelewa kidogo Mr Rocky na asanta
Kumbe na mimi naharibu jukwaa?
Aisee!
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Labda nitumie fursa hii kuuliza machache kwa wakongwe;
1.Je ni marufuku kutoa mada negative jukwaani? Yaani tusifie hata pabovu na lile jukwaa la wasikia mazuri tu?
2.Kuna member wakongwe ambao hawagusiki ktk kukosolewa? Maana kuna wachache sana ukiwagusa basi timu nzima ya wakongwe lazima ikuandame
3.Je hamuoni umefika wakati ambao ipo haja ya kuweka sifa za kuitwa thread ya kupost jukwaani?
4.Pia nina tatizo na thread inayoonekana kupitishwa mistari ya kuwa imefutwa lakini inaonekana na inasomeka japo huwezi kuichangia..kama haijakidhi taratibu za JF kwa nini isifutwe kupunguza threads kwenye server?
Mr Rocky AshaDii
^^
 
Last edited by a moderator:
ila sio vizuri bana mi nakumiss kwa id ile. ngoja nnyamaze hii thread ya watu wazima tu.

Kiukweli,leo Husninyo: mimi na wewe tu. Unaona hapo unavyochakachua thread?Wenyewe wamekataza hayo mambo.Alafu wewe ni mmojawapo ya wale ambao wamekuwa "cc-ed" umetumiwa na wewe kama mkongwe wa jukwaa.LOL
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom