Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

Mweee!! Jamani kabila langu... Ndio hivyo kweli?? Not fair kabisa... Lol
Hebu AshaDii taja hilo kabila tuangalie jinsi tunaweza kuhifadhihifadhi kidogo, maana hapo tulianza na black and white!
 
Last edited by a moderator:
PJ tatizo kuna ka ukweli.. So bora ibakie tu. Ingekua uongo si povu hapo lingenitoka kwa kujitetea. Lol
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
Japokuwa bado huja'excel kwa kukwepa kulisema hlo kabila...ha ha haa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom