Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

PakaJimmy umekula rushwa mahali umeeenda kuupdate !nina wasi wasi na wewe!jana haikuwepo hii!ahahhahahhahah hata sijasoma lol!ngoja nisome sasa!

Unajua nini snowhite,
Ni kwamba tunazo za makabila yote na tunaweka hapa jamvini on user request.
Baada ya wewe kudai kwamba ya kwenu haikuwepo tukaupdate...ha ha haa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, wewe Snowhite wewe, sasa mbona wamshushia hadhi dada yangu Kaunga?

Majina ya Kinyamwezi Bomba sana, Mnyangala, Mkamiti, Nyamizi, Nyanso, Nyambula, Chelu, Mazila, Mwasi etc.

Hayo unayoyataka, pia yapo kama Kapemba, Kashindye, (Kisa?), Kakuwa..... Ila Kalunde, bomba sana hilo jina.
si ndo mana anachekelea!
hiv kaizer huna kwneye mafile yako huko ulikowahi kuwa na kabinti kenye jina linalofanana na kaunga,kalunde wa mitaa ya sikonge au ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Dada zake Malecela wana tabia gani? Ila hii picha kwa kweli ilinivunja mbavu, lohhh!!! Snowhite sijui upo hapa?

attachment.php
 
Hahahaa, wewe Snowhite wewe, sasa mbona wamshushia hadhi dada yangu Kaunga?

Majina ya Kinyamwezi Bomba sana, Mnyangala, Mkamiti, Nyamizi, Nyanso, Nyambula, Chelu, Mazila, Mwasi etc.

Hayo unayoyataka, pia yapo kama Kapemba, Kashindye, (Kisa?), Kakuwa..... Ila Kalunde, bomba sana hilo jina.
yani we na dadako leo wote mmeniharibia siku!
kwanza naanza kupitia profile ya pakajimmy!
nikikuta nae ni wa kwenu NAPELEKA MTU MAHAKAMANI!
 
ahahahhahhahhahha na mi nashangaa!imekuwaje!??? PakaJimmy kwani unataka umdate Kaunga???
sina imani na nyie!sina imani kabisa!
Weee!
Unataka mi nimdate Kaunga, hujajua kuwa Panya wote wa kwetu watakufia mbali...na kwetu sisi kuishi na panya ndio prestige, inaonyesha una vyakula ndani.
 
Last edited by a moderator:
Wengine hatuna uzoefu wa uzinzi,kwa hiyo mnaowatokeaga wadada wa kichaga kumbe hamlagi kabisa mzigo?aisee poleni sana
 
Weee!
Unataka mi nimdate Kaunga, hujajua kuwa Panya wote wa kwetu watakufia mbali...na kwetu sisi kuishi na panya ndio prestige, inaonyesha una vyakula ndani.

EHEHHEHEHHHEHHEHE !
anajuaje sasa kupika supu yake!
hebu fanya mambo!af njoo nikupe one oh her fantansies ambayo mwenzio mwafdende mmoja hiv imemshinda mpak leo!naogopa kutaja jina lake !
 
ahahahhahhahhahha na mi nashangaa!imekuwaje!??? PakaJimmy kwani unataka umdate Kaunga???
sina imani na nyie!sina imani kabisa!
Weee!
Unataka mi nimdate Kaunga, hujajua kuwa Panya wote wa kwetu watakufia mbali...na kwetu sisi kuishi na panya ndio prestige, inaonyesha una vyakula ndani.
 
Last edited by a moderator:
Hapana kabisa. Pakajimmy siyo wa kwetu. Si unaona hata hajui Dada Kaunga anatokea wapi?

Angelikuwa Mnyamwezi, basi angelifahamu haraka sana jina la Kaunga.
yani we na dadako leo wote mmeniharibia siku!
kwanza naanza kupitia profile ya pakajimmy!
nikikuta nae ni wa kwenu NAPELEKA MTU MAHAKAMANI!
 
Hahahaa, wewe Snowhite wewe, sasa mbona wamshushia hadhi dada yangu Kaunga?

Majina ya Kinyamwezi Bomba sana, Mnyangala, Mkamiti, Nyamizi, Nyanso, Nyambula, Chelu, Mazila, Mwasi etc.

Hayo unayoyataka, pia yapo kama Kapemba, Kashindye, (Kisa?), Kakuwa..... Ila Kalunde, bomba sana hilo jina.

halafu huyu snowhite sijui kajuaje mama yangu anaitwa Kalunde, pia kuna Ndaala, Mbela, Kapemba, Kasoga, Kayumya, Siyumba, Msambwa, Nyanzobe, Kalekwa, Isanga, Kasinde na mengine mengi tu!
 
Last edited by a moderator:
huyo hana lolote ajualo kuhusu kabila kubwa la mamtoni (refer mmisemo inayomaanisha, mamtoni as unyamwezini), otherwise angeshamwaga!
PakaJimmy Kaunga anakudare ujue!
sidhani kama huna ya MABINTI WA KINYAMWEZI!hebu kandamiza hapa!
kwani unawaogopa?hawana hata nguvu basi nikwambie!
 
Last edited by a moderator:
EHEHHEHEHHHEHHEHE !
anajuaje sasa kupika supu yake!
hebu fanya mambo!af njoo nikupe one oh her fantansies ambayo mwenzio mwafdende mmoja hiv imemshinda mpak leo!naogopa kutaja jina lake !
Unajua hapa sijakuelewa kabsaaa!
Labda urudie.
"Kita wifuna kugoga liyoka tova kumutu"
Embu fanya hivyo, maana nimeamua kukutafunia kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom