Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Usilikimbie kabila lako Passion Lady!
Ningekuwa mimi tena ndo nalipigia msitari kabisa!
ayaaaa!!PJ umeharibu duuuh!!
mi mpare wa dodoma hahaaa!!
Usilikimbie kabila lako Passion Lady!
Ningekuwa mimi tena ndo nalipigia msitari kabisa!
hahahaaa!kila mtu leo sio mpare!Mi ningependa watuthibitishie hapa jamvini, au ndio kukana origin zetu!
Mmmh! binafsi sio mfuatiliaji sana wa tabia za makabila...nimezaliwa mjini na nimeishi mjini
Heri sisi hatupo......
hahahaaa!kila mtu leo sio mpare!
akhuuu!!
heheheeee!!Yaani na wewe unakana wakati wote tunajua! Teh
Usilikimbie kabila lako Passion Lady!
Ningekuwa mimi tena ndo nalipigia msitari kabisa!
Kwanini mkuu Nicas Mtei?huu utani wa ngumi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
thanks to God my tribe haipo hapa loh