Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

Wana MMU, Je Mambo Haya Ni Kweli?

Local carpet has cotton fired,ie jamvi limepamba moto
 
Mmmmh haya bwana afadhali sijaona kabila langu huko ngoja waje walengwa tuone itakavyokuwa.

AHAHHAHAHHAHAHAHHAHA heri sisi hatumo!

halipo jimmy!
we angalia vizuri!
kwanza we are not into dinners lol!

Heri sisi hatupo......
Leo naona ni mwendo wa watu kuyasigina na kuyakataa kata-kata makabila yao!
Mbona hakuna dhambi hapo mnakana nini?
Haya hakuna mbaya jamani!
 
Kila mtu anasema hayumo, jamani ninyi hamna kabila, ama ya kwenu ndo yanayotisha, hivyo mnaamua kupotezea
 
Tafiti ya 2007, maana yake 2013 mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi mkuu...
Mambo ya kabang na 0714 yanazidi kupamba moto

Kabang na 0714 unamaanisha nini jombaa?
Weka mjadala huru ili tufaidi sote.
 
hahahahahahahahahaha....

0714..... Inatumika sana humu jamvini kumaanisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Mimi nilihoji kwamba hizo tafiti za 2007 zikifanyiwa upgrading basi dada zangu wa kipare wanaweza kuwa kwenye hali ngumu zaidi.
 
Kabang na 0714 unamaanisha nini jombaa?
Weka mjadala huru ili tufaidi sote.

0714... Inatumiwa sana humu jamvini kumaanisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Mimi nilihoji tu kwamba hizo tafiti zikifanyiwa upgrading dada zangu wa kipare watakuwa kwenye hali ngumu zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom