Wana MMU Bwana

hili ni jiwe gizani ukisikia yalaa limempata......well said my dear
 
Kuchepuka ndio mpango, ubaki njia kuu we lori!!!
 
lakini vaisley kama watu wameamua kuishi maisha yao ya ufake, wewe inakukwaza vipi? watu usiowafahamu wanakuchoshaje? au kuna aliyekutapeli my dear? mie niliponea chupu chupu kutapeliwa na member wa humu.
 
Last edited by a moderator:

ukweli mtupu,watu tuna figure
kama tuliteleza bafuni,ila
jf mashauzi kibaaaaooooo heheheeeee!!

 
lakini vaisley kama watu wameamua kuishi maisha yao ya ufake, wewe inakukwaza vipi? watu usiowafahamu wanakuchoshaje? au kuna aliyekutapeli my dear? mie niliponea chupu chupu kutapeliwa na member wa humu.

af nakumbuka mwaka jana au juz ulilalamika sn na kutapeliwa na mwanajf mpk ukaamua kuja kivingine..

na kale kababu mliishiaje hv....
 
Last edited by a moderator:
Mimi Molembe ni komandoo jana tulikuwa tunafanya yetu pale uwanja wa uhuru halafu kuna mtu kamuiba mke wangu J.lee atanikoma.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni bilionea wa Arusha namiliki Arusha One bus, Arusha to Dar daily, Arushaone fm radio www.arushaoneradio.com/facebook. Car wash na mengine mengi tu.

Nadanganya jamani, mimi ni mpiga rangi wa viatu hapa Arusha.
 
lakini vaisley kama watu wameamua kuishi maisha yao ya ufake, wewe inakukwaza vipi? watu usiowafahamu wanakuchoshaje? au kuna aliyekutapeli my dear? mie niliponea chupu chupu kutapeliwa na member wa humu.

Nani huyo alitaka kukutapeli Mwajuma? Ndo yule aliyesababisha ukaaga (halafu nilijua utarudi tu teh teh teh)?

Halafu alitaka kukutapeli pesa au....?
 
Mimi ni bilionea wa Arusha namiliki Arusha One bus, Arusha to Dar daily, Arushaone fm radio www.arushaoneradio.com/facebook. Car wash na mengine mengi tu.

Nadanganya jamani, mimi ni mpiga rangi wa viatu hapa Arusha. 🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…