Pole sana mkuu, kimsingi hakuna mwanadamu awezaye kukwambia neno la faraja kufifisha huzuni na majonzi uliyonayo. tukumbuke kuwa mungu ni mwema tena ndiye mfariji wetu. ampumzishe kipenzi chako pa amani palipo pema peponi amen.
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.