Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

Pole sana kaka. Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana kaka, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Kamanda.Mungu kampenda zaidi. Mungu akuzidishie nguvu na amani moyoni kipindi hiki cha msiba.
 
Pole Sajenti na wanao kwa kupoteza nguzo na mhimili muhimu wa familia yenu.
 
Pole sana Mungu akujaze nguvu ktk kipindi hiki unachopitia, pole sana.
 
Kamanda Pole sana kwa kweli!

Ama kweli kwenye msiba hualikwi na kuna wengi..,. nimekutana na members humu sijawahi kuwaona kwenye charting nyingi humu ndani ninazopita, salaam wanachama wenzangu... tunedelee kuwa na umoja...
 
aisee pole sana, ni pigo kubwa sana lililokupata. Mwenyezi Mungu awatie nguvu na moyo wa matumaini wote! RIP mrs sajenti!
 
Pole sana mpendwa, hiyo ni kazi ya mungu cha msingi ni kumuombea ailaze roho ya marehem mahala pema pepon, amina.
 
Pole sana ndugu yetu.na kifo nilazima lakini inaumiza.RIP.angalia watoto wako.
 
Pole sana mkuu, Pole na watoto, pamojana familia za pande zote mbili
 
Pole sana mkuu,
I'm sure mungu anamakusudio yake ila usihofu.be strong and God will be there for u.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom