Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
414
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8...msiba uko makongo juu kwa wale wanaotokea mwenge/mlimani city unapanda dalax2 ya makongo juu unateremkia mwisho zinzpoishia dalax2 uliza eneo linaitwa kizota. Kwa wanaotokea ubungo kupitia chuo kikuu panda dalax2 za changanyikeni teremkia kituo cha bondeni ( chuo cha takwimu) then ulizia kitongoji cha kizota. Hata wenye usafiri binafsi utaratibu ni huo huo. Tunafanya hitma ya marehemu leo saa 10 alasiri karibuni tujumuike sote. Namba yangu ni 0765 068886.
 
Pole sana,

Mungu akupe hekima kipindi hiki kigumu...
 
pole sana afande. Msiba uko kwa wapi ili kama ni karibu tuje msibani.
 
pole sajenti,may she rest in peace. Mungu akupe ujasiri wewe na wanao ktk kipindi hiki cha majonzi
 
Pole sana ndugu,
May her soul rest in peace, na Mungu akupe nguvu ya kushinda kipindi hiki.
Kumbuka, she is gone but your daughters are there and they need you.
Be strong.

images
 
dah mkuu pole sana tupo pamoja kwenye kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Mkuu!

Inshallah, Mungu akujalie faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Muhimu ni kujipa moyo kwani wewe sio wa kwanza kukumbwa na hali hiyo, hivyo amini utapata faraja mkuu!
 
Pole sana ndugu yangu. Mungu na akusimamie ktk kipindi hiki kigumu kwako na watoto wako. Pole sana.
 
sisi na wake na hakika kwakwe tutarejea.Pole sana kaka.Nalog off
 
Pole mkuu kwa kuondokewa na mke wako.
 
Nasikitika kuwafahamisha kuwa nimepata msiba leo alfajiri mke wangu kipenzi amenitoka. Kimsingi mazishi yamefanyika leo saa 10 kwenye makaburi ya changanyikeni...wife ameniachia watoto wawili wa kike 11 & 8.

Pole sana mkuu,bwana ametoa na bwana ametwaa,jina la bwana libarikiwe!
 
Pole sana kwa msiba. May the Lord give you strength in these trying times!
 
Pole sana mkuu......Mungu akujalie moyo wa subira kipindi hiki kigumu......
 
Inna lilahi wa Inna illahi Rajjun!
Pole sana mkuu. Mungu akupe moyo wa subra na akuwezeshe kushinda uchungu wa kipindi hiki.
Ailaze roho ya marhem mahala pema.

 
Pole sn ndg yangu! Mungu akupe faraja na akutie nguv ktk kpnd hk kgum sana! R.I.P ma lovly shem!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom