Wana jf ni wasafi zaidi au wanafiki zaidi?????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf ni wasafi zaidi au wanafiki zaidi??????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Mar 19, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa najiuliza hili swali....

  je wana jf walio wengi ni wasafi zaidi kimatendo au ni unafiki humu ndo unatawala????

  mfano mtu akipost thread inayohusisha na kutoka nje ya ndoa....

  asilimia 95 ya wana jf watamponda sana na kumlaumu kuliko
  watakaomsaidia as if hao wanaoponda ni wasafi sana.....

  mfano mwingine ni thread zinazohusu waganga wa kienyeji....
  kila mtu humu ndani ataponda hadi mwisho maswala ya waganga wa kienyeji

  cha ajabu ni kuwa kama wana jf ni sehemu ya watanzania...
  na watanzania sasa hivi inasemekana ndio tunaongoza duniani kwa imani a kishirikina na mpaka kuwa nchi inayoongoza kwa duniani kwa kuuwa albino na vikongwe kwa ushirikina.......je kama wana jf wote ni wasafi......

  hao wanao shiriki ushirikina ni kina nani?

  mimi siamini kama watu humu ni wakweli,mimi naona kama unafiki ndo unatawala...

  ushauri wangu badala ya kuwashutumu na kuwaponda watu
  wanaokuja kukiri matatizo yao humu...ni vizuri tukawa kwanza tuna wa incourage
  hao watu na wengine wakawa more open ili tuweze jifunza wote kwa pamoja...

  TUACHE KUSHUTUMU NA KUPONDA WATU WANAPO CONFESS HAPA....
  tuache unafiki.....
  BOSS.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hiyo red, jana nilikwazika sana member mmoja anaeleza matatizo ya kazini kwake mwingine anam-descourage kuwa eti aache kazi, is that a solution kweli?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Watu wanakuwa wa kwanza kuponda....na kushutumu....hadi watu watakuwa hawaji ku confess hapa.....
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  na wasipokuja?:juggle:
   
 5. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  JF ni proportion ndogo sana ya watanzania. members wa JF ni kama 30,000. Watanzania watu wazima tupo kama 20,000,000 (ukiacha watoto).

  30 000/20 000 000 x 100% = 0.15%

  kwa hiyo inawezekana kabisa wana JF wote wakawa watu safi..hahah..
  Any way, kila mtu na mawazo yake. kama wote wanaona hivyo, huwezi kuwalazimisha waone vingine.
  Kuna wengine wengi tu wamefaidika na wanaendelea kufaidika na ushauri wanaoupata hapa jamvini
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huwezi kulazimisha watu wachangie unavyopenda wewe na wakiwa tofauti unasema ni unafiki!Kama we ni mfuatiliaji mzuri wa post za watu unaweza ukamkuta mtu anapinga infidelity lakini anatetea utoaji wa mimba!Kuna watu binafsi nimewasoma kwenye post zao..mtu kama huyo huwezi kumuita mnafiki maana anachokikubali anasapoti na asichokubali anaponda hata kama wewe unaona ni sawa!It's a matter of principle and values!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  It works both ways
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  The Boss, wanajamiiforum wanakunena wewe nani?

  Na wewe unajinena ni nani?
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  85% ni wachafu bali wanajivika mavazi masafi ili uchafu wao ulio kwenye miili yao usionekane.
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe mkuu kuna sredi kama hili nilitaka kulirusha hewani. senks kwa kuniwahi bana. infakt hapa ni unafik kwenda mbele. hili halina mjadala kabisa yaani
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ngoja nisichangie nisije nikaitwa mnafiki!!
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hapo sawa Mkuu, huwezi kuchukua watu 33,697 members wa JF kuwakilisha Watanzania wote. Kutokana na Motto ya JF kama Great Thinkers, imani yangu ni kuwa zaidi ya 90% watakuwa ni wasafi, tena safi saaaaaaanaaaaa!
  Isitoshe hapa, kama katika mkusanyiko wowote wa watu, haiwezekani wote tukawa na maoni yanayofanana. Kila mtu huchangia kutokana na maoni yake. Mchanganyiko na tafauti za mawazo miongoni mwa Great Thinkers ndiko kunakoifanya JF kuwa Great.
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  a
  Hata wewe!!!
  MI sio mnafiki hata kidogo.
  Kijiko naita kijiko, uma naita uma
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  LD ofkoz unajijua wewe nafsi yako lakini nazani huu utakatifu uliokuwepo hapa JF calculator yangu imegoma, unajua kwa mtu ambae sio mbongo akija na kuona hizi koment hapa anaweza akasema hii bongo ni paradiso, wakati ukweli wa mambo ni kwamba majirrani zetu kama si vibaka ni mateja, kama hawaibi wake/waume za watu basi ni wasagaji/mashoga kama si washirikina basi at least wanauza mikono ya albino. (NB: mimi pia sio mnafiki)
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hapo penye Bold, Duh!
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  mfano kuna dada jana alileta thread yake kuwa mumewe anampiga kisa anachukua mda mrefu akiwa anasurf mtandao wa u-turn na pia anawasiliana na kijana mmoja wa kizungu....yule dada alidali kuwa hata acha kutembela u-turn na pia mawasiliano na mzungu haachi hata mumewe ampige vipi........

  sasa ndugu yangu unataka huyu nae tumuinkarage kwa hili?.....kuna watu huwa wanalela hoja zenye mashiko kias kwamba watu huwa inafikia mahali yule mleta mada anakuomba muwasilane kwa pm ili umsaidie vizuri...au hata kwa njia ya simu......

  lakini kuna wengine kwa wanauliza vitu vya kijinga sana....na kumbuka jf ni mahal pa kuonyana....kufundishana...kurekebishana...na pia kuburudisha
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi USAFI au UCHAFU wa mtu hapa JF unaweza kuutambuaje??
  Mi pia naweza kusema kuita wanaJF ni wachafu kwa asilimia kubwa pia ni unafiki, kwa sababu kwa asilimia kubwa sana bado humu ndani hatujuani kitabia.
  Cha muhimu ni jamii ifaidike na kile kizuri tunacho fundishana humu ndani, maana hata watoto wamo humu. Mimi hata kama niliwahi kufanya mapenzi bila kinga, bado nawajibika kufundisha jamii kwamba wanapaswa watumie kinga. So uadilifu wa mtu anaujua yeye mwenyewe ndani mwake, sio rahisi hata kumgundua kwa kukaa nae jirani au kwa sura.
   
 18. LD

  LD JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe, kwamba shillingi ina pande mbili. Head and Tail!!
  Hiyo Calculator yako, naomba isiwe mchina tu lakini.
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  CPU, mambo lakini?
  Umesema vema, ubaya ukemewe, mazuri yapongezwe.
   
 20. LD

  LD JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Edson. ubarikiwe kwa huu mfano halisi kabisa.
  THE BOSS mi huwa nakuamini, sasa sijui wewe ni mnafiki au Msafi.
   
Loading...