Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

Wana JF, ni halali kweli UDOM kuitwa chuo cha kata?

The dreamer.... You got some points... Kweli walimu wengi wana bachelor au masters.... Yaani hawajabobea..... I second you on this....Great Point
 
hivi weee bro,kingekua sio chuo cha kata kingekosa kwenda field course kubwa ka Project planning hebu toa tongotongo kumekucha.
 
hawa watotowa UDOM si wapuuuu..............mbaafu,hivi ni wasomi keli hawa?hebu fungueni akili nyie manunda na sio kukaaa kusubiri vyama pinzani vimesema nni au vimefanya nni then nyie muwe vibaraka wa kukimbilia kwenye vyombo vya habarikupinga.ILA MSIHOF NIMEWAPANDISHA CHATI TOKA CHUO CHA KATA HADI CHUO CHA WILAYA KWA MGOMO WENU,Mungu awe nanyi katika elimu yenu isiyo na manufaaa.
 
usihofu bro huyo jmaa atakua anasoma katani usimshangae..............hawana hoja ya msingi tena hao me nawashauri kilichbaki ni kukaa chni nakufikiria tutawapeleka wapy maaaana wataishia kuwa majambazi na matapeli wenye degree za kuchukua.
 
maaandishi makuuubwa lakinisijaona point,saaasa wewe habari za mdogo ako si za nini mbona unazungumza individualy akati kuna course nyingi hapo UDOM haziendi field toa tongotongo bro kumekuucha au hadi umsikie jogooo akiwika?
 
lakini uzuri ni kwamba mwanachuo anehitimu UDOM anapata faida ya degree mbili 1 ya elimu isiyo kuwa nafield(elimu mbooofu) na nyingine ni ile ya degree ya kada mzuri wa chama cha kijani, jamani wanfunzi wa UDOM msivuute shuka kumekuucha manunda nyie..........
 
Tatizo ukweli mchungu..kuwa waanzishaji wa kitu sio dhambi..walioanzisha UDOM (wanafunzi) sio dhambi kukubali kuwa chuo bado kichanga..kinachoponza tu ni hawa wanasiasa..hata serikali kuanza kutafuta upenyo wa kukitumia chuo hicho vibaya (eg wanafunzi kuchanga hela kumchukulia fomu mgombea, kufanya maandamano ya kipuuzi kushadidia maamuzi ya kipuuzi ya serikali, n.k)..cha msingi 'Tumieni muda mwingi kujifunza kutoka vyuo vingine, ndipo mtakapotambua "VYUO VIKUU NI SEHEMU AMBAPO MAWAZO HURU NA IMARA YANAPOKOMAZWA'....taratibu tu UDOM nayo siku moja itakuwa chuo imara na kongwe..stop being Arrogants!

waambie wanakata..... Waache kuwa wabishi
 
lakini uzuri ni kwamba mwanachuo anehitimu UDOM anapata faida ya degree mbili 1 ya elimu isiyo kuwa nafield(elimu mbooofu) na nyingine ni ile ya degree ya kada mzuri wa chama cha kijani, jamani wanfunzi wa UDOM msivuute shuka kumekuucha manunda nyie..........

kabsa waambie hao..... Waache unafiki me nilidhani UDSM ndo chuo kingetoa makada wengi wa chama cha kijani..na kufanya mambo yaliyofanywa na UDOM ila wao wamekaa kimya tu... Au mnadhani UDSM walianza hivyohivyo.... Hey amkeni acheni unafiki mkidhani mtapendelewa.....
 
chuo kikuu UDOM ni chuo cha kata! kwasababu kimeanzishwa ili kukidhi malengo ya kisiasa majukwaani wanapokuwa wanatoa hoja kama wanavyotumia shule za kata za sekondari.

pili kimeanzishwa ili kiitwe chuo kinachochukua wanafunzi wengi zaidi kuliko vyuo vyote lakini siyo kiwe chuo kinachotoa elimu bora kuliko vyuo vyote au kuliko vyuo vingine.

Ni chuo kilichojengwa ili ccm isilaumiwe kuwa watu wanaohitimu kidato cha sita na kukosa kwakwenda.

Nichuo ambacho miundombinu yake itaundiwa mpango kabambe ambao utakuwa ni muendelezo wa ile mitangulizi yake ikiwemo MMEM, MMES utafuata MMEC
 
maaandishi makuuubwa lakinisijaona point,saaasa wewe habari za mdogo ako si za nini mbona unazungumza individualy akati kuna course nyingi hapo UDOM haziendi field toa tongotongo bro kumekuucha au hadi umsikie jogooo akiwika?

mwambie huyo bwana me nadhani ni mwanakata huyo ndo maana anatetea ujinga na kuuacha ukweli ukionekana wazi kwamba UDOM ni chuo cha kata ambacho chama cha kijani wamekuwa wakijisifu bila ya kujua athari zake hapo baadaye.......
 
Ila kama wewe ni mwana udom unaujua ukweli kuwa chuo chenu ni kichanga...... So ni vgumu kwa udom kuwa na hadhi kama vyuo vingine kwa cku moja tu.... Mfano ni SAUT kilianza 98 kimekuja kustand soon... Kwa hiyo wanaudom mnabidi muwe wavumilivu......
 
chuo kikuu UDOM ni chuo cha kata! kwasababu kimeanzishwa ili kukidhi malengo ya kisiasa majukwaani wanapokuwa wanatoa hoja kama wanavyotumia shule za kata za sekondari.

pili kimeanzishwa ili kiitwe chuo kinachochukua wanafunzi wengi zaidi kuliko vyuo vyote lakini siyo kiwe chuo kinachotoa elimu bora kuliko vyuo vyote au kuliko vyuo vingine.

Ni chuo kilichojengwa ili ccm isilaumiwe kuwa watu wanaohitimu kidato cha sita na kukosa kwakwenda.

Nichuo ambacho miundombinu yake itaundiwa mpango kabambe ambao utakuwa ni muendelezo wa ile mitangulizi yake ikiwemo MMEM, MMES utafuata MMEC

ur are very intelligent...... Waambie ukweli hao waache unafiki kwanza udom hakijamalizika kulingana na plan zake ni haraka tu za wanasiasa ndo maana leo hii chuo kikubwa afrika mash na kati kinakuwa na tatizo la maji......? Hv inaleta sense kweli.
 
Ndugu zangu ma GREAT THINKERS
naomba niwaulize swali moja tu leo juu ya uhalali wa baadhi ya wapinga maendeleo ya kielimu ktk JF kukiita chuo kikuu cha dodoma kuwa ni CHUO CHA KATA,ningependa kutambuwa ni vigezo vipi wapinga maendeleo ya kielimu hapa JF wanavitumia ktk ku grade UDOM kama chuo kikuu cha kata?

mimi nadhani umefika wakati baadhi ya wapingamaendeleo ya kielimu hapa jf wakubali mchango mkubwa uliotolewa na serikali yetu ktk kukijenga hiki chuo,kwani tutambuwe kuwa ktk Dunia ya sasa bila elimu huwezi kuendelea

May be tubomoe chuo cha UDOM ili kuwaridhisha baadhi ya wana Jf wasiokubali kuwa UDOM ni chuo kikubwa pekee hapa TANZANIA na chenye msaada mkubwa ktk taifa letu kimaendeleo

Wana jf kuna uhalali kweli wa kukiita chuo chetu kikuu cha udom kuwa ni chuo cha kata? ama kwa sababu msingi wake ni CHIMWAGA jengo la mikutano ya CCM? hivyo inatufanya tuendelee kuwa na fikra zile zile za kila siku?

karibuni jamvini
MSEMA UKWELIIIIII HAPENDWIIIII DAIMAAAAAA

mapinduziiii daimaaaaaaaaaaa :target::target:

kwanza kabisa ni uhaba wa wataalam(walimu) pili ni kutoa wataalam wasiokwenda field(poor management) na mwingiliano wa siasa na chuo. "Kwa nini serikali itumie UDOM kama sehemu ya kujisafisha wakati kuna UDSM. SUA na vingine vingi " nyingine nyingi soma kwa magreat thinkers watakuelewesha.
 
Guys be proud with this a.k.a otherwise you will be burning with anger!

Jina ni jina halitoki wala halitaisha, furahieni, sisi wahandisi huwa tunawaita wasiowahandisi MANGWIN and they are proud of this

msipokubaliana na hili na swa na kusema you are not among scholars, vyuo vingi duniani vina aka, na UDOM must be one of them

study hard, prove to people that you are not chuo cha kata, work hard and do soemthing differently from other graduates.

mkipiga kelele eti tunaitwa chuo cha kata is childish and you will never erase this, ni swa na jina la utani la mtu, ukitania akikasirika ndio unataniwa zaidi ni nature ndivyo tulivyo

have a nice study at chuo cha kata

ha ha ha! Nimeipenda hiyo.
Utani mzuri. Tukicheka ndio tunazidi kuongeza siku za kuishi.
Madogo hawajazoea utani.
Hebu nikumbushe majina ya utani ya udsm na mzumbe.
 
hahaaa, kwa taarifa yako sisomi udom,

na sijasoma chuo bongo,

ila nawaponda nyinyi vilaza mnaosoma au mliosoma

vyuo flani flani mnaoponda wenzenu wa udom.

Hakuna kutafuta public sympathy hapa...

Duh watu wengine bwana... kwani kutokusoma bongo ndio uelewa au??!!! Kwanza nani kakuuliza???
 
why?

I guess wewe ni kichaa kama sio sh*g*

mbona mnatukanana ma greater thinkers...hii ni dalili ya kushindwa kuelewana..... Nani atawaelewesha... Acheni ujinga....greater pple discuss about issue....
 
kufanya medicine for 10 yrs haimaanishi unaifahamu MUHAS.
Prof kinabo,mwafongo,abood,kahamba,museru,nkony the list continues.samahani kwa kuongeza zaidi ya watatu.
Nakushangaa unapokubali kuwa hata MUHAS haistahili kutoa degree halafu unatetea UDOM kuwa sio chuo cha kata.punguza ushabiki na ujuaji!!

achana na wanachama wa chama cha kijani.... Wanatetea udom kwa kuangalia majengo nenda kwenye top ten za best university uitafute udom... Ila Theofil Kisanji haina hata ghorofa mbili ila ni best kuliko hicho cha kata..... Halafu kwa mtanzania mwenye akili kufananisha UDOM na chuo chochote Tanzania ni ul¤¤¤,upumbavu na ujinga ambao hautazamiki na hausemeleki.
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia habari kuwa UDOM ni chuo cha kata.

Tafadhali wanajukwaa wenzangu naombeni ufafanuzi, je ni kweli UDOM ni chuo cha kata? Na kama jibu ni ndiyo je, dhana ya kata inatokana na nini?

Je, ni kiwango cha elimu yao kuwa duni? Je ni wao kufundishwa na matutorial badala ya lecturers, maana hata shule za kata hufundishwa zaidi na formsix leavers.

Au ni sera ya uanzishwaji wa chuo hicho, maana inadaiwa kilianzishwa kisiasa kama shule za kata zilivyoanzishwa kisiasa. Tafadhali naombeni jibu.
 
hii discussion kidogo isababishe ngumi kurushwa electronically kule jukwaa la maonyesho/facebook.
 
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia habari kuwa UDOM ni chuo cha kata.

Tafadhali wanajukwaa wenzangu naombeni ufafanuzi, je ni kweli UDOM ni chuo cha kata? Na kama jibu ni ndiyo je, dhana ya kata inatokana na nini?

Je, ni kiwango cha elimu yao kuwa duni? Je ni wao kufundishwa na matutorial badala ya lecturers, maana hata shule za kata hufundishwa zaidi na formsix leavers.

Au ni sera ya uanzishwaji wa chuo hicho, maana inadaiwa kilianzishwa kisiasa kama shule za kata zilivyoanzishwa kisiasa. Tafadhali naombeni jibu.
Wewe Umesema!
Hakuna cha kuongeza hapo!
.
Politics at the best of Practice!...na imelipa of course!:tinfoil3:...si unaona walivyotembeza fomu yake ya kutafuta udhamini?
 
Back
Top Bottom