unadhan ni kitu gan kilichoifanya udom kupanda mpaka top 5 ya vyuo bora tz? kwasasa udom walim wengi wanarudi kutoka masomon na wengi sana wameandika publications na journals kibao pia chuo kimetoa mchango mkubwa ktk jamii kupitia wanafunzi walomaliza!halaf ni ajabu sana kumfananisha anaesoma udom bsc engineering na we unaesoma cjui laws enforcement! nadhan bado upo chuo maliza uingie kitaa uone ushindani wanaotoa wanafunzi wa udom ktk interviews! nenda makampuni makubwa ya mafuta ka BG., pan african energy uliza kwe interviews zao za mwaka jana wanafunzi wa wap ndo waliajiriwa??kuna watu kibao walikuwa na masters zao za ud ila walipigwa chin na bachelor's holders wa udom!
uliza wanafunzi wa petroleum udsm pia jinsi gani wanavyotupigia cm kutuuliza tuwasaidie ishu za masomo! udom is a new baby.''a baby that is growing fast and quite soon shall start running''