Swala la UDOM kuwa chuo cha kata wanaosoma hapo tunahitaji mtuthibitishie kuwa sio chuo cha kata kwa kutumia hoja nzito zilizo pembuliwa,bila ya kuleta hoja basi kubalini kuwa mmeenda chaka kupelekwa kwa nguvu(najua wengi waliojaza udom walikiweka kimitego baada ya kupata matokeo yasiyo lidhisha) hapo katani. Kiukweli kama huna network(KAMLETE) basi muhitimu wa udom kwa elimu anayo ipata hapo haiwezi kumfanya hawe compitent mbele ya gladuates wa vyuo vingine hapa TZ ila except SAUT maana ndio hakina hadhi kabisa ya kupewa title ya university.NAWASILISHA.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilipoanza kilikuwa na Professor mmoja tu kati ya sita waliokuwepo naye ni Prof. Weston wengine hawakuwa hata na PhD. system bora na endelevu ya kukuza waalimu wa ni kuwa na idadi kubwa ya walimu wanaochipukia kupitia waalimu wao yaani TAs wawe wengi sana, Assistant Lecturers wengi, Lecturers Kiasi, Senior Lecturers Kiasi na Maprofessor Kiasi maana kadiri muda unavyoeenda ndivyo maprofessor wanastaafu au wanapumzika kwa amani. Ikiwa maprofesa ni wengi kuliko TAs lazima kutakuwa na shida sana hapo baadae katika maendeleo ya chuo husika. Mfano ni pale serikali miaka ya 1980 hadi 1997 ilipositisha baraza la chuo cha UDSM kuajiri waalimu ila kwa ruhusa ya serikali tu, ambapo imeleteleza kuwa na uwiano usio sawa wa maprofessor hadi TAs.
Kwa swala la nani mwenye uwezo upi wa kifedha au kiuelewa (ufaulu mzuri) siamini kuwa serikali imefikia mahali pa kuwagawa watanzania kimakundi namna hiyo. Nadhani ni vyema tukajadili mada husika kimaendeleo zaidi na siyo kiuchonganishi na kibaubaguzi wa kidini, kiafya, kiakili na utajiri au imasikini kama mmoja wetu alivyosema kuwa watu wenye ufaulu mdogo na kutoka familia duni ndiyo waoomba kusoma UDOM.
Pia niwakumbushe tu kuwa wanafunzi wanaoenda UDOM kwa kiwango kikubwa wanajaza kwenye application forms whether online au vinginevyo pale penye course anayoipenda, au chuo anachokipenda lakini mwisho wa siku TCU ndicho chombo kitakacho mpeleka mwanafunzi kunakohusika. Nazungumza haya kwa kuwa nafahamu watu wanaofanya curriculum review ya UDOM na misingi ya senate ya UDOM kupokea wanafunzi waliochaguliwa kupitia TCU.
Mwisho mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza hata kujisomea mwenyewe tu bila mwalimu maana huendi chuo kikuu kufundishwa bali kusoma na hili ndiyo tatizo kubwa la wanafunzi wetu maana anashindia videsa, google na group discussion ambazo mara nyingi wanamsikiliza yule kipanga tu maana utakuta wanaochangia ni wawili au watatu katika kundi la watu zaidi ya kumi. Nilibahatika kupiga story na Mtoto wa mkulima(Pinda) na pi
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilipoanza kilikuwa na Professor mmoja tu kati ya sita waliokuwepo naye ni Prof. Weston wengine hawakuwa hata na PhD. system bora na endelevu ya kukuza waalimu wa ni kuwa na idadi kubwa ya walimu wanaochipukia kupitia waalimu wao yaani TAs wawe wengi sana, Assistant Lecturers wengi, Lecturers Kiasi, Senior Lecturers Kiasi na Maprofessor Kiasi maana kadiri muda unavyoeenda ndivyo maprofessor wanastaafu au wanapumzika kwa amani. Ikiwa maprofesa ni wengi kuliko TAs lazima kutakuwa na shida sana hapo baadae katika maendeleo ya chuo husika. Mfano ni pale serikali miaka ya 1980 hadi 1997 ilipositisha baraza la chuo cha UDSM kuajiri waalimu ila kwa ruhusa ya serikali tu, ambapo imeleteleza kuwa na uwiano usio sawa wa maprofessor hadi TAs.
Kwa swala la nani mwenye uwezo upi wa kifedha au kiuelewa (ufaulu mzuri) siamini kuwa serikali imefikia mahali pa kuwagawa watanzania kimakundi namna hiyo. Nadhani ni vyema tukajadili mada husika kimaendeleo zaidi na siyo kiuchonganishi na kibaubaguzi wa kidini, kiafya, kiakili na utajiri au imasikini kama mmoja wetu alivyosema kuwa watu wenye ufaulu.
Nimeisoma post yako kwa umakini nikitafuta hata sehemu moja ambayo umeandika point sijaona.Yani kwa sababu miaka hiyo ya nyuma wanafunzi walikuwa wanafundishwa bila ya kuwa na walimu kwa ukaribu kwa kipindi chote cha muhula basi na miaka hii tuendeleze huohuo utaratibu?? Be serious.
Kuhusu TCU hata kama admission capasity ni ndogo kwa mtu aliyepata outstanding performance lazima atapelekwa katika vyuo vya maana alivyovichagua nikimaanisha UD,ARU,MUHAS,SUA na MU.Wote unaowaona udom basi walivikosa hivi vyuo na zilikuwa ni ndoto zao(ambazo zimekufa) kuhitimu katika hivi vyuo,na kwa hili wanafunzi wote waliopelekwa udom wamekuwa na stress ambazo zinawakabili baada ya kupelekwa katani,KWA HILI MSIBISHE
Kingine ulichoboronga ni kuhusu library,inaonesha wewe umesoma shahada ya sanaa ila wenzako tunaochukua sayansi swala la wahadhiri kufundisha ni lazima na sisi sio watu wa madesa.
hi all jf members kuna hz rumours zinazosema eti m2 akimaliza udom na akienda baadhi ya ofic kuomba kaz wanamkataa kwa sababu ya jina la chuo hivyo nltaka kujuzwa kuwa hao waajiri wanaangalia gpa au wanaangalia title ya chuo?

hii ndo shida ya kuandika thread ukiwa na constipation,lazma utaandika upz