Wana JF naomba nisaidiwe ushauri kwa hili

Kaka sijakuelewa atawadhurumu vipi mkeo na mkweo??? kwa hiyo 20 elf?? fafanua kdg.
 
maneno hayaeleweki, yameunganishwa unganishwa bila space, please kama unataka ushauri jitahidi kuedit then just resend.
 
kama ukibahatika kuelewa utakachoeleweshwa, unieleweshe na mie plz.....vululu vululu....wkend yako ilikwendaje?

Orite....hangover inafanya nisielewe....damn weekends! Hivi kina zito hawajasusia weekend?
 
kama ukibahatika kuelewa utakachoeleweshwa, unieleweshe na mie plz.....vululu vululu....wkend yako ilikwendaje?

My dia na wewe ukibahatikia kuelewa baada ya kueleweshwa na mueleweshaji aliyeeleweshwa na mtungani, tafadhali njaa unieleweshe na mimi.
 
Kwani elfu 20 kumpa mkweo unaiona nyingi? au kama hutaki kumpa mwambie sina au chochote yani jambo dogo kama hilo bado unataka usaidiwe?
 
mkimaliza kueleweshana kwa ujumla wenu tafadhalini kujeni hapa mlieleweshe kwa pamoja
 
Ok poa ni hivi, narudia tena kwa uangalifu, Ni hivi baba mkwe wangu aliniomba nimsaidie pesa kidogo ila hakuniambia sababu ni nini, bt mke wangu alinitonya kuwa babaake anahitaji pesa kuna kitu fulani alikinunua hawakumwandika jina lake so anachotaka yy ni mimi kumpa pesa ili aweze kubadilisha nyaraka zote ili ziwe kwa jina lake, lakini wife aliniambia nisitoe hiyo pesa, anahisi babaake atawachinjia baharini, so nashindwa nifanyeje nimsikilize wife au babamkwe

Hivyo ndio ilivyo wana JF
 
Ni hivi baba mkwe wangu aliniomba nimsaidie pesa kidogo ila hakuniambia sababu ni nini, bt mke wangu alinitonya kuwa babaake anahitaji pesa kuna kitu fulani walikinunua kwa ajiri ya familia na walimwandika mtt wa kwanza katika familia kimbembe kikaja kwa babamkwe kuwa hawakumwandika jina lake. so babamkwe anachotaka ni mimi kumpa pesa ili aweze kubadilisha nyaraka zote ili ziwe kwa jina lake, lakini wife aliniambia nisitoe hiyo pesa, anahisi babaake atawachinjia baharini, so nashindwa nifanyeje nimsikilize wife au babamkwe.


Hivyo ndio ilivyo wana JF
 
bado hueleweki. kitu kishanunuliwa na nyaraka yeye hana, mkonazo nyie sasa yeye atabadilisha nyaraka gani? au mmempa nyaraka original?. nayeye mkeo alijuaje kuwa baba yake anataka kuwazulumu? assumption is the other of all F#@**&
 
Back
Top Bottom