Wana JF nikaribisheni member mwenzenu..!

Wana JF nikaribisheni member mwenzenu..!

Umepigwa ban sasa umeshindwa kuvumilia au sio😁

Anyway karibu,

Usiifanye JF kuwa kama baba au mama ako hadi unaonea uchungu IDs za watu kuzifatilia na makasiriko kama hauna kazi maalum.

Maana unaweza kufurahia kumtukana mtu kuwa ni shoga ila kumbe ndio mme wa dada yako mmiliki wa hapo unapoishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom