Wana JF naomba nisaidiwe ushauri kwa hili

Eti hueleweki. Kwa ufupi hata bila kurejea nilikwisha kukuelewa.
Huo ni ugomvi wa kifamilia, na mchango wako wa kukuingiza na ww ktk ugomvi huo ni hiyo elfu 20. Na hujuwi nini kitatokea ktk muendelezot wa ugomvi huo baada ya ww kuchangia mafanikio kwa baba mkwe wako.
Kwaiyo ni bora uendelee kumkwepa usimpe usimpe hiyo hela.
Pia jiulize kwanini asikope kwa mtu mwengine kama siyo kutaka kukutia ww ubayani?iyo kutaka kukutia ww ubayani?
 
Back
Top Bottom