Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,063
Reaction score
28,129
Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali.

Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa Maji) ni Mlezi wa mkoa wa Mara na aliwahi kukagua miradi, Mama Kijaji ni Mlezi mkoa wa Kagera nae amewahi kukagua ama Profesa Riziki Shemdoe (Waziri wa TAMISEMI) ni Mlezi wa Mkoa wa Morogoro na amewahi kukagua.

Msishangae kumwona Paulo pale Mwanza ni eneo lake la kimamlaka na Kiutendaji Kiserikali.
 
1000019308.jpg
 
Kuna media inaitwa Royal TV ilisema amekagua kwa kumuwakilisha Rais.

Ikasababisha watu waulize PM, VP, Waziri husika hawakuwepo?

Wewe leo unaandika hivi
 
Back
Top Bottom