msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 298
- 381
La haula. Ningependa nitoe salamu kwanza mdugu zangu je hamjambo.
Kama mjuavyo huu ni mtandao mkubwa sana na unakutanisha watu mbali mbali wanaume kwa wanawake sasa mimi niko na swali kidogo je wana jf kwa wana jf kuna waliowahi kukutana humu wakaanzisha mahusiano na wakafika mbali hadi kwenye ndoa pia na wale walioishia kundinyana tu
Kama unawajua pia unaweza ukawataja pia
Alamsik nawasilisha mada