- Wakuu naomba kusema kidogo hapa pembeni, ni muda sasa sijawaona hawa wakuu wawili yaani Capo Kuhani na Mkulu wangu Lunyungu, ningependa kuwaomba kwamba wanahitajika hapa katika kuchangia taifa, rudini wakuu taifa liko njia panda jamani.
- Popote mlipo tafadhalini mniskie kwamba mrudi haraka sana mnahitajika hapa Jf kwenye kumkoma nyani, na wale mliokaribu nao wakumbusheni wakuu hawa kurudi nyumbani hapa.
Respect!
Wazee wa sauti ya umeme FMEs!