Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Madame B unajua nimeshangazwa na mbwembwe zako zote lakini hujajua kila boma lina mkuu wake!!!

Mimi ndiyo mkuu wa boma hili, kwa kuwa ulikuwa hujui nakusamehe.

Karibu sana huku kwetu, sweetlady, marejesho nawaagiza kuwa karibu na mgeni mpaka mwisho ili machalii kama Arushaone wasimdhuru kabisa.

Kazi hii nimepewa na mkuu fulani nami naitekeleza kwa asilimia zote.

Mungi ukikukuruka tu kwa mgeni, cello ipo wazi inahitaji watu. PakaJimmy protocol inakataa kumpa majukumu ila Preta atakuwa Informer wangu ili mambo yasiende kombo.

Nimekubali majukumu kwa moyo mmoja....... Madame B karibu sana...
 
Last edited by a moderator:
asante mamito marejesho.
Kati ya watu kumi ambao ni lazima niwashukuru, mamito wewe ni namba 1.
umenisaidia sana.
Thanks.

Karibu sana mamito.... Tutaandaa carpet la red .. Utujulishe kwamba utapanda FAST JET ya saa ngapi ili tuandae magari ya kuja kukupokea airport,ngoma pamoja na Brass band...Pia fataki tutazilipua kama utakuja usiku.......
 
Mwenyeji wake niko kimyaa, nawachora watu tu wanavyohangaika kujibamiza.

Safari ya Madame B si ya kutokea kwa bahati kama kakakuona, ni kwamba, imebuniwa, imepangwa, imeratibiwa, inasimamiwa na itatekelezwa na mtu ambaye yuko kimyaa!!
Acheni kudandia...mnakuwa kama Pendapenda Filipo au Erickb52 bana!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mamito.... Tutaandaa carpet la red .. Utujulishe kwamba utapanda FAST JET ya saa ngapi ili tuandae magari ya kuja kukupokea airport,ngoma pamoja na Brass band...Pia fataki tutazilipua kama utakuja usiku.......

Dah!!!!!!!!!
Mbona raha hivoooooo..........!!!!!!!!!!! marejesho wifi yangu, usikonde, naja.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyeji wake niko kimyaa, nawachora watu tu wanavyohangaika kujibamiza.

Safari ya Madame B si ya kutokea kwa bahati kama kakakuona, ni kwamba, imebuniwa, imepangwa, imeratibiwa, inasimamiwa na itatekelezwa na mtu ambaye yuko kimyaa!!
Acheni kudandia...mnakuwa kama Pendapenda Filipo au Erickb52 bana!

Mwenyeji wangu PakaJimmy una Mbwembwe utadhani unaogea nje....!!!!!!!
Nadhani wamekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyeji wake niko kimyaa, nawachora watu tu wanavyohangaika kujibamiza.

Safari ya Madame B si ya kutokea kwa bahati kama kakakuona, ni kwamba, imebuniwa, imepangwa, imeratibiwa, inasimamiwa na itatekelezwa na mtu ambaye yuko kimyaa!!
Acheni kudandia...mnakuwa kama Pendapenda Filipo au Erickb52 bana!

hah hah hah hah! M/kiti bana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom