Dena,Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
...Niajeee JombaaDena,
You made our weekend Yesterday!
Ila acha ushamba wa kushitua watu last minute bana!..Yaani uko USA-RIVER ndio unatuambia?
All in all, you were so sweet!
Dena,
You made our weekend Yesterday!
Ila acha ushamba wa kushitua watu last minute bana!..Yaani uko USA-RIVER ndio unatuambia?
All in all, you were so sweet!
Noo!PJ?Ina maana anaishi pale Usa River? Ama umemtabiria makazi.
Mmmhhh weee nae kwa kusoma katikati ya misitari hujaacha tu
Marytina anasikitika kwa kushindwa kujua uwepo wako ArushaNawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana
siku unakuja Katavi uniPM......
Hivi siku hivi kuna ka ubaguzi eeh!? Nauliza tu kama Filipo au katibu ameanzisha ccj ndani ya JF?
Nikija siku nyingine nafikia nyumbani kwako (Sikujua kama upo Arusha aisee)
Siongei na wewe mambo ya kunigandisha Dar airport kama wale 'masalia' nawe ukishuka KIA ndio nini sasa ? anyway karibu kishingo upande na usirudie tena sawa ?