This is not fair. Sasa hawa akina mama wamekosa nini hata uwaporomoshee matusi kiasi hiki? Inabidi uombe radhi kwa ufedhuli huu. Honestly...
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Umeelewa mada inayozungumziwa hapa au umeamua kuvumbua mada yako mwenyewe? Chunga unachoandika jamani, ni aibu kubwa kama mtu mzima kabisa unaweza kuandika mambo kama haya kwenye forum hii.
mwanakijiji,
gavana anastahili alale kwenye kitanda cha sufi, na mashuka ya silk, paa lake na nyumba yake inapaswa inukie kama keki na kalamati, huku maji yanatiririka kama maporomoko ya pangani na nuru ndani ya nyumba yake ni kama vile jua limehamia ndani ya nyumba yake na kuipatia nishati!
Gavana ana umuhimu sana kwa maana asipopata malezi haya bora, je unafikiri ni nani atakaa na kutafakari mbinu mpya za kiuchumi kwa taifa letu? Unafikiri hawa kina mama na watoto wao wana uwezo hata wa kuelewa jinsi kalamu ya risasi inavyofanya kazi au utamu wa kulalia mashuka ya hariri?
You are damn right kuwa ccm ina kipaumbele naye ni ni gavana!
Check hioTanzania , ni nchi ya ajabu sana ulimwenguni, na ndio maana inaongoza kichawi na kinajimu.
Baada ya Kawawa kufa Sheikh Yahaya anajitapa mitaani kuwa utabiri wake kuwa mwaka 2009 usingeisha bila kiongozi mkubwa kufa umetimia.
Sasa kama nchi iko hivyo mnataka Gavana aweje?
Naye huyu kutumia bilioni 3 kujenga nyumba wakati nchi inaenda kuomba msaada wa vyandarua na kupewa vyenye dhamani ya milioni 78 wanakuja na kuutangazia umma kuwa ni mafanikio ya JK .
Inatia uchungu sana, nilikuwa Tanga Jimbo la Handeni wakina mama wanachota maji kwenye mto , na tangu Augusti mwaka jana kata ya Kiva pekee imeshapoteza watu 248 kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, halafu gavana anajenga jumba ambalo , sijui la kazi gani.
Wacha hilo tu m'kijiji
nimesikia juzi mawaziri wake mapumbavu wanasema
wanatafuta billion 7 kuileta brazil hiyo kwao aisumbui
hii serikali imelaaniwa siku alipokufa nyerere ,
Kulitunza! Unamaanisha nini? Nina imani kuwwa huu sasa ni utani eeeh? Si eti eeeh? unamaanisha mavazi, chakula na upkeep ya walio humo ndani au ni maintance ya jengo - usafi, umeme, maji na yanayofanana na hayo.Nimenong'onezwa kwamba gharama ya kulitunza jumba hilo kwa mwezi ni shs za kitanzania milioni 43
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Kama nikutukana umetukana saaana mkuu we unaishi kwa balali nini???
We ninani usiojua hali ya TZ na mawazo yako ya kijinga kuwa kila mtu aliyepata ujauzito kahongwa ni nani kakuambia hivyo, hujui haki yako na kuwa serikali inapata pesa nying tuu toka kwa hao walalao chini na hujui kuwa ni majukumu ya selikali kuhudumia mambo hayo
SORRY KUKUAMBIA HAUNAZO ILA KWELI HUNA KICHWANI WEWE HUNA KABISAAA. HATA KAMA UNESEMA WALIPIE GHALAMA WALIPIE NINI NDO ZINGETOSHA KUWAPA VITANDA HAO WAKINA MAMA!