Majala Kimolo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 342
- 39
Wazungu wakitutukana sisi Manyani tusilalamike!Hawaamini kuwa tunaweza kusort out hili tatizo!Tuko tayari kununua Phd fake,kuendesha FWD ,na corruption./ufidadi etc!
Hata wakinamama Wabunge ndio hovyo kabisa.Mwanamke ana moyo,lakini no body cares plight ya wanawake wenzao hapa.CCM inanunua magari zaidi ya 200!
Hizi pesa zinaweza kununua vitanda,hata kujenga maternity wards !
Shame on me,shame on you ,i am sick to death watu wanalia crocodile tears kwa kifo cha Kawawa!
Niko tayari kutoa machozi kwa hawa akina mama watanzania wenzetu ambao hawana
uwezo!
wapinzani wenyewe hawa kina Lyatonga Mrema, aah wapi tunaongopeana, Siasa za mageuzi zinataka watu wenye mioyo ya chuma, walio tayari kujitoa kwa faida ya wengine, hakika hawa kina Mrema hawako tayari kutuongoza kuelekea Kaanani ya kisiasa. hapa ni sisi wenyewe kuamua moja , na kuingia mitaani kuikomboa nnchi yetu, siasa za habari maelezo haziwezi kuikomboa nnchi hii mambayo Polisi na Jeshi zinaonyesha dalili zote za kuwa asasi za CCM...MMKJJ,
Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.
Ndio haya maisha bora kwa wote?
Hawakuzinunua kwa hela zao, walipewa wakati wa uchaguzi mkuu.Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
MMKJJ,
Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.
Ndio haya maisha bora kwa wote?
Picha zote inapaswa atumiwe Rais wetu maana hapa ni aibu na tena dhambi sana kwa Mungu. Ipo siku moja Mungu atakasikila na kuwa shusha watu wa aina hii. Jamani ni dhambi sana kwa Mungu wetu
MMKJJ,
Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.
Ndio haya maisha bora kwa wote?
MMKJJ,
Tuwashauri Wapinzani na Wanaharakati wabebe projectors na screens waendapo vijijini waonyeshe hizi picha ili wananchi waelewe vizuri jinsi raslimali za taifa na jasho lao na nchi kwa ujumla inavyoliwa na wachache bila aibu wala huruma kwa wananchi wengine.
Ndio haya maisha bora kwa wote?
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
watanyimwa vibali, wataambiwa wachochezi. nchi hii viongozi wetu wakisikia elimu ya uraia na haki ya mtanzania wanaogopa. wanataka kutawala watanzania wajinga miaka yote.