Wana CCM acheni unyonge - Kikwete


Upo serious? kumbuka Kikwete ni Rais
 
Kwa kauli hii sioni tofauti kati ya Rais na Nape
 

Attachments

  • Kipanya.jpg
    28.7 KB · Views: 77

Kazi ya vyombo ya dola ni ipi?Je Tanzania inatawaliwa kwa sheria?Kauli kama hii ingekua imetolewa na kiongozi wa upinzani mamlaka ingekaa kimya?
 
Mimi naungana na rais kikwete kuhusu hawa wahuni wa chadema dawa yao ni kuwapiga kila wanapo fanya fujo pia hawa washenzi wamelelewa sana nasi tulikuwa tunasubiri tamko la mwenyekiti wetu ili tuanze kuchukua hatua za moja kwa moja na tutaanza na kwa mugimwa maana wao wameanza sisi tutamalizia!
 
Kuhusu ile gari iliyokamatwa na mapanga na nondo ilikuwa kwenye wilaya ya bagamoyo nyumbani kwa Jk mwenyewe sasa hapo tufikirie nini?


Ni maagizo yake Mr. Dhaifu. Nadhani hayakutekelezwa kama alivyoelekeza ndiyo maana akasisitiza watu wake wasiwe wanyonge.
 
Sikutegemea na sijataka kuamini kuwa JK anaweza kutoa kauli kama hii. Sio kwamba ni mshabiki saana wa siasa hasa za Tanzania ingawa siasa ni sehemu ya mchakato wa kimaendeleo. Kauli hii ya JK ni muendelezo wa kuvuruga amani ya nchi yetu! Akiwa kama kiongozi wa Watanzania wote hakutakiwa kuotoa kauli ambayo naweza kuiita ya kizembe! Vyama vyote hasa CCM na CDM vimekuwa vikishiriki siasa za ugomvi na fitna kwa kiwango kikubwa! Hasa CCM inaongoza kwa hili la vurugu na kuumiza watu! Nilitegemea JK akiwa ndo ukingoni mwa utawala wake angekemea vyama vyote kuacha vurungu kwa kila jambo na wafanya kampeni za kistaarabu kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu. Kauli yake hii inaweza kuchafua hata ile heshima yake kidogo ambayo angestaafu nayo! Sitoshangaa baada ya muda kusikia JK anatakiwa kwenye ile mahakama yetu! Mungu tuongoze ili tuvuke salama kwa kauli za viongozie wetu hawa!
 
Nini kimesibu Mh Rais Kikwete? What is wrong with you mypresident?

Chama chake juzi si kimetoa pongezi kwa wananchi kwa ushindiwaliokipatia? Ati walishinda 24 kati ya 27 = 89%? Hofu hii ingekuwa kwa CHADEMAlabda ninge elewa?? Hebu wanasheria watusaidie hapa? Kauli ya Rais ni nini?Kauli hii iliyotolewa na Rais ina maana gani na je, inaimarisha umoja wetu na Amaniya waTanzania? Je, kauli hii haivunji katiba aliyo apa kwake kuilinda ama sheria nyinginezo?
 
Kikwete yupo sahihi kabisa, Ukimya wake na kuruhusu majadiliano ya wazi kidemekrasia ndio vilivyotufikisha hapa, watu wamefikia kukosa adabu kabisa, chadema wanafikiri nchi ni yao kufanya vurugu na kusingizia polisi ndio wanawasumbua , sasa mtambue kua demokrasia haiji kwa vitisho na vurugu, leteni hoja zenye kujenga na si siasa za kiushabiki, bandiko la lema jana nimelisoma na ni kati ya mabandiko hovyo kuwahi kutolewa na mwakilishi wa wananchi, Arusha itabidi mjifunze wakati mwingine kuchagua mtu mwenye maono ya kujenga na si vurugu na kukosa heshima kwa mamlaka kubwa kama huyu bwana, wakazi wa arusha tujisahihishe 2015, huyu bwana asirudi bungeni anatuabisha , Arusha hatuna watu wanaokosa busara kama lema..
 

you are too low!!

your brain is contradicted.....

kutuuwa sasa basi...
kutuchoma nondo sasa basi tumeacha unyonge...
aisee sifuri za sefue nyingi kweli humu JF brain inaweza kuwa cotradited kweli ,umesoma wapi wewe mbumbumbu you must be having an trophied bran simply you cant think mwenyekiti wenu kuwatangazia wananchi wachukue sime katangaza vita kama mulivyozoea kukata watu mashoka kuwakata shingo kwa misumeno yatamrudia mwenyekiti wenu
 
angekuwa amewapa wananchi uhuru wa kujieleza basi wasingepandishwa vyeo akina Kamuhanda kwa kuwauawa akina mwangosi akina ahmad msangi kwa kuwateka akina ulimboa mwigulu nchemba kwa kukatwa misumeno makada wa chadema arumeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…