Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Kwani hiyo kauli ina tofauti gani na ile ya mzee wa kulialia?: "wapigwe tu"

ina tofauti sana mkuu maana hii imetolewa na amiri jeshi mkuu na ndio mwenye final say.
 
Sikuwa karibu na Runinga, ila nilipifika nyumbani binti yangu akanieleza hakumuelewa Kikwete na kauli yake. Nikamuuliza kauli gani? Akaniambia amewambia ccm waache unyonge! wasitishwe na wapinzani, wagombee nafasi yoyote wanayotaka'.

Hii nchi JK haiachi salama, take my word! Nilishasema sism wako tayari kua ilimradi wasalie madarakani. Hii haikubaliki. CDM nendeni jimbo la kalenga bila uoga. Wambie tume ya uchaguzi kuboresha daftari. Wambie polisi wasiyhubutu kulibda waiba kura, wasithubutu kuingilia kampeni za uchaguzi huo. Waandaeni green guard kulinda kura za wapiga kura. Nchi hii yetu sote....hakuna mwenye hati miliki ya uongozi. Ni box la kura linalohamua nani awe nani. si polisi, si jk, si mahakama. Ccm achini haki ndiye awe mtawala.

kama binti yako tu katishika nadhan kila mtanzania aliye na akili timamu inabidi aitafakari hii kauli kwa mapana. ni kauli nzito sana kutolewa na rais
 
Aise ata mimi imenishangaza .aise huyu presda .uzee umemjia ghafla .2015 ifike haraka tuachane nae ingali salama .yuko kama anaongoza timu ya mpira .tukifungwa goli la umasikini .analalamika .goli la ufisadi analalamika .goli tembo wanaisha analalamika .goli ya timu yake safari kudhibitiwa kufanya fujo kwa kufanyiwa nayo .analalamika .nakuanza kuwajenge kwa saikolojia chafu ya kuondoa unyonge .maanake nini ?.maana ccm kwa fujo ndio wenyewe .sasa wakiondoka hapo kwenye unyonge wakupiga .sianawaambia waue sasa .,

me nadhani safari za mara kwa mara zimemchosha akili. uwezo wa kufikiri unapungua sana.
 
Ha ha ha.wapigwe tu.tumechoka.

Duh aise Raisi hajitambui au kama sio hamejisahau.ndio maana kila mwanaccm sasa anatangaza kutaka urais .wameshajigundua hamna raisi kwa muda sasa ,okee they right
 
Ameidhinisha piga nikupige jino kwa jino
Bila kufuata tatatibu za kisheria
Anaungana sasa na waziri mkuu aliyesema "utapigwa tu"
Ni kiashirio kwamba uchaguzi ujao kutakuwa na vipigo kwa sababu kibali kuacha unyonge kimetolewa rasmi.

anza kufikiria pa kukimbilia tu
 
Jk alisha poteza uhalali wa kuwa rais mda mrefu sana hii kauli haina tofauti na ile kauli ya Pinda kuwa wapigwe tu.
Jk asichojua nikuwa kauli kama hizi ndizo zinaleta machafuko nchini .
Wanaharakati kauli kama hii ya mkuu wa nchi lazima ikashifiwe
CHADEMA toeni kauli kulaani mwendo wa Jk.haiwezekani amiri jeshi mkuu alalamike hadharani utasema hana vikosi vya ulinzi na usalama alivyo kabidhiwa kulinda Amani.
 
Kwa kuwa chadema mmezowea mapigano na umwagaji damu,basi kauli hii nyinyi mnaitafsiri kwa mujibu wa taratibu zenu.

vip ile NOAH iliyo kamatwa na mapanga na wana ccm wakiwa ndani ,,inamana hiyo inaashiria amani???????
 
Kauli hii ipimwe sambamba na ile aloitamka akiwa Kigoma 'siwezi kuwakabidhi nchi wa pizani'.

Nawaomba viongozi wadini walitafakali hili. Nawaomba usalama wataifa wskitafakali hili. Nawaomba jeshi letu walitafali hili.

Kama viongozi hawa hawachukui nafasi zao mapema tusilaumiane mbele y safari. Tanzani ni tetu sote.
 
kama binti yako tu katishika nadhan kila mtanzania aliye na akili timamu inabidi aitafakari hii kauli kwa mapana. ni kauli nzito sana kutolewa na rais

raisi wa mipasho jk katoa kauli sasa ni kufyeka fyeka tu viccm uchwara vinavyo ingilia ruti za chadema na kuvichinjilia mbali huko ,wito kwa red brigade noeni mapanga yenu tayar kwa kuanza kazi sababu ccm tayari wamesha ruhusiwa kwa mujibu wa katiba ya jk.
 
sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
amewataka wana CCM kuacha unyonge. hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? kwa kuua au?
na amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

source: news, TBC1
safi sana jakaya.nimeipenda sana.
 
Kwa kuwa chadema mmezowea mapigano na umwagaji damu,basi kauli hii nyinyi mnaitafsiri kwa mujibu wa taratibu zenu.

Wanadhani kikwete kaagiza wachapwe! maana wao ni watovu wa nidhamu, kumbe rais ana maana nyingine kabisa!
 
Wanadhani kikwete kaagiza wachapwe! maana wao ni watovu wa nidhamu, kumbe rais ana maana nyingine kabisa!

umechelewa sana kuja.
ebu tujuze hiyo maana na sisi tuelewe.
 
Ameidhinisha piga nikupige jino kwa jino
Bila kufuata tatatibu za kisheria
Anaungana sasa na waziri mkuu aliyesema "utapigwa tu"
Ni kiashirio kwamba uchaguzi ujao kutakuwa na vipigo kwa sababu kibali kuacha unyonge kimetolewa rasmi.

rais karuhusu mapigano na amevunja katiba ya nchi. amesema ccm tusiwe wanyong na wenye hofu ilibidi nistuke mwenyekiti wangu ameruhusu na sisi tujibu
 
Binafsi sijaisikia, lakini baada ya kusoma hapa, pengine anawashawishi wa chama chake wajivunie wanachokifanya. Kuna tatizo hapo, yeye akiwa mwenyekiti wao? Tujitahidi kuangalia vitu kama vilivyo badala ya kujenga "presedence" ya vagi, mleta uzi.

Tukumbuke kuwa hii si nchi ya CCM na CDM pekee.

Am I missing something here?
 
Hii ni hali ya kutojielea kua yuko position gani katika nchi hii. Kwa hakika kiongozi wetu huyu kachoka akapumzike kwa sasa maana hii ni kama kuidhinisha watu wauane.

Amechanganyikiwa na swala la tembo huko uingereza mwacheni jamani anataka kumalizia muda wake vibaya!
 
ilibidi nimnongoneze mheshimiwa mwenzangu mara baada ya kusikia kauli hii italeta mijadala kwa watanzania sana ni kauli yenye ukakasi.ccm yangu tunaipeleka hii nchi wapi
 
Back
Top Bottom