Acha kulialia kama mtoto,nyie chadema mmezowea sana ubabe! Sasa unyonge basi.
....well said !!!
Kikwete alipoingizwa madarakani, jambo la kwanza ilikuwa kumwagiwa tindikali Kubenea, ikafuatia Richmond, Balali wa BOT, kuchinjwa kwa msomeno mwana CDM kule USA river, kuuliwa mwana CDM Igunga, kuuliwa kwa Mwangosi, hivi vyote vilifanywa na ccm, leo wananchi wanapowageuga na kuanza kuwageuzia umesikia kauli ya kiongozi wao mkuu. Mimi sishabikii ila akiwa kiongozi wa NCHI alitakiwa akemee.
tufunge macho tusali
Afadhari ya wewe una akili
Mwl.J.K.Nyerere.. Alihamasisha Umoja na Mshikamano..
A.H.Mwinyi ==> biashara...
B.W.Mkapa ==>Ubinafsishaji na Uwekezaji...
Mkuu wa sasa J.K ==>Anahamasisha Watu kulipa Visasi...
Naona mnajiandaa na mauaji lakini jueni ya kwamba mkianza si upande moja tu utakaoathirika, hii Nchi si ya nyie dhaifu peke yenu
Kwa ulichokiandika hapo, je upo tayari kuja kutoa ushaidi The Hague ? Wataminywa admin wa JF then ID yako itatambulika tu.raisi wa mipasho jk katoa
kauli sasa ni kufyeka fyeka tu viccm uchwara vinavyo ingilia ruti za
chadema na kuvichinjilia mbali huko ,wito kwa red brigade noeni mapanga
yenu tayar kwa kuanza kazi sababu ccm tayari wamesha ruhusiwa kwa mujibu
wa katiba ya jk.
Kwa ulichokiandika hapo, je upo tayari kuja kutoa ushaidi The Hague ? Wataminywa admin wa JF then ID yako itatambulika tu.
Mimi na mke wangu tumeanza mazoezi, unyonge no, ni mchamchaka mpaka lyamba.Amemaanisha tuandae na kunoa mapanga yetu, na kununua pinde na mishale, fita ni fita muraaa, mwenye mkuki ahayaaaa mwenye kombeo bebabebaaa aruta continuia
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
Wenye hasira wote tuwaandalie uwanja, tuwafungie ndani, then wakatane mapanga. Huku ss tunawaangalia kupitia TV.naona kaamua kutangaza
vita ya wenyewe kwa wenyewe! natamani kamanda wa anga naye awatangazie
wanacdm waache uoga na wasiwe wanyonge! labda tukipigana hata kwa mwezi
mmoja tutaheshimiana!
Sisi dhaifu,hakuna shida.
Case study nzuri ni issue ya Rwanda 1994, waandishi wa Radio RTLM wao walikuwa wanachochea mauaji kwa kuhimiza Wahutu wabebe mapanga kuwaua Cockroaches, nadhani kama umefuatilia wote wametiwa hatiani kuhusika na mauaji. Kama JK kachemka wewe usifuate ujinga wake. Tupendane wa Tz vyama hivi vitatupotezea Amani ya nchi yetu.Nani kwani kalianzisha hili Sebene