Wana CC wote nawatakia sikukuu njema

Wana CC wote nawatakia sikukuu njema

ulikuwa hujui nini, kama nimeshikishwa cha nyuma mwenzio ndo maana nimewaambatanisha kwa umoja, angalia ndo unamalizwa kiaina hivyo
Ndo nini wewe ladyfurahia kumualika mai waifu wangu Paloma bila ya mimi mwenye mali kualikwa..? Halafu ninaona umebananisha jina lake na saudari unajaribu kumfanyia deti fiksingi mai wafu wangu..? Umechukua takrima eeh..
 
ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema
 
figganigga mzee wa mia nimekusahau aise ila sikukuu njema mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema

Yaani Mr Rocky mie mwenyewe nimetoswa kwenye mualiko wa ladyfurahia..

Nakutakia na wewe sikukuu njema na mapumziko mema.. Kauli ni ile ile kama wanavyosema dont drink & drive.. :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema
Mr Rocky karibu kwetu jamani,ukija na my wii Dena Amsi itakuwa furaha yangu mimi na kipenzi changu figganigga......
 
Last edited by a moderator:
niko hapa napata hii kitu baada ya swaum ndefu,karibun jaman
970310_597379680313901_543529878_n.jpg
 
Eid-Mubarak-2013-greetings-free.gif

cc: All members of JF na familia zao.
 
Attachments

  • Eid-mubarak-2013-Muslim-001-HD-Wallpaper.jpg
    Eid-mubarak-2013-Muslim-001-HD-Wallpaper.jpg
    19.8 KB · Views: 38
Asante sana Mr Rocky...! Sikukuu njema pia!

ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mr Rocky
na wewe nakutakia sikukuu njema pia.

Bibie ladyfurahia umeandaa nini katika sikuku hizi? ningependa kuwa mgeni wako siku mbili tatu hizi kama Mentor hatokumaindi!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
We baba wee! unataka uwe mgeni wa ladyfurahia nyumbani kwako utamwacha nani? Usikimbie majukumu. Btw ladyfurahia asante kwa salamu za upendo, uwe na sikukuu njema pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom