Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Eli79 karibu sana home,kama ukiweza uje na Passion Lady.........Heaven , hata mimi nilifunga rafki yangu..vip napata mwaliko wa Eid?
Last edited by a moderator:
Eli79 karibu sana home,kama ukiweza uje na Passion Lady.........Heaven , hata mimi nilifunga rafki yangu..vip napata mwaliko wa Eid?
Passion Lady hanitaki siku hizi..... sijui hata nimemkosea nini mrembo yule!Eli79 karibu sana home,kama ukiweza uje na Passion Lady.........
ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema
Huku kwangu ndo tunadondosha li-GEGEDU limoja.
Karibu tile mpaka tinye.
ladyfurahia nina kadi yako hapa na kwa kuwa hujanitaja naichana chana
Sikukuu njema kwa wote haswa binamu zangu Paloma, Passion Lady, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, mwalimu wangu gfsonwin, sweetlady, charming lady, Lady doctor popote ulipo, the secretary, amu, mimisa, King'asti, Mamndenyi, Heaven on earth, mke wangu mpendwa Dena Amsi wakuu wangu Bishanga, Arushaone, Erickb52, Filipo, Mungi LiverpoolFC, Asprin, Rutashubanyuma, Ruttashobolwa, KakaKiiza, Kaizer, sosoliso, manoah, Jiwe Linaloishi, EMT, Nicas Mtei, The Boss, Blaine, grafani11, saudari na wengine wote ambao sikuweza kuwataja nawatakia sikukuu njema
Eli79 karibu sana home,kama ukiweza uje na Passion Lady.........
Passion Lady hanitaki siku hizi..... sijui hata nimemkosea nini mrembo yule!
Hivi mimi Mamndenyi sikupata mwaliko kutoka kwa mwanaume hata mmoja hapa cc. Kweli yaani ma me woote hapa cc nimewashusha daraja ile mbaya. hivi hizo hela zenu ni za wapi?
weeee nani kasema sikutaki?
nakutaka sana yale ni mashauzi ya kike tu!!
unamtaka au unamhitaji?
duuuh baba nani umekuja mpaka huku
nilikua namtania tu huyo,amtake nani?aaakhaaaa!!
Passion Lady! Ukuje utoe majibu hapa.unamtaka au unamhitaji?
Passion Lady! Ukuje utoe majibu hapa.