Wana CC wote nawatakia sikukuu njema

Wana CC wote nawatakia sikukuu njema

sikumbuki kama kuna mzigo ulinipa
nikushikie,hebu nikumbushe ili nikupe!!

Hahahaaaaa.... ule mzigo tuloahidiana ndo umeusahau? Si ulisema mzigo utakosti kilo moja, PL mbona unanikana mbele za wadau? We toa mzigo upate chako
 
Hahahaaaaa.... ule mzigo tuloahidiana ndo umeusahau? Si ulisema mzigo utakosti kilo moja, PL mbona unanikana mbele za wadau? We toa mzigo upate chako

huku kuna usalama wang'oa meno ujue
wasijedhani tunaongelea sembe nitiwe mbaroni bure!!
 
Back
Top Bottom