Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Kamwe hawataweza kukubali kua ancient Egyptians walikua weusi,wameshakubali kua Egyptian civilazation ndio mzizi wa civilization zote duniani..

Hawatakubali kubadilika sababu wameshasema na mpaka kuwaaminisha weusi kua wao ndio jamii dhaifu kupata kutokea.Wakikubali kua weusi ni number 1 civilazation in the world wataonekana wao ndio dhaifu kiuhalisia.

Hata hao akina Aristotle ambaye ni baba wa philosophy ya magharibi alikuja kujifunza Alexandria Misri.
Mimi naona suala sio wao kukubali, suala ni kwa watu weusi kufahamu historia yao na njama zilizotumika kuficha ukweli au kuenendelea kupotosha ukweli na tujue malengo yao ni nini hasa. Ustaarabu ulianzia misri ya watu weusi kasha ukasambaa duniani kote. Kuhusu suala la 'architectural' nchi za ulaya na za asia wamekopi kutoka misiri.

Kuna swali dunia inajiuliza ni kwa nini mtu mweusi anachukiwa sana na makabila (Races) yote duniani??????? Ukweli ni kwmba ndani ya historia ya mtu mweusi kuna siri kubwa sana imefichika ambayo watu weupe hawapendi iwekwe hadharani kwani itabadaili kabisa upepo wa dunia kama sio kuchafua. Tukumbuke Biblia imesema nini kuhusu wana wa Israel walioko utumwani watarudi kwa utaratibu upi kwenye nchi yao ya ahadi. Israel ya sasa ilianzishwa kwa Declaration ya UN May 14, 1948 ambapo ni kinyume kabisa na jinsi biblia inavyosema. Sasa kama ndivyo hivyo, wana wa Issrael kumbe bado wako utumwani. Natanyahu na washikaji wenzake ni wa Israel fake tena fake kuliko. Dunia isubiri na itashuhudia muda si mrefu ujio wa wana wa Israel katika nchi yao ya ahadi. Anwal Saadat Rais wa zamani wa Misri alisema hata siku moja haitatolea akapatana na wayahudi kwa sababu 'Walitoka Misri wakiwa weusi na wamerudi wakiwa weupe'. Kwa maana nyingine wamisri wa sasa wanajua fika wamaisri asili ni akina nani.
 
Asante kwa mada hii, umeniongezea kwa yale ninayoendelea kutaka kuyajua kwa mwaka huu wa 2017. Naomba wale wanaohitaji kufahamu zaidi watafute mihadhara ya akina Hon. Minister, Louis Farrakan, Dr. Ben Jacanann, Dr. Sartimer, Dr. Khalid Mohammed, Dr. Martin Luther, Dr. Malcon na wengine wengi. Ukienda 'youtube' utawasikia.

Kwa ufupi historia ya mtu mweusi imepotoshwa kiasi kwamba watu weusi wa sasa hawajui na hawatojua historia yao na uthamani wa mtu mweusi hususan mchango wao katika maendeleo ya sayansi ya sasa. Sio hivyo, kuna suala la 'ni nani hasa wana wa Israeli waliotamkwa kwenye vitabu vitakatifu???? ukiweza kusoma vitabu vitakatifu hususan Biblia iko wazi kuhusu hili lakini jinsi linavyohubiriwa na watu weupe ni kuficha ukweli.

Hata ukitumia common sense kuhusu Taifa la sasa la Israel utagundua waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye biblia. Hivi iweje katikati ya Ufaransa na Ubeligiji liwepo Taifa la watu weusi wakati nchi zote zilizopo jirani zina watu weupe (Itakuwa miujiza) ni sawa na Israel, iweje pale middle east liwepo taifa moja tu la watu weupe wakati mataifa yaliyozunguka yana clored people???

Jambo zuri ni kwamba kwa sasa duniani kote kuna mjadala mkali sana kuhusu 'who are the real children of Israel'. Ukifuatilia mjadala huu ambapo reference nyingi zinatoka kwenye biblia na historia ya watu weusi na hasa wapi binadamu wa kwanza aliishi, basi utagundua mtu mweusi ndiyo anakuwa 'center' ya mjadala. Tuendelee kujifunza ili tujifahamu pamoja na uwezo mchango wa mtu mweusi katika historia ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Ni kweli kabisa,hizi habari si tu kwa ajili ya emancipation of Africans,bali ni swala la "giving respect and recognition" where are due..

Hiyo mada ya who are the real children of Israel ni mtambuka saaana,ila Musa angeweka wazi jina la huyo Farao anaemtaja ni nani kila kitu kingekua wazi,na ninahisi atakua alitajwa tu ila wajanja waliotuletea bible wakaficha ukweli kumbuka Bible imekua compiled hata miaka 1000 haifiki.
 
Mama yangu ni mmoja wa waumini wa doctrine ya inferiority wa mtu mweusi,anasema mtu mweusi kokote aliko ni shida na umaskini na matatizo yaleyale yaliyopo Africa.

Utaulizwa hizi habari unazitolea wapi?Mbona darasani hazifundiswi?

Mama huyu asilaumiwe, watu weusi walivamiwa, wakauawa na kutawanyika takribani dunia nzima na utamaduni wao, uthamani wao, ujuzi wao na fikra zao zimehujumiwa consecective zaidi ya miaka 2000 bila yao wao kujitetea wala kupata fursa ya kuweka sawa historia yao. Zaidi kwa muda wwote huo wamekuwa wakitumikishwa, wakinyanyaswa, wakitolewa ufahamu kwa kuambiwa wao ni dhaifu na si lolote wala chochote na mpaka sasa kama alivyo huyu mwana mama tunaendelea uongo kupitia vyombo vya habari (CNN, BBC, FOX NEWS, ABS NEWS n.k) ambavyo vinamilikiwa na wapotoshaji wetu. Mfumo wa elimu na nadhari tunazosoma ni za hao hao wabaya wetu na hakuna kitu kibaya mtu akakutawala kifikra kama alivyo huyu mwana mama. Ataendela kuamini hivyo na kufundisha wanawe hivyo matokeo yake ni mtu mweusi kuendelea kujiona dhaifu mbele ya mtu mweupe
 
Ni kweli kabisa,hizi habari si tu kwa ajili ya emancipation of Africans,bali ni swala la "giving respect and recognition" where are due..

Hiyo mada ya who are the real children of Israel ni mtambuka saaana,ila Musa angeweka wazi jina la huyo Farao anaemtaja ni nani kila kitu kingekua wazi,na ninahisi atakua alitajwa tu ila wajanja waliotuletea bible wakaficha ukweli kumbuka Bible imekua compiled hata miaka 1000 haifiki.
Ushahidi uliopo wa kisayansi, Faraohs wote walikuwa watu weusi (DNA TEST)
 
Asante kwa mada hii, umeniongezea kwa yale ninayoendelea kutaka kuyajua kwa mwaka huu wa 2017. Naomba wale wanaohitaji kufahamu zaidi watafute mihadhara ya akina Hon. Minister, Louis Farrakan, Dr. Ben Jacanann, Dr. Sartimer, Dr. Khalid Mohammed, Dr. Martin Luther, Dr. Malcon na wengine wengi. Ukienda 'youtube' utawasikia.

Kwa ufupi historia ya mtu mweusi imepotoshwa kiasi kwamba watu weusi wa sasa hawajui na hawatojua historia yao na uthamani wa mtu mweusi hususan mchango wao katika maendeleo ya sayansi ya sasa. Sio hivyo, kuna suala la 'ni nani hasa wana wa Israeli waliotamkwa kwenye vitabu vitakatifu???? ukiweza kusoma vitabu vitakatifu hususan Biblia iko wazi kuhusu hili lakini jinsi linavyohubiriwa na watu weupe ni kuficha ukweli.

Hata ukitumia common sense kuhusu Taifa la sasa la Israel utagundua waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye biblia. Hivi iweje katikati ya Ufaransa na Ubeligiji liwepo Taifa la watu weusi wakati nchi zote zilizopo jirani zina watu weupe (Itakuwa miujiza) ni sawa na Israel, iweje pale middle east liwepo taifa moja tu la watu weupe wakati mataifa yaliyozunguka yana clored people???

Jambo zuri ni kwamba kwa sasa duniani kote kuna mjadala mkali sana kuhusu 'who are the real children of Israel'. Ukifuatilia mjadala huu ambapo reference nyingi zinatoka kwenye biblia na historia ya watu weusi na hasa wapi binadamu wa kwanza aliishi, basi utagundua mtu mweusi ndiyo anakuwa 'center' ya mjadala. Tuendelee kujifunza ili tujifahamu pamoja na uwezo mchango wa mtu mweusi katika historia ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Hebu mcheki huyu jamaa hapa.....

"Good Way Is That You Suspect, Follow Your Insincts".... moja kati ya nukuu zangu nanazozipenda na zinaniongoza katika mambo mengi sana. binafsi nishawahi jiuliza, hivi ni kweli sisi waafrika (weusi) hatujastaarabika? hivi ni kweli bila wazungu tungeendelea kuishi maisha pori yale? je ni kweli mtu mweupe ana akili nyingi kuliko mweusi? na je ni nini chanza cha mweusi kuzidiwa maarifa na mweupe? halafu pia nikajiuliza... mbona matendo anayofanya mtu mweusi yana staha kuliko ya mtu mweupe? swali la mwisho likawa, ingekuwa kama mtu mweusi ndo angetawala kila kitu ulimwenguni!?... Jibu nililohisi, HUENDA KUNA HIYANA WATU WEUPE WALIWAHI KUWAFANYIA MABABU ZETU, HAPO KALE! leo ndo napata mwanga, kweli njia nzuri ni ile unayoihisi.
Binafsi kuna niachoamini, kwamba kuna uwezekano mkubwa Uumbaji wa binadamu ulianzia TANZANIA.
 
Mama yangu ni mmoja wa waumini wa doctrine ya inferiority wa mtu mweusi,anasema mtu mweusi kokote aliko ni shida na umaskini na matatizo yaleyale yaliyopo Africa.

Utaulizwa hizi habari unazitolea wapi?Mbona darasani hazifundiswi?
Mkuu hili suala lina msururu mrefu sana wa historia ambayo ni tamu na chungu kwetu....

There is a big possibility kuwa Bantus ni bloodline ya Waisraeli,if this is true ile habari mbaya kabisa ya Kumb 28 inatuhusu kabisa kwa asilimi 100 kitu ambacho ni kibaya kabisa kwetu....

Ndiyo maana nikasema kuwa hii history ina machungu na mema..

Kukubali Wamisri kuwa weusi ni kukubali Waisraeli walikuwa weusi,kama ni hivyo historia ya Waisraeli kukimbilia Ulaya baada ya uvamizi wa Waashuru kule Israeli ya kaskazini mwaka 658 B.C na baadaye uvamizi wa Warumi katika nchi ya Judea [Israeli ya kusini] mwaka 70 A.D ni uongo....

Ni uongo kwasababu isingekuwa kweli kizazi chote kiwe cheupe kama tunaowaona leo,na pia ni uongo kwasababu huwezi kuvamiwa na jambazi halafu ukimbilie nyumbani kwake jambazi huyo huyo kujificha....

Warumi [Roman Empire] waliwavamia na kuwaua Waisraeli wa kusini [Wayahudi] iweje watu hao hao wakimbilie Ulaya,nyumbani kwa mvamizi wake wakajifiche?

Haiwezekani....
 
Historia ni jambo refutable hivyo basi yaweza kuwa ni kweli. Ila mimi mara nyingi huwa nachukizwa na jinsi hizi tafiti zinapo mchambua au kumuelezea mtu mweusi. Mfano jambo la pua kuwa nene au fupi au uweusi kupitiliza, kwangu mimi hizi sio sifa za mtu mweusi hata kidogo.
Kuna ubaya gani kwenye hili?

Mi naona wewe ndiyo una matatizo maana unabeba negativity zile zile kwamba vya mweusi ni vibaya kama pua yake na rangi yake kitu ambacho siyo sahihi kabisa....

Tunapaswa tujifunie namna tulivyo,tujipende na kujithamini..

Yes,pua zetu ni pana,ukiletewa picha leo hapa ya Yesu halisi na ukamuona ana pua kama yako utaendelea kujichukia na pua yako pana?
 
Naona ujanielewa na sijasema kuwa mweusi ni kosa.Lazima utambue kuwa mweusi sio pua pana au ngozi nyeusi sana, mfano wachaga au watutsi ni weusi lakini wana pua ndefu nyembamba, rangi nyeupe kwa uchache tu.
Kama hufahamu tafiti nyingi zimekuwa na baadhi ya vigezo vya kumtambulisha mtu mweusi ni pamoja na pua pana,rangi nyeusi na nywele ngumu.
 
Mkuu hili suala lina msururu mrefu sana wa historia ambayo ni tamu na chungu kwetu....

There is a big possibility kuwa Bantus ni bloodline ya Waisraeli,if this is true ile habari mbaya kabisa ya Kumb 28 inatuhusu kabisa kwa asilimi 100 kitu ambacho ni kibaya kabisa kwetu....

Ndiyo maana nikasema kuwa hii history ina machungu na mema..

Kukubali Wamisri kuwa weusi ni kukubali Waisraeli walikuwa weusi,kama ni hivyo historia ya Waisraeli kukimbilia Ulaya baada ya uvamizi wa Waashuru kule Israeli ya kaskazini mwaka 658 B.C na baadaye uvamizi wa Warumi katika nchi ya Judea [Israeli ya kusini] mwaka 70 A.D ni uongo....

Ni uongo kwasababu isingekuwa kweli kizazi chote kiwe cheupe kama tunaowaona leo,na pia ni uongo kwasababu huwezi kuvamiwa na jambazi halafu ukimbilie nyumbani kwake jambazi huyo huyo kujificha....

Warumi [Roman Empire] waliwavamia na kuwaua Waisraeli wa kusini [Wayahudi] iweje watu hao hao wakimbilie Ulaya,nyumbani kwa mvamizi wake wakajifiche?

Haiwezekani....
Hiyo kumb 28 ina nini mbona sioni ubaya wake?

Hawataki kukubali weusi wa egypt sababu itagundulika kua Israel yasasa nayo ni feki.
Akina Netanyahu na wenzake wote hao ni Jews by conversion na wala sio by blood.
Haha Rumi inatawala dunia inakuja kwenu kuwavamia mnakimbilia eneo ambalo mtesi wenu amejikita zaidi. rubbish.
 
Naona ujanielewa na sijasema kuwa mweusi ni kosa.Lazima utambue kuwa mweusi sio pua pana au ngozi nyeusi sana, mfano wachaga au watutsi ni weusi lakini wana pua ndefu nyembamba, rangi nyeupe kwa uchache tu.
Kama hufahamu tafiti nyingi zimekuwa na baadhi ya vigezo vya kumtambulisha mtu mweusi ni pamoja na pua pana,rangi nyeusi na nywele ngumu.
Hakuna wachaga wa hvo,labda watutsi...na hao sio pure africans ni cross breed na jamii nyingine.
 
Ingawa unahisi kusema pua pana au midomo mnene ni offensive sawa,samahani lakini ukweli ndi huo.

Kwa mtazamo wako sifa za mtu mweusi ni zipi?
Bila samahani ngoja nikujuze jambo hapa Africa tuna watu wa kila aina na wenye tamaduni, fikra, rangi na maendeleo tafauti.Sasa baadhi ya hizi tafiti zinapotaka kuaminisha watu juu ya mtu mweusi ni mtu wa aina gani si jambo zuri hata kidogo.
Watu weusi wana features mbalimbali kutokana na eneo waliopo kwa mfano ukiwa Uganda sehemu za Bunyoro, Toro ni tafauti ukiwa Karamoja au Soroti
 
Hakuna wachaga wa hvo,labda watutsi...na hao sio pure africans ni cross breed na jamii nyingine.
Unaposema sio "pure Africans" nimekumbuka tafiti mmoja ilijaribu kusema watutsi si wabantu na wewe naona ni mmoja wapo. Hivi mwafrika halisi ni yupi? maana inaonyesha tayari una vigezo vyako vya juu ya nani ni mwafrika halisi.
 
Hadi leo wamisri ni weusi mbona. Weupe ni waarabu tu kama walivo hapa tanzania au Africa kusini ni weupe???? No jibu ni watu wa afrika kusini ni weusi na weupe ni wazungu. Misri kuna wamisri na waarabu. Iko wazi mbona
 
Mkuu nimeisoma hii na nakubali kwamba Wamisri wa kale kabisa walikuwa ni weusi kama sisi huku kusini mwa jangwa la Sahara,lakini siyo hivyo tu bali hata nchi zingine ambako kuna weupe wengi....

Suala la Misri linaonekana kuwa gumu kwasababu lina mambo mengi sana ambayo yameunganishwa na kutengeneza uongo mkuu kuhusu asili na historia ya mtu mweusi....

Kuna vita kubwa inafanywa kuhakikisha mtu mweusi anabaki kwenye lindi na giza kwasababu wanajua ubora wa mtu mweusi.Wanajua kuwa binadamu wa kwanza kustaarabika alikuwa mweusi.Binadamu wa kwanza alikuwa mweusi.Kwa wale wa kwenye dini ni kwamba mitume na manabii wote walikuwa weusi....

Mtu mweusi ni binadamu bora kabisa kupata kuwepo duniani na hawa ndiyo "wateule" walioko duniani.Ujinga na njama za kinyama zilizotokea miaka 2000 iliyopita zimemfanya mtu mweusi awe hapa alipo leo....

Kama leo wakikubali kuwa Misri ilikuwa na watu weusi itabidi wabadili mambo mengi sana.Hawatakubali kwasababu binadamu aliyewahi kuwepo duniani,binadamu aliyebadili historia ya dunia,binadamu ambaye aliishi na kufanya mengi alikuwa mweusi,kitendo cha kusema Misri ilikuwa na wesusi hapo kabla inakuwa kama wanakubali binadamu huyo alikuwa mweusi na balaa la jambo hili wanalijua kabisa.....

Kamwe hawatakubali hasara watakayoipata kwa kukubali jambo hili maana kuna uhusiano mkubwa sana kati ya Waisraeli na Wamsiri wa kale...

Hata eneo lote la "Mashariki ya kati" lilikuwa ni sehemu ya Afrika na palikuwa panajulikana kaka "north west Afrika" na siyo mashariki ya kati kwakuwa hakuna kitu mashariki ya kati duniani na eneo hilo lilikuwa linakaliwa na watu weusi wote na weupe walikuja baadaye sana.....

Haya mambo yana mengi sana....

Wazamivu wa mambo ya kale na historia wanakiri kwamba hata Yesu Kristo alikuwa mtu mweusi. Ndio maana wazazi wake walipoambiwa wamkimbie Herode aliyekusudia kuua watoto wote wa chini ya miaka mitano, pamoja na kichanga Yesu walikimbilia kujificha Misri. Hii inafikirisha sana. Imagine wazazi wa Yesu wangekuwa ni weupe (ama wazungu ama waarabu) halafu wakimbilie Misri iliyokuwa ikikaliwa na weusi wengi, wangeweza vipi kujificha?

Hii hadithi ya wazazi wa Yesu kikimbilia Misri toka Bethlehemu inaibua mwanga na ushahidi kwamba ni kweli kabla ya mfereji wa Suez kuchimbwa, Misri ilikuwa ikiungana na hii tunayoita leo Mashariki ya kati.

Inafikirisha.
 
Back
Top Bottom