Maswali kwa wakristo wote humu karibuni kujibu

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,350
Nina maswali yangu kwa hawa ndugu zangu wakristo walio humu hata kama wewe sio mkristo ukiweza kujibu jibu.

Maswali yangu ni haya.

1. Wakati Musa anazaliwa misri na kuokotwa na dada yake na farao. Yule farao aliyekuwa anatawala Misri alikuwa ni Mwarabu, Myahudi au Mweusi?

a) Kama ni mweusi. swali iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya watu weusi na familia nzima ya kifalme wasijue kuwa yule sio mwenzao kimuonekano?

b) Kama ni Mwarabu iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya kifalme ya waarabu pasipo kujulikana sio mwenzao kimuonekano?

2. Wakati Yesu anaenda kufichwa Misri wakaazi wa Misri wa wakati huo walikuwa watu gani ? Waarabu, Watu weusi au Wayahudi?

a) Kama walikuwa watu weusi swali iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya watu weusi bila kugundulika na vikosi vya Herode?

b) Kama ni Waarabu iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya waarabu pasipo kugundulika?
 
Jamii za mashariki ya kati zinafanana. Muangalie El -Sisi unaweza dhani ni myahudi, Netanyahu vilevile anafanana na wapalestina. Kuna mchanganyiko wa races nyingi nchi zote za mashariki ya kati. Usishangae kuambiwa kule Nigeria kuna raia wana vinasaba vya kiyahudi huku wenyewe ni weusi typically. Wayahudi weusi tii wapo na wanatambuliwa na wenzao weupe
 
Jibu basi maswali niliyo uliza kama unaweza. Nasubiri
 
Nina maswali yangu kwa hawa ndugu zangu wakristo walio humu hata kama wewe sio mkristo ukiweza kujibu jibu.

Maswali yangu ni haya.

1. Wakati Musa anazaliwa misri na kuokotwa na dada yake na farao. Yule farao aliyekuwa anatawala Misri alikuwa ni Mwarabu, Myahudi au Mweusi ?

a) Kama ni mweusi. swali iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya watu weusi na familia nzima ya kifalme wasijue kuwa yule sio mwenzao kimuonekano ?

b) Kama ni Mwarabu iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya kifalme ya waarabu pasipo kujulikana sio mwenzao kimuonekano ?

2. Wakati Yesu anaenda kufichwa Misri wakaazi wa Misri wa wakati huo walikuwa watu gani ? Waarabu, Watu weusi au Wayahudi ?

a) Kama walikuwa watu weusi swali iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya watu weusi bila kugundulika na vikosi vya Herode ?

b) Kama ni Waarabu iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya waarabu pasipo kugundulika ?
Ngoja waje wafia dini
 
Umeuliza maswali mazuri,ila isitegemee kujibiwa inavyotaka wewe,aliyeanza kukujibu hapo amekujibu kwa weledi mkubwa sana,Farao alikuwa mwarabu,Yesu kuahidi,Muda kuahidi,ila umeishaambiwa hizo race zinafanana sana,umepewa na mfano.
Halafu sina uhakika kama majeshi ya mfalme Herode yalienda Misiri kumsaka mtoto Yesu.
 
. Yule farao aliyekuwa anatawala Misri alikuwa ni Mwarabu, Myahudi au Mweusi ?

a) Kama ni mweusi. swali iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya watu weusi na familia nzima ya kifalme wasijue kuwa yule sio mwenzao kimuonekano ?

b) Kama ni Mwarabu iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya kifalme ya waarabu pasipo kujulikana sio mwenzao kimuonekano ?
Musa HAKUFICHWA katika familia ya Farao.
Binti yake alipomuokota
  • alijua kuwa ni mtoto wa mtumwa wa kiebrania. Hilo lilikua wazi
  • ndio maana akatafutwa mwqnamke wa kiebrania ili amtunze so walifahamu sio mwenza but ni out of huruma ya bint farao kwq mtoto Musa alikua mzuri aliyemvutia
  • alikubaliwa kulelewa kama mtoto wa familia ya farao yeye AKIJULIKANA WAZI ni mtoto wa kiyahudi na alikuzwa katika maadil na mafunzo yote kama mtoto wa nyumba ya kifalme na alifuzu katika mila na tamaduni na taratibu zote kama mtoto wa kimisri katika royal family na alikua na identity hiyo na mamlaka ya kifalme.

HAKUFICHWA.
ALIFAHAMIKA KAMA MTOTO ALOYEOKOTWA
 
Umeuliza maswali mazuri,ila isitegemee kujibiwa inavyotaka wewe,aliyeanza kukujibu hapo amekujibu kwa weledi mkubwa sana,Farao alikuwa mwarabu,Yesu kuahidi,Muda kuahidi,ila umeishaambiwa hizo race zinafanana sana,umepewa na mfano.
Halafu sina uhakika kama majeshi ya mfalme Herode yalienda Misiri kumsaka mtoto Yesu.
Maswali yamejitenga sidhani kama ni sahihi kujibiwa kijumla jumla
 
Duh kwann huwa mnaikana dini yenu? Muwe mnajiamini wakuu
Wewe mpumbavu nimekwisha kuambia mimi sio muislam.

Wewe ni mjinga unafikiri kama mtu asipokuwa muislam basi mkristo, asipokuwa mkristo basi muislam akili zako zinawaza tu hizi dini mbili haufikiri hata kwamba kuna watu wasio na dini.

Baki kwenye topic kama huwezi acha wenye akili wachangie
 
Musa HAKUFICHWA katika familia ya Farao.
Binti yake alipomuokota
  • alijua kuwa ni mtoto wa mtumwa wa kiebrania. Hilo lilikua wazi
  • ndio maana akatafutwa mwqnamke wa kiebrania ili amtunze so walifahamu sio mwenza but ni out of huruma ya bint farao kwq mtoto Musa alikua mzuri aliyemvutia
  • alikubaliwa kulelewa kama mtoto wa familia ya farao yeye AKIJULIKANA WAZI ni mtoto wa kiyahudi na alikuzwa katika maadil na mafunzo yote kama mtoto wa nyumba ya kifalme na alifuzu katika mila na tamaduni na taratibu zote kama mtoto wa kimisri katika royal family na alikua na identity hiyo na mamlaka ya kifalme.

HAKUFICHWA.
ALIFAHAMIKA KAMA MTOTO ALOYEOKOTWA
Amri ya Farao juu ya wayahudi kwa wakati huo juu ya watoto wakiume ilikuwa ipi ? Na kwanini Musa utambulisho wake wakuwa alikuwa sio mmisri aliambia baadae na akaukana umisri rasmi ?
 
Nina maswali yangu kwa hawa ndugu zangu wakristo walio humu hata kama wewe sio mkristo ukiweza kujibu jibu.

Maswali yangu ni haya.

1. Wakati Musa anazaliwa misri na kuokotwa na dada yake na farao. Yule farao aliyekuwa anatawala Misri alikuwa ni Mwarabu, Myahudi au Mweusi ?

a) Kama ni mweusi. swali iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya watu weusi na familia nzima ya kifalme wasijue kuwa yule sio mwenzao kimuonekano ?

b) Kama ni Mwarabu iliwezekana vipi Musa afichwe kwenye familia ya kifalme ya waarabu pasipo kujulikana sio mwenzao kimuonekano ?

2. Wakati Yesu anaenda kufichwa Misri wakaazi wa Misri wa wakati huo walikuwa watu gani ? Waarabu, Watu weusi au Wayahudi ?

a) Kama walikuwa watu weusi swali iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya watu weusi bila kugundulika na vikosi vya Herode ?

b) Kama ni Waarabu iliwezekana vipi myahudi kufichwa katika jamii ya waarabu pasipo kugundulika ?
Maswali mazuri.
 
😂😂😂😂😂umepanic. Wapi nimekwambia u mkristo?

Back
Top Bottom