Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Unaposema sio "pure Africans" nimekumbuka tafiti mmoja ilijaribu kusema watutsi si wabantu na wewe naona ni mmoja wapo. Hivi mwafrika halisi ni yupi? maana inaonyesha tayari una vigezo vyako vya juu ya nani ni mwafrika halisi.
Kumbe mawazo yangu yasafanyiwa tafiti.Safi!

Sio pure africans sababu wana some elements of semitic people.
 
Hadi leo wamisri ni weusi mbona. Weupe ni waarabu tu kama walivo hapa tanzania au Africa kusini ni weupe???? No jibu ni watu wa afrika kusini ni weusi na weupe ni wazungu. Misri kuna wamisri na waarabu. Iko wazi mbona
Umejibu juu juu sana mkuu.

Ngoja nikwambie kwa wepesi ili uelewe.Wa misri wa kale walikua weusi kama wale watu wa Sudan Kusini.
Ila inaaminika na watu wengi kua jamii inayoitwa Egypt kwa sasa yaani Waarabu ndio hao hao Egypt ya kale.

Na ujue kua Egypt lilitungwa na Wagiriki,wazawa wenyewe waliita nchi yao Kemet.
 
Inasemekana alexander the great alivoenda egypt akakuta milima ina sura nyeusi akaghadhibika ndo akavunja hizo pua akazichonga tena.
 
Wazamivu wa mambo ya kale na historia wanakiri kwamba hata Yesu Kristo alikuwa mtu mweusi. Ndio maana wazazi wake walipoambiwa wamkimbie Herode aliyekusudia kuua watoto wote wa chini ya miaka mitano, pamoja na kichanga Yesu walikimbilia kujificha Misri. Hii inafikirisha sana. Imagine wazazi wa Yesu wangekuwa ni weupe (ama wazungu ama waarabu) halafu wakimbilie Misri iliyokuwa ikikaliwa na weusi wengi, wangeweza vipi kujificha?

Hii hadithi ya wazazi wa Yesu kikimbilia Misri toka Bethlehemu inaibua mwanga na ushahidi kwamba ni kweli kabla ya mfereji wa Suez kuchimbwa, Misri ilikuwa ikiungana na hii tunayoita leo Mashariki ya kati.

Inafikirisha.
Mashariki ya kati,hili jina lilitungwa na British Empire enzi hizo ikitawala bahari zote na dunia.Ilikua ni "middle" East katika macho yao wao sababu buko Philippines na Indonesia waliikuita "far" East.
Kijiografia mashariki ya kati na Afrika ziko katika continental plate moja,Suez canal hauwezi kuchimbwa mpaka kutenganisha continental plates.Hapo ilipo Israel ni North East Africa na ilikua ni himaya ya ancient Egypt.

Suala la weusi wa Yesu sina uhakika nalo,Yesu alikuja mwaka 1 (Wa kwanza wa kalenda ya Gregory) wakati huo falme ya Misri imeshafutika miaka maelfu kwa maelfu iliyopita na kutawaliwa na falme nyingine zilizofuatia kama Ugiriki,Uajemi,Rumi n.k
 
Tatizo tunashindwa kuelewa ipi ni STORY na ipi ni HISTORY.....ndo mana pengine tunajuwa Egyptians ni Arabians......
Na kuamini kuwa taifa bandia la Israel la sasa ndiyo lile taifa la Kibiblia la nchi takatifu.
 
Km egyptians were black bs na israelites walikua black,km mmesoma kitabu cha Exodus,musa alivkua jangwani mabinti wa yule kuhani walipomwona walidhani musa ni egyptian,kwa maana hiyo musa alikua black,kwa sababu kwnn wadhani yeye. I mmisri km alikua white!?
 
Wazamivu wa mambo ya kale na historia wanakiri kwamba hata Yesu Kristo alikuwa mtu mweusi. Ndio maana wazazi wake walipoambiwa wamkimbie Herode aliyekusudia kuua watoto wote wa chini ya miaka mitano, pamoja na kichanga Yesu walikimbilia kujificha Misri. Hii inafikirisha sana. Imagine wazazi wa Yesu wangekuwa ni weupe (ama wazungu ama waarabu) halafu wakimbilie Misri iliyokuwa ikikaliwa na weusi wengi, wangeweza vipi kujificha?

Hii hadithi ya wazazi wa Yesu kikimbilia Misri toka Bethlehemu inaibua mwanga na ushahidi kwamba ni kweli kabla ya mfereji wa Suez kuchimbwa, Misri ilikuwa ikiungana na hii tunayoita leo Mashariki ya kati.

Inafikirisha.
Ipo pia ishu ya Yusuph na ndugu zake baada ya kuuzwa Misri na ndugu zake na baada ya miaka mingi wakaenda kutafuta chakula huko Misri halafu wakamkuta ndugu yao wakashindwa kumtambua....

Ni ngumu sana ushindwe kumtambua mtu mweupe miongoni mwa watu weusi....

Musa naye,alilelewa ndani ya jumba la Farao bila wao kujua kuwa ni Muisraeli,haiwezekaniki hii iwe mana Musa kama angekuwa mweupe angejulikana ndani ya jumba la mafarao weusi....
 
Hiyo kumb 28 ina nini mbona sioni ubaya wake?

Hawataki kukubali weusi wa egypt sababu itagundulika kua Israel yasasa nayo ni feki.
Akina Netanyahu na wenzake wote hao ni Jews by conversion na wala sio by blood.
Haha Rumi inatawala dunia inakuja kwenu kuwavamia mnakimbilia eneo ambalo mtesi wenu amejikita zaidi. rubbish.
Isome hiyo Kumbukumbu 28 kuanzia mstari wa 15 hadi mwisho halafu agalia maisha yetu Waafrika wengi.....
 
Ipo pia ishu ya Yusuph na ndugu zake baada ya kuuzwa Misri na ndugu zake na baada ya miaka mingi wakaenda kutafuta chakula huko Misri halafu wakamkuta ndugu yao wakashindwa kumtambua....

Ni ngumu sana ushindwe kumtambua mtu mweupe miongoni mwa watu weusi....

Musa naye,alilelewa ndani ya jumba la Farao bila wao kujua kuwa ni Muisraeli,haiwezekaniki hii iwe mana Musa kama angekuwa mweupe angejulikana ndani ya jumba la mafarao weusi....
Assumption ya white supremacy ni kua Egyptians and Israelites of such times were as those of today.Yaani Waisrael wa sasa imeaminika ni weupe basi pia ikaaminishwa na wamisri wa kipindi kile walikua weupe.
 
Kwani unahisi Adam na Eva walikua na Rangi Gani?
 
Ipo pia ishu ya Yusuph na ndugu zake baada ya kuuzwa Misri na ndugu zake na baada ya miaka mingi wakaenda kutafuta chakula huko Misri halafu wakamkuta ndugu yao wakashindwa kumtambua....

Ni ngumu sana ushindwe kumtambua mtu mweupe miongoni mwa watu weusi....

Musa naye,alilelewa ndani ya jumba la Farao bila wao kujua kuwa ni Muisraeli,haiwezekaniki hii iwe mana Musa kama angekuwa mweupe angejulikana ndani ya jumba la mafarao weusi....

Sawa sawa.

Yusufu kufanana na Wamisri weusi inaashiria sana kwamba Yusufu na wazaliwa wenzake walikuwa watu weusi.
 
Mashariki ya kati,hili jina lilitungwa na British Empire enzi hizo ikitawala bahari zote na dunia.Ilikua ni "middle" East katika macho yao wao sababu buko Philippines na Indonesia waliikuita "far" East.
Kijiografia mashariki ya kati na Afrika ziko katika continental plate moja,Suez canal hauwezi kuchimbwa mpaka kutenganisha continental plates.Hapo ilipo Israel ni North East Africa na ilikua ni himaya ya ancient Egypt.

Suala la weusi wa Yesu sina uhakika nalo,Yesu alikuja mwaka 1 (Wa kwanza wa kalenda ya Gregory) wakati huo falme ya Misri imeshafutika miaka maelfu kwa maelfu iliyopita na kutawaliwa na falme nyingine zilizofuatia kama Ugiriki,Uajemi,Rumi n.k

Mkuu Bukoba Boy

Hili la Mashariki ya Kati na Afrika kuwa kwenye tectonic plate moja ni hoja matata sana.

Baadhi ya wafasiri wa maandiko ya Biblia kuna mambo wanawapotosha watu weusi. Tuendelee kuwa makini.
 
Ipo pia ishu ya Yusuph na ndugu zake baada ya kuuzwa Misri na ndugu zake na baada ya miaka mingi wakaenda kutafuta chakula huko Misri halafu wakamkuta ndugu yao wakashindwa kumtambua....

Ni ngumu sana ushindwe kumtambua mtu mweupe miongoni mwa watu weusi....

Musa naye,alilelewa ndani ya jumba la Farao bila wao kujua kuwa ni Muisraeli,haiwezekaniki hii iwe mana Musa kama angekuwa mweupe angejulikana ndani ya jumba la mafarao weusi....

Mussa alikuwa mweusi tena pande la mtu mwenye nguvu nyingi na hodari wa kazi.
 
Isome hiyo Kumbukumbu 28 kuanzia mstari wa 15 hadi mwisho halafu agalia maisha yetu Waafrika wengi.....

Deuteronomy 28:15 na kuendelea ni mwiba.

Mkuu Eiyer unamaanisha maisha ya mtu mweusi ni matokeo ya kutotii maagizo ya Mwenyezi Mungu?.

Fafanua tafadhali.
 
Back
Top Bottom