Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 656
Mimi naona suala sio wao kukubali, suala ni kwa watu weusi kufahamu historia yao na njama zilizotumika kuficha ukweli au kuenendelea kupotosha ukweli na tujue malengo yao ni nini hasa. Ustaarabu ulianzia misri ya watu weusi kasha ukasambaa duniani kote. Kuhusu suala la 'architectural' nchi za ulaya na za asia wamekopi kutoka misiri.Kamwe hawataweza kukubali kua ancient Egyptians walikua weusi,wameshakubali kua Egyptian civilazation ndio mzizi wa civilization zote duniani..
Hawatakubali kubadilika sababu wameshasema na mpaka kuwaaminisha weusi kua wao ndio jamii dhaifu kupata kutokea.Wakikubali kua weusi ni number 1 civilazation in the world wataonekana wao ndio dhaifu kiuhalisia.
Hata hao akina Aristotle ambaye ni baba wa philosophy ya magharibi alikuja kujifunza Alexandria Misri.
Kuna swali dunia inajiuliza ni kwa nini mtu mweusi anachukiwa sana na makabila (Races) yote duniani??????? Ukweli ni kwmba ndani ya historia ya mtu mweusi kuna siri kubwa sana imefichika ambayo watu weupe hawapendi iwekwe hadharani kwani itabadaili kabisa upepo wa dunia kama sio kuchafua. Tukumbuke Biblia imesema nini kuhusu wana wa Israel walioko utumwani watarudi kwa utaratibu upi kwenye nchi yao ya ahadi. Israel ya sasa ilianzishwa kwa Declaration ya UN May 14, 1948 ambapo ni kinyume kabisa na jinsi biblia inavyosema. Sasa kama ndivyo hivyo, wana wa Issrael kumbe bado wako utumwani. Natanyahu na washikaji wenzake ni wa Israel fake tena fake kuliko. Dunia isubiri na itashuhudia muda si mrefu ujio wa wana wa Israel katika nchi yao ya ahadi. Anwal Saadat Rais wa zamani wa Misri alisema hata siku moja haitatolea akapatana na wayahudi kwa sababu 'Walitoka Misri wakiwa weusi na wamerudi wakiwa weupe'. Kwa maana nyingine wamisri wa sasa wanajua fika wamaisri asili ni akina nani.